
28/09/2025
DR BOAZ KITCHEN ALMOND SEEDS FLOUR
1. Unga Umetengenezwa na Almond seeds kwa asilimia 100.
2. Unga wa Almond Ni chanzo Kizuri cha Protini, Madini na Vitamins za Kujenga na Kuimarisha mwili.
3. Unga wa almond Una kiwango kidogo sana cha Wanga Hivyo Mgonjwa wa Kisukari, anayepunguza uzito au asiyependa Kuongezeka mwili anaweza Kupika mapishi mbalimbali na asiweze kuathiri malengo yake
4. Ni chaguo sahihi kwa mwenye matatizo ya Kumeng’enya Gluten inayopatikana kwenye mapishi Yote ya ngano. Ndiyo maana unga wetu “Ni Gluten Free”.
Matumizi Ya Unga wa Almond Kiafya
1. Kutengeneza Uji
2. Kutengeneza Maziwa
3. Kuweka kwenye Mboga
4. Kuweka Kwenye Mchuzi
5. Kuoka Mikate
6. Kuoka chapati, Keki na mapishi mbalimbali mengine kulingana na ubunifu wako
Kinapatikana goba njia nne madale road
Tupigie simu 0679622827