Wema Herbal

Wema Herbal Kwa huduma Bora za tiba mbadara na ushauri .

Habari! Ndug zangu nauza mbegu ya kitunguu kwa bei poa kabisa kwa kilo elfu 15 debe laki 3 mawasiliano 0625788552
19/11/2025

Habari! Ndug zangu nauza mbegu ya kitunguu kwa bei poa kabisa kwa kilo elfu 15 debe laki 3 mawasiliano 0625788552

KARIBUNI NIKUPE DARASA LA UZALISHAJI WA MBEGU YA KITUNGUU MAJI BORA.1=Andaa shamba lako kwa kulima tengeneza jaruba K**a...
19/11/2025

KARIBUNI NIKUPE DARASA LA UZALISHAJI WA MBEGU YA KITUNGUU MAJI BORA.
1=Andaa shamba lako kwa kulima tengeneza jaruba K**a zakupanda kitunguu. .

2=ktk vitunguu ulivyovuna chagua vikubwavikubwa na vyekundu vinene vya duara pili vikate katikati yaani kubaki upande wa mizizi pia vikaushe juani Siku 3 ya nne nenda kapande kwa setimita 80 kwa 80 pia mwagia maji vinaota na vinatoa virungu K**a Hivyo vyeupe na inachukua miezi 6 unahudumia K**a kitunguu TU huduma zake ila unachovuna Ni MBEGU BORA SANA TU.

Uvunaji wake unaivuna bdo kidogo unaikata K**a ufuta unaweka K**a wiki ikikauka unaipiga ndio utapata punje za MBEGU . Inakua tayari kwa kuwatika kitaru ..
KARIBUNI kwa mbegu Bora na hii miezi kuanzia huu wa 11 watu wenye ndoto kubwa wanakamilisha MANDALIZI ....0625788552

KILIMO BORA CHA VITUNGUU MAJI.Vitunguu ni zao la pili ambalo hutumika karibu katika mlo wa familia za kitanzania, Afrika...
19/11/2025

