07/01/2026
Vitu muhimu anavyohitaji mtoto baada ya kuzaliwaMtoto mchanga anahitaji joto la mama Yake baada ya kuzaliwa skin to skin contact,mkaushe mtoto,mmasage mgongoni akishalia
Unamuweka mtoto kwenye kifua cha mama mtoto anaendelea kupata joto na kuanza kunyonya.
K**a mtoto hajalia utakata kitovu haraka na kumfanyia mtoto resustantation(help baby to breath)
Na hapo utatumia baby warmer kumpa joto.
Mtoto anahitaji dawa ya macho,tetracycline eye ointment
Pia anahitaji inj vitamin k ili kuzuia kutoka Kwa damu.
Karibu kujifunza nasi huduma ya mama Mjamzito na mtoto mchanga.
Muuguzi na mkunga kiongozi
Founder