11/05/2026
Macho ya mtoto wako ni maisha yake ya baadaye. 👁️
Katika Wiki ya Saratani ya Macho kwa Watoto (Retinoblastoma), tunakukumbusha umuhimu wa uchunguzi wa macho kwa watoto mapema. Ugunduzi wa haraka unaweza kuokoa macho na maisha ya mtoto.
Usipuuze dalili za mng’ao mweupe katika jicho la mtoto kwenye picha, au weupe kwenye mboni ya jicho au kengeza. Fanya uchunguzi mapema kwa usalama wa mtoto wako.
Kwa taarifa zaidi au uchunguzi wa Kidaktari Bingwa tafadhali tembelea ofisi zetu RightSight Optical - Shoppers Plaza, Dodoma au weka miadi na watoa huduma wetu kupitia namba 0769 767 677