KILIMO BORA CHA VITUNGUU MAJI.
Vitunguu ni zao la pili ambalo hutumika karibu katika mlo wa familia za kitanzania, Afrika mashariki na Dunia nzima.
Vitunguu vina chukua nafasi kubwa katika matumizi ya mboga hasa kwa wakazi wa mijini. Vitunguu hutumika katika kutengeneza kachumbari,kiungo cha mboga, nyama na samaki. Majani ya kitunguu pia hutumika kutengenezea supu n.k
AINA ZA VITUNGUU MAJI
Aina bora za vitunguu ni pamoja na Hybrid F1, Red creole na Bombay Red. Hizi ni mbegu bora ambazo zinatoa mazao mengi kuanzia 40kgs mpaka 60kgs kwa hekta.Mbegu bora katika zao la kitunguu ni Neptune F1, Jambar F1 pamoja na Rosset F1..Mbegu bora za vitunguu unawea kuzipata katika makampuni binafsi k**a ya Kibo seed, Rotan seed, East Afrika seed company na kampuni za Balton na MASANTO katika kitengo cha mbegu. Pia unaweza kuzipata kwa wasambazaji wa mbegu pamoa na maduka ya TFA na maduka ya pembejeo za kilimo katika maduka mbalimbali.
UBORA WA MBEGU ZA VITUNGUUU MAJI
Ubora wa mbegu ni muhimu sana, kwani ndiyo chanzo cha mazao bora. Mbegu bora inatoa miche yenye afya na kuzaa mazao mengi na bora. Mbegu za vitunguu inapoteza uoto wake upesi baada ya kuvunwa (mwaka mmoja). Mbegu nzuri zina sifa zifuatazo :
Uotaji zaidi ya 80%, mbegu safi zisizo na mchanganyiko, zimefumgwa vizuri kwenye vyombo visivyopitisha hewa na unyevu. Hivyo mkulima anaponunua mbegu za vitunguu azingatie yafuatayo; chanzo cha mbegu, tarehe ya uzalishaji na kifungashio cha mbegu.
NB:Inashauriwa mkulima asipande mbegu zenye umri zaidi ya mwaka mmoja.
MAHITAJI MUHIMU KATIKA KUZALISHA ZAO LA VITUNGUU
Zao la kitunguu hustawi vizuri kwenye maeneo yasiyo na mvua nyingi sana,yenye baridi kiasi wakati wa kiangazi na yasiyo na joto kali pamoja na ufukuto wa ukungu wakati wa kukomaaa vitunguu.
Zao la vitunguu hustawi vizuri kwenye udongo wenye rutuba ya kutosha. Udongo unao ruhusu mizizi kupenya kirahisi, unao hifadhi unyevu k**a vile udongo wa mfinyazi tifutifu.
NAMNA YA KUTAAYARISHA SHAMBA
Shamba liwe karibu na chanzo cha maji kwa ajili ya umwagiliaji. Matuta 1m X 3m au majaruba ya 2m X3m yanafaa kwa kupanda miche. Matuta au majaruba yanarahisigha umwagiliaji, palizi na kunyuzizia dawa. Upandaji wa mstari, mbegu hupandwa katika nafasi ya 1cm hadi 15cm kati ya mstari na mstari. Baada ya kupanda mbegu hufunikwa kwa udongo na baadaye kwa kuweka matandazo juu ya tuta. Mara baada ya mbegu kuota, matandazo yaondolewe na badala yake kichanja cha nyasi kijengwe ili kuiwekea kivuli mimea michanga.Mbegu ya kitunguu inachukua wastani wa siku 30 mpaka 45 kuwa yote imetoka katika hatua ya kitalu. Na haitakiwi izidishe siku 45 ambazo ni sawa na mwezi 1 na wiki 2 uwe tayari umeshahamisha kwenye shamba.
MATUNZO YA BUSTANI YA VITUNGUU
Umwagiliaji
Zao la vitunguu linahitaji maji ya kutosha katika kipindi chote cha ukuaji wa mmea na hasa wakati wa kutunga tunguu. Katika kipindi kisicho na mvua (mwezi mei hadi Agosti). Umwagiliaji ufanyika mara moja kwa wiki kwa udongo wa mfinyanzi tifutifu na vitunguu vilivyopandwa katika vijaruba. Ili kuharakisha kukomaa kwa vitunguu, unashauriwa kupunguza kiasi cha maji ya kumwagilia taratibu kadri zao linavyokuwa.
Hali ya hewa na maji ni vipengele muhimu sana vya kuzingatia katika uzalishaji wa vitunguu. Vitunguu vinastawi vizuri katika hali ya uakavu kwa kutumia umwagiliaji maji mengi sana lakini wakati wa masika inasababisha magonjwa mengi hasa ukungu,vitunguu haviwezi kukomaa vizuri,hivo kusababisha upotevu mkubwa wa mazao. Jua na hewa kavu ni muhimu sana wakati wa kukomaa na kuvuna vitunguu..
Pia ni vizuri uache kumwagilia maji mapema wiki nne hadi sita kabla ya kuvuna kwani muda kamili wa kukomaa na kuvuna kwa vitunguu ni siku 75 hadi 90 kutegemea na aina ya mbegu. Pamoja na huduma
KUDHIBITI MAGUGU NA KUPANDASHIA UDONGO
Kitunguu ni zao lisiloweza kushindana na magugu. Magugu husababisha kupungua kwa ukubwa wa kitunguu, hueneza magonjwa na kusababisha kudumaa kwa vitunguu. Katika bustani ya vitunguu, magugu yanaweza kutolewa kwa njia ya kutifulia kwa jembe dogo, kung’olea kwa mkono na pia kwa kutumia madawa ya kuua magugu.
K**a unaondoa magugu kwa kutifulia, epuka kutifua kwa kina kirefu ili kutoharibu mizizi na vitunguu vyenyewe, kwani mizizi ya vitunguu ipo juu sana. Kupandishia udogo kwenye mashina ya vitunguu ni hatua muhimu ili vitunguu visiunguzwe na jua . Hakikisha kuwa mashina ya vitunguu yako ndani ya udongo k**a sentimeta 5. Pia kuna aina ya vitunguu ambavyo hutoa au hupandisha tunguu lake juu ya udongo wakati vinapokuwa. Hivyo kupandishia udongo ili kufunika tunguu ni muhimu sana.
Katika hatua ya kitalu huwa kunatokea magonjwa ya ukungu (kata kiuno pamoja na barafu). Pia kuna wadudu wenye sifa ya kufyonza na kutoboa na pia wadudu wenye sifa ya usambazaji wa magonjwa ya virusi.(Inzi weupe ,vimamba,matobozi,vidukari na kadhalika)
Hivyo wakati huo utatumia dawa aina ya Ridomil Gold kwa kupambana na magonjwa ya ukungu kwa kipimo cha gram 50 kwa maji ya lita 20
Pia utatumia dawa aina ya Actara au Evisect kwa kupambana na wadudu kwa kipimo cha gram 8 kwa maji ya lita 20.
MATUMIZI YA MBOLEA
Katika suala la mbolea kuna aina mbili za mbolea ambazo ni mbolea za samadi na mbolea za viwandani.Katika mbolea za viwandani imegawanyika katika aina mbili ambazo ni, mbolea za punje (DAP,NPK,UREA,SA,CAN) na Mbolea za majani na maua (Booster)
UUZAJI
Vitunguu ni zao lenye bei nzuri ukilinganishwa na mazao mengine ya mbogamboga na huuzwa kwenye masoko ya kawaida kwa bei nzuri.Kwani hivi sasa bei ya chini kabisa ya vitunguu kilo moja ni Tsh 1500= k**a vitunguu vikilimwa vizuri na kuhudumiwa ipasavyo. Ekari moja huzaa gunia 70-90 sawa na kg 7000-9000. K**a ukipata soko la uhakika mkulima anaweza kupata hadi 13.5million kwa msimu mmoja.

