Watu Wote Ni Sawa - Wawosa

Watu Wote Ni Sawa - Wawosa WAWOSA-Ni asasi isiyo ya kiserikali inayojikita katika kuchochea elimu ya haki sawa kwa walemavu Tz

12/12/2022

Habar👋
Takwimu zinaonyesha📊 Ongezeko la ukatili kwa watu wenye ualbino🙃 Tushirikiane k**a jamii🫂 katika kupaza sauti ya kutokomeza ukatili kwa watu wenye ualbino🙏
Ili kupaza sauti yako🔊
💥Taasisi ya *WAWOSA* tumeandaa kampeni ya *NiNAWATHAMINI*
Fuata link hii https://twb.nz/ninawathamini
....Au link Kwa BIO....

Kisha utaweka picha yako👤
●Post kwenye mitandao ya Kijamii
●Share link hii na watu wengine
●Pia unaweza kushiriki k**a sponser
●usisahau kutu-tag

Wasiliana nasi kwa simu nambari
0758173184 au 0652286383

*Jiunge nasi hapa Whatsapp group 👇 https://chat.whatsapp.com/IL95SRLyF6YEJ7ji30EsAm*

*KWA PAMOJA TUPINGE UKATILI*








Kaa tayari kesho tarehe 12 December 2022.Kampeni itaanza kazi kwako k**a mdau wa kuwathamini watu wenye ualbino.Facebook...
11/12/2022

Kaa tayari kesho tarehe 12 December 2022.
Kampeni itaanza kazi kwako k**a mdau wa kuwathamini watu wenye ualbino.
Facebook Watu Wote Ni Sawa (WAWOSA)]
Instagram Watu Wote Ni Sawa (WAWOSA)]

💥More Likes 💥







09/12/2022
3/12/2022*Nikiwa na Mhe mkuu wa mkoa wa Arusha. JOHN MONGELA 🙏 na Mwenyekiti wa shivyawata Taifa, ERNEST KIMAYA*: *Pia t...
04/12/2022

3/12/2022
*Nikiwa na Mhe mkuu wa mkoa wa Arusha. JOHN MONGELA 🙏 na Mwenyekiti wa shivyawata Taifa, ERNEST KIMAYA*

: *Pia tuilionana na kuzungumza machache na Mhe Mbunge ARUSHA MJINI, MRISHO GAMBO*







*Tarehe 3/12/2022* *kila *mwaka Dunia huadhimisha siku ya watu wenye ulemavu.. na mwaka huu imefanyika mkoa wa Arusha uw...
04/12/2022

*Tarehe 3/12/2022* *kila *mwaka Dunia huadhimisha siku ya watu wenye ulemavu.. na mwaka huu imefanyika mkoa wa Arusha uwanja wa sheikh Amir Abeid* *Na k**a Mkurugenzi wa taasisi ya WAWOSA na mdau mkubwa Sana na mkereketwa wa kundi la watu wenye ulemavu nilikuwepo na nilionyesha ushirikiano Sako kwa bako k**a ilivyo kusudiwa 🙏*

*MEZA KUU KWA KUSHIRIKIANA NA MKUU WA MKOA WA ARUSHA, (JOHN MONGELA,) TULIUNGANA KWA PAMOJA KUMPOKEA MGENI RASMI MHE WAZIRI MWENYE DHAMANA PROF JOYCE NDALICHAKO NA NILIFANIKIWA KUTETA NAE KWA MUDA MCHACHE KABLA YA KUELEKEA MEZA KUU*

TAREHE 3 DECEMBER 2022
02/12/2022

TAREHE 3 DECEMBER 2022






  WAWOSA inakupongeza Kwa hatua kubwa ya mafanikio ya Kielimu. Hakika ujuzi na maarifa yako ni muhimu Kwa jamii yetu ina...
25/11/2022

WAWOSA inakupongeza Kwa hatua kubwa ya mafanikio ya Kielimu. Hakika ujuzi na maarifa yako ni muhimu Kwa jamii yetu inayotuzunguka.






USHIRIKISHWAJI WA WATU WENYE UALBINOSaidia  Kuwawezesha watu wenye ualbino kushiriki katika shughuli za Kijamii k**a uja...
21/11/2022

USHIRIKISHWAJI WA WATU WENYE UALBINO
Saidia Kuwawezesha watu wenye ualbino kushiriki katika shughuli za Kijamii k**a ujasiriamali.







ELIMU NA UFAHAMU JUU YA WATU WENYE UALBINO NI YA MIMI NA WEWE. Saidia Kukuza Elimu na ufahamu endelevu katika jamii kuhu...
19/11/2022

ELIMU NA UFAHAMU JUU YA WATU WENYE UALBINO NI YA MIMI NA WEWE.
Saidia Kukuza Elimu na ufahamu endelevu katika jamii kuhusu ushirikishwaji wa watu wenye Ualbino Katika jamii yoyote.






Ungana nasi kuhakikisha usawa, haki, elimu na uwajibikaji wa watu wenye Ualbino popote ulipo. Pinga ukatili wa watu weny...
17/11/2022

Ungana nasi kuhakikisha usawa, haki, elimu na uwajibikaji wa watu wenye Ualbino popote ulipo. Pinga ukatili wa watu wenye Ualbino .
Na katibu mtendaji







Jukumu la kupinga  ukatili Kwa watu wenye Ualbino ni la Kila raia. Usikubali ukatili, pinga ukatili, haki sawa Kwa watu ...
15/11/2022

Jukumu la kupinga ukatili Kwa watu wenye Ualbino ni la Kila raia. Usikubali ukatili, pinga ukatili, haki sawa Kwa watu wote.





Address

Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Watu Wote Ni Sawa - Wawosa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Watu Wote Ni Sawa - Wawosa:

Share