Msumba AfyaClinic

Msumba AfyaClinic Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Msumba AfyaClinic, Medical and health, Dodoma.

Tunatoa ushauri na matibabu kwa changamoto za uzazi upande wa wanawake na wanaume pia
wasiliana na Dr Msumba upate msaada zaidi kwa kugusa link hapo chini

https://wa.me/255623252280

LINI UTAACHA KUTOKWA NA UCHAFU UKENI*Chukua muda mfupi Soma hii*📌Tatizo la kutokwa na uchafu ukeni wenye harufu  mbaya h...
24/03/2025

LINI UTAACHA KUTOKWA NA UCHAFU UKENI

*Chukua muda mfupi Soma hii*

📌Tatizo la kutokwa na uchafu ukeni wenye harufu mbaya hii ni hali mbaya sana kwani inaleta fedheha hasa unapokuwa na watu na hata kwa mpenzi wako

📌Kutokwa na uchafu ukeni ni sababu ya haya
1.Pelvic inflammatory deseases (P.I.D)

2.Candidiasis(fungal infections)

3.Gonorrhoea,Sphillis

4.U.T.I

📌Hali hii inakera sana hasa unapo kuwa na rafiki yako au na mwenzako wakati wa kula keki inaweza kujutoa mchezon hata kupelekea kuharibu mahusiano

🛑FANYA HIVI KUONDOKANA NA TATIZO HILI

1.Tibu tatizo hili kwa kikamilifu kabisa lisiweze kujirudia tena

2.Zingatia usafi wako binafsi

3.Epuka kuvaa nguo zenye unyevu na zinazobana

4.Epuka vyakula vyenye sukari nyingi kwani huchochea kuongezeka kwa Fungus

5.Epuka kutumia vitu vyovyote kuweka ukeni k**a sabuni au manukato kwan hupelekea kuongeza PH ya uke na kufanya fungus kuwa wengi

🛑HEBU JIULIZE UTAKUWA NA HUO UJAFU MPAKA LINI?

K**a hali hii inakukera na kukunyima amani leo nipo hapa kukusaidia kwa ushauri zaidi na matibabu

+255623252280
Msumba
AfyaClinic
AFYA YAKO KIPAUMBELE CHETU

*WANAUME WA HIVI WANAFIKAGA МАРЕМА KILELENI.*Mwanaume anayefika kileleni chini ya dakika 2 huenda ana changamoto ya kufi...
17/03/2025

*WANAUME WA HIVI WANAFIKAGA МАРЕМА KILELENI.*

Mwanaume anayefika kileleni chini ya dakika 2 huenda ana changamoto ya kufika kileleni mapema.

Hali hii inaweza kumpata mwanaume yeyote ila zaidi hutokea kwa wanaume wa aina hii:-

A. Wanaume wenye msisimko mkubwa katika uume.

Baadhi ya wanaume wanakuaga na msisimko mkubwa kuliko kawaida katika uume hasa katika kichwa.

B. Wenye umri kuanzia miaka 16 hadi 20.

Vile vile tafiti zinaonyesha kua vijana katika umri wa kubalehe wanapata changamoto hii ya kufika haraka kileleni

C. Wanaume ambao hawajatahiliwa.

Kitaalamu ni kwamba uume ambao haujatahiliwa una msisiko mkubwa kuliko uliotahiliwa.

D.Wanaume ambao ndo mara ya kwanza kufanya mapenzi.

E.Wanaume wenye kitete,Hofu, Wanaopania au wenye msongo wa mawazo.

F. Wanaume wanaopiga punyeto mara kwa mara na kwa muda mfupi...

Mfano kupiga punyeto na kumaliza ndani yo dk 3.