Ndugu mkulima anza sasa kwa kulima kilimo cha vitunguu uone mafanikio.
NIKUTAKIE KAZI NJEMA

ULIJARI DAWA ASILIHUONDOA KIBAMIANi tiba asilia yenye mchanganyiko wa mbegu  za miti mbalimbali na matunda yenye uwezo w...
24/12/2023

ULIJARI DAWA ASILI
HUONDOA KIBAMIA
Ni tiba asilia yenye mchanganyiko wa mbegu za miti mbalimbali na matunda yenye uwezo wa kuondoa matatizo yafatayo.
KIBAMIA dhakari kuwa ndogo kupita kiwango Cha kawaida
_kuongeza size ,urefu na unene wa askari nchi 8
_kukaza misuli ya askari iliyolegea kutokana na kujichua nk
Dawa ya ulijari
NGUVU ZA KYUME NA TATIZO LA KUWAHI KUFIKA KILELENI
kuongeza ham ya tendo la ndoa ndani ya dk 90 hukufanya unogewe kufika kileleni dk 15-20 na kurudia tendo zaidi ya mara 2 ✓kuimarisha misuli iliyolegea √maumivu ya mgongo na tumbo kuunguruma √ matatitizo ya ngiri Aina zote
Ulijari sasa inapatikana mkoa wa Dodoma mjini na Maeneo mengine K**a Dar es salaam Mwanza, Tabora, Singida, Arusha Tanga na Zanzibar utazipata Kwa njia ya mabasi na boti.
NB; hizi ni dawa zinatokana na mitishamba na hazina madhara
K**a unahitaji na maelekezo zaidi usisite kuwasiliana nasi ulijari
Mawasiliano 0749636417/WhatsApp

13/10/2023

ULIJARI DAWA ASILI
HUONDOA KIBAMIA
Ni tiba asilia yenye mchanganyiko wa mbegu za miti mbalimbali zenye uwezo kuondoa matatizo yafatayo.
KIBAMIA dhakari kuwa ndogo kupita kiwango Cha kawaida
_kuongeza size ,urefu na unene wa askari nchi 6
_kukaza misuli ya askari iliyolegea kutokana na kujichua nk
Dawa ya ulijari
NGUVU ZA KYUME NA TATIZO LA KUWAHI KUFIKA KILELENI
kuongeza ham ya tendo la ndoa ndani ya dk 90 hukufanya unogewe kufika kileleni dk 15-20 na kurudia tendo zaidi ya mara 2
Dar es salaam tunapatikana Mbezi
Ulijari sasa inapatikana mikoa ifuatayo, Dodoma mjini na dar es salaam, Maeneo Mengine K**a Mwanza, Tabora, Singida, Arusha Tanga na Zanzibar utazipata Kwa njia ya mabasi na boti.
NB; hizi ni dawa zinatokana na mitishamba na hazina madhara
K**a unahitaji na maelekezo zaidi usisite kuwasiliana nasi ulijari
Mawasiliano 0749636417/WhatsApp

Kwa huduma Bora za tiba mbadara na ushauri .

Address

Dodoma

Telephone

+255749636417

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wema Herbal posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram