06/07/2023
*bantu care*
Slim patch ni dawa yenye uwezo mkubwa zaidi wa kuondoa kitambi ( belly fatty) , kupunguza unene uliopitiiza mbali na hiyo inafanya kazi ya kuondoa sumu mwilini
MATUMIZI YAKE
Slim patch hii inatumika kwa kubandika tu kwenye sehemu husika ya mwili, mfano kwa mwenye kitambi na uzito uliopitiiza unabandika chini ya kitovu , dawa hii Wala siyo ya kunywa
Slimming patch hii imetengenezwa kwa mimea asili yenye usumaku katikati , components hizi za mimea yenye sumaku Huwa inazalisha na kutoa mawimbi sumaku ( magnetic waves) yenye kipimo Cha 4 - 14 m ambayo hupenya kwenye ngozi katika kina Cha sentimenta 8 - 12 na kusambaa kwenye mwili na kuyeyusha, kuchoma (burning cholesterol) mafuta na kuvunja sumu mwilini na hii hutumia kanuni ama principle ya ACUPUNCTURE.
Katika hali ya usumaku ya mkondo wa damu inafanya depolymerization ya seli za damu na chembe sahani huku ikiondoa baadhi ya virutubisho na chaji hasi za oxygen zilizo rundikana kwenye mwili.
Inanyonya grease (mafuta) sukari na starch na kuweza kusawazisha hamu ya mlo, Haina haja ya kujima mlo maana slim patch yenyewe inatosha
Inakaza ngozi pindi inapopungua na mwili usipwaye na kuwa na muundo wa mwili vizuri.
Slimming patch herb inapenya kwenye ngozi Hadi mfumo wa damu (blood circulation) kupitia sehemu ya mwili iliyobandikwa , na ndiyo maana inatenda vema kwa kuondoa mafuta kwenye mirija ya damu na moyo ,inasaidia Sana pia kwa mwenye presha (blood pressure) na mwenye mlundikano wa sumu mwilini.
Kiwango Cha matokeo mazuri ni ya haraka Sana kuliko dawa zote za kunywa na njia zingine, kwani inapenya Moja kwa moja kwenye mfumo wa mmeng'enyo chakula ( digestion system), kwenye damu ,kwenye figo na kwenye ini ( liver) kwa kuondoa chaji sumu za mwili na kuchoma mafuta (cholesterol)
Patch inauwezo wa kuboresha (control) hamu ya kula kulingana na mwili ulivo, inapunguza uchukuaji wa calories na kuaongeza metabolism
Ina boresha na kusawazisha uzalishaji homoni ya kupunguza uzito
+255788357263 Whatp