Ibondo_health_care

Ibondo_health_care Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ibondo_health_care, Medical and health, Dodoma.

tunatoa huduma ya afya kwa kutumia virutubisho lishe vilivyo tengenezwa kitaalamu kutoka kwenye mimea kama mboga mboga, matunda, mizizi, majani na magome ya miti, bidhaa zetu zimethibitishwa kimataifa na kitaifa, makao yetu makuu yapo marekan los angle

05/03/2025

*HOMON IMBALANCE (KUVURUGIKA KWA HOMONI)*
:Hili ni tatizo linalowakumba wakina mama(wanawake) wengi ambalo husababishwa na kiwango kidogo cha hormone ya ESTROGEN.

*VYANZO VYA KUVURUGIKA KWA HORMONE*
➡Utoaji wa mimba
➡Uwepo wa sumu mwilini.
➡kutokula mlo uliokamili au mfumo mbovu wa maisha.
➡Family history(upungufu wa ongezeko ya homoni ya progesterone
➡mabadiliko ya mazingira au hali ya hewa.
➡uzito mkubwa
➡Msongo wa mawazo.
➡Kutofanya mazoezi.
➡Matumizi ya kisasa ya uzazi wa mpango.
➡Kukoma kwa hedhi.

*Dalili za kuvurugika kwa homoni*
✅Maumivu wakati wa tendo LA ndoa.
✅Kutoshika mimba.
✅Mzunguko wa hedhi kubadilika.
✅Kuongezeka uzito.
✅Kupungua hamu ya tendo LA ndoa.
✅Kupoteza kumbukumbu.
✅Hasira za Mara kwa Mara.
✅Damu kutoka nyingi wakati wa hedhi au kutoa damu yenye mabongemabonge
✅Uke kuwa mkavu.
✅kutoka jasho jingi usiku.
✅maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi
✅mzio wa vyakula/Allerg kuchaguachagua vyakula.

*Madhara ya kuvurugika kwa homoni*
✔kutoshika ujauzito kwa mda mrefu.
✔Mimba kuharibika Mara

Je mwanamke unajua kuwa PID ikikomaa inakua katika mfumo huu unajua kua hormone zako hazipo Sawa, unatokwa na uchafu seh...
27/02/2025

Je mwanamke unajua kuwa PID ikikomaa inakua katika mfumo huu unajua kua hormone zako hazipo Sawa, unatokwa na uchafu sehemu za siri , una miwasho sehemu za siri , unasikia maumivu wakati wa tendo landoa na upo kimya ndgu yangu sh*tuka hali k**a hio inapokomaaa husababisha kansa ya kizazi yaani hata mirija ya uzazi huziba nakusababisha kushindwa kushik ujauzito kabisaaaaa..

Mawasiliano zaidi piga simu namba +255717597980

23/02/2025

𝗧𝗜𝗕𝗔 𝗬𝗔 𝗞𝗨𝗗𝗨𝗠𝗨 𝗬𝗔 𝗧𝗔𝗧𝗜𝗭𝗢 𝗟𝗔 𝗕𝗔𝗪𝗔𝗦𝗜𝗥𝗜 (𝗡𝗗𝗔𝗡𝗜 𝗡𝗔 𝗡𝗝𝗘) 👇

𝗕𝗔𝗪𝗔𝗦𝗜𝗥𝗜 (𝗛𝗘𝗠𝗢𝗥𝗥𝗛𝗢𝗜𝗗𝗦/𝗣𝗜𝗟𝗘)
👉 Ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa na kuoelekea kuota kinyama sehemu ya haja kubwa

𝗖𝗛𝗔𝗡𝗭𝗢 𝗖𝗛𝗔 𝗕𝗔𝗪𝗔𝗦𝗜𝗥𝗜
(𝗛𝗘𝗠𝗢𝗥𝗥𝗛𝗢𝗜𝗗𝗦)
✓ Tabia ya kukaa sehemu moja kwa muda mrefu mfano (Madereva/Mafundi kushona)
✓ Tatizo sugu la kuharisha
✓ Ujauzito
✓ Uzito wa mwili kupita kiasi
✓ Kufanya ngono Kinyume na Maumbile (kulawitiwa)
✓ Kupata Choo Kigumu
✓ Kua na mgandamizo mkubwa tumboni
✓ Kunywa pombe
✓ Kula sana nyama nyekundu
✓ Vidonda vya tumbo (Ulcers)
✓ Ngiri (Chango/Hernia)
✓ Kula sana pilipili
✓ Kunyanyua vitu vizito

𝗗𝗔𝗟𝗜𝗟𝗜 𝗭𝗔 𝗕𝗔𝗪𝗔𝗦𝗜𝗥𝗜
(𝗛𝗘𝗠𝗢𝗥𝗥𝗛𝗢𝗜𝗗𝗦)
✍️ Kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
✍️ Kujitokeza kwa kinyama eneo la haja kubwa
✍️ Kutokewa na kiuvimbe katika tundu La Haja kubwa
✍️ Kupata kinyesi chenye damu
✍️ Kupata maumivu makali wakati wa
kujisaidia haja kubwa
✍️ kutokwa na uteute sehemu ya haja kubwa
✍️ Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa na kus

02/02/2025
21/01/2025

Ubora wa tendo la ndoa unapungua sana kwa wanaume wengi na hii ni kwa sababu ya mfumo wa maisha

# Msongo wa mawazo
# Aina ya vyakula na vinywaji
# Ulevi na sio unywaji
# Matumizi ya dawa za kubust
# Kujichua
# Kuangalia video na picha za uchi
# magonjwa sugu
# matumiz ya madawa mbalimbali kiholela

Dalili zinazowasumbua wengi ni k**a hizi

@ kushindwa kusimamisha uume vzr
@ kwenda bao moja na kushindwa kurudia kwa wakati
@ uume kulegea ktkt ya safari
@ kushindwa kufika kileleni kwa wakati
@ kukosa ladha ya tendo na kupoteza ham haraka
@ mbegu chache na nyepesi ambazo haziwezi kurutubisja yai ka mwanamke

Kwa kawaida mwanaume anaweza kufanya tendo la ndoa na wanawake watatu tofauti kila siku na wote wakarizika lakini hii kwa sasa ni uongo

Sasa basi usiogope na kukosa amani na kushusha heshima yako na wanaume wote kwa ujumla, njoo bright future tukupatie virutubisho tiba visivyo na kemikali vitakusaidia kuboresha mfumo na urudi sawa bila kuathiri afya yako

Tupo nchi nyingi kwa tz tupo mikoa mingi nipigie au

Address

Dodoma

Telephone

+255717597980

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ibondo_health_care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share