G. Wanaume wanaongalia picha za ngono mara kwa mara nk.

Kitete, Hofu na Msongo wa mawazo vinasababisha mwanaume kumwaga mapema,

Tumia NATURAL CEUTICAL kuchelewa kufika kileleni,Na Uzuri Ukitumia Tiba Hii Unapona Moja Kwa Moja

lnapatikana Ofisini Kwetu Dodoma Majengo sokoni
Mikoani Kote Tunatuma Na Ni Free Delivery kabisa

*”Kwahio” K**a Unahitaji ushauri na kupata wasiliana nasi kwa huduma zaidi*
+255623252280
Msumba
AfyaClinic
AFYA YAKO KIPAUMBELE CHETU

*Anachohitaji mwanamke wakati wa tendo la ndoa*1. Anataka Uzungumze usiwe bubu/talk to her.2. Anataka umuangalie machoni...
12/03/2025

*Anachohitaji mwanamke wakati wa tendo la ndoa*

1. Anataka Uzungumze usiwe bubu/talk to her.

2. Anataka umuangalie machoni/look her eyes.

3. Anataka Umshike/Umchezee nywele Zake.

4. Anataka umsifie mkiwa mnaendelea na kazi.

5. Anataka umvue nguo polepole/undress slowly.

6. Anataka Umpapase na kumbusu kila mahali.

7. Anataka uwe umejiandaa kisaikolojia/Hygiene.

8. Anataka uzime kabisa simu yako isipatikane.

9. Anataka Mkichoka mpumzike,kisha muendelee.

10. Anataka Umshike mkono wake vizuri.

11. Anataka usimuonee aibu ujiamini.

12. Anataka umkumbatie kwa nguvu sana.

13. Anataka usiwe na Pupa/Dont be aggressive.

Kubwa Kuliko Usisahau Kumfikisha Kileleni

_*Kwahio K**a unawahi Kumwaga Na Kushindwa Kurudia Tendo wasiliana na mtaalamu wetu akusaidie*

+255623252280
Msumba
AfyaClinic
AFYA YAKO KIPAUMBELE CHETU

FAIDA YA KUTUMIA KITUNGUU SWAUMU👉Inasaidia kuyeyusha mafuta mwilini.👉Inasaidia kusafisha njia ya mkojo na inasaidia kupu...
20/01/2025

FAIDA YA KUTUMIA KITUNGUU SWAUMU

👉Inasaidia kuyeyusha mafuta mwilini.

👉Inasaidia kusafisha njia ya mkojo na inasaidia kupunguza kasi ya uweneaji wa maambukizi mwilini hasamagonjwa k**a PID na UTI.

👉inasaidia kupunguza maumivu ya jongo \Gout

👉Inaongeza hamu ya kula

👉Inasaidia kuzuia saratani

👉Inasaidia kuongeza kinga mwilini kwa kuongeza uzalishaji seli mpya idadi nyingi.

👉Inazuia magonjwa k**a typhoid, kuhara damu na msokoto wa tumboni na kipindupindu

👉Inasaidia kuondoa mabaka mabaka kwenye ngozi

👉kitungu swaumu inasaidia kupunguza msongo wa mawazo na kutibu changamoto ya kukosa usingizi.

👉Kitungu swaumu kinasaidia kuupa ubongo nguvu na afya yakufanya kazi vizuri

👉Inasaidia kuongeza nguvu za kiume.

👉Inasaidia kuongeza kasi ya mmeng'enyo wa chakula

👉Inasaidia kupunguza maumivu ya kichwa

👉Inasaidia kupunguza madhara ya Kisukari na pesha ya kupanda (Dm)

MATUMIZI YA VITUNGU SWAUMU

Tumia vitungu swaumu punje 5 Asubuhi na punje 5 jioni vikate vidogo.
Kisha meza k**a vidonge

Kwa msaada zaidi wasiliana nasi

AfyaClinic
Msumba
+255623252280

AFYA YAKO KIPAUMBELE CHETU

DALILI 10 ZINAZOONESHA KUWA UPO HATARINI KUPOTEZA UWEZO WA KUPATA UJAUZITO.1. Kubadilika badilika kwa hedhi2. Kupata mau...
17/01/2025

DALILI 10 ZINAZOONESHA KUWA UPO HATARINI KUPOTEZA UWEZO WA KUPATA UJAUZITO.

1. Kubadilika badilika kwa hedhi

2. Kupata maumivu wakati wa hedhi

3. Kupata damu ya hedhi nyeusi, au yenye mabonge mabonge ya damu

4. Kupata maumivu wakati wa hedhi

5. Kupata hedhi zaidi ya siku saba.

6. Kupada hedhi chini ya siku tatu.

7. Kutokwa na uchafu ukeni na miwasho pamoja na harufu mbaya

8. Kupata maumivu upande wa kushoto au wa kulia wakati wa siku za hata Download

9. Kuumwa na kuvimba kwa matiti wakati wa hedhi

10. Kupata maumivu makalu wakati wa tendo la ndoa.

K**a una dalili zozote hapo juu nakushauri sana chukua hatua mapema ili uweze kupata ujauzito.

Kumbuka sababu moja inaweza kuzalisha matatizo mengine zaidi, kwahiyo unapoona dalili ambayo siyo ya kawaida kuwa mwepesi kuchukua hatua za matibabu mapema.

Tumeamua kukusaidia na tutahakikisha changamoto ya kila mtu anayeanza matibabu anapata matokeo mazuri.

Karibu leo tukuhudumie...

https://wa.me/255623252280

MSUMBA AFYACLINIC

AFYA YAKO KIPAUMBELE CHETU

TUNAWASHUKURU WA KUWA NASI 2024Msumba AfyaClinic  tunakushukuri kwa kuwa sehemu ya familia 2024 na kutufanya kufanya kil...
31/12/2024

TUNAWASHUKURU WA KUWA NASI 2024

Msumba AfyaClinic tunakushukuri kwa kuwa sehemu ya familia 2024 na kutufanya kufanya kile ambacho Mungu alituongoza kuhakikisha tunawasaidia kutatua changamoto za afya na hata kujifunza pia

TATHIMINI YA HUDUMA ZETU 2024

Jumla ya wateja tuliowahudumia na kuanza dose _ 115

Wateja wa k**e 79= 68.69%
Wateja wa kiume 36=31.3%

Waliomaliza dose 93=80.8
Amabao hawajamaliza dose 22=19.2

Waliotoa mrejesho wa kupona 104
Ambao hawajatoa mrejesho wowote 11

2025 Tutafanya zaidi ili kuleta furaha na Afya kwa watu wengi zaidi

Msumba
AfyaClinic

AFYA YAKO KIPAUMBELE CHETU

DALILI ZA MVURUGIKO WA HOMONI (HORMONAL IMBALANCE)●Kupata hedhi zaidi ya siku saba na chini ya siku tatu●Kutoka kwa mimb...
31/10/2024

DALILI ZA MVURUGIKO WA HOMONI (HORMONAL IMBALANCE)

●Kupata hedhi zaidi ya siku saba na chini ya siku tatu
●Kutoka kwa mimba
●Kushindwa kushika ujauzito(Ugumba)
●Uzito kuongezeka ghafla
●Maumivu,vimbe kwenye maziwa na kutoka majimaji
●ukavu ukeni
●Maumivu Wakati wa tendo la ndoa
●Kuvurugika kwa hedhi(Hedhi isiyo salama)
●Maumivu chini ya kitovu
●Kuwa na dalili za ujauzito
●Kuongezeka tumbo na nyama zembe
●Uchovu wa mara kwa mara na kukosa usingizi
●Maumivu ya viungo kiuno na mgongo
●Kuharibika usini na kuwa na chunusi nyingi
●Kuchagua chagua vyakula

Kuna dalili nyingi za kuwa na tatizo la mvurugiko wa hormoni hizi ni baadhi

K**a unadalili kati ya hizi wasiliana nasi upate ushauri na msaada wa kurekebisha hormone zako

+255623262280
Msumba
Msumba AfyaClinic_ AFYA YAKO KIPAUMBELE CHETU

LIFAHAMU TATIZO LA MVURUGIKO WA HOMONI (HORMONAL IMBALANCE)Leo tutajifunza kwa undani zaidi kuhusiana na tatizo la hormo...
30/10/2024

LIFAHAMU TATIZO LA MVURUGIKO WA HOMONI (HORMONAL IMBALANCE)

Leo tutajifunza kwa undani zaidi kuhusiana na tatizo la hormonal imbalance sababu wengi wamekuwa wakiniulza sana kuhusiana na changamoto hii

Hii inatokea pale kuna kuwa na uwiano mbaya wa vichocheo vya mwili kwenye eneo husika

VYANZO VYA MVURUGIKO WA HOMONI (HORMONAL IMBALANCE)

■ Sumu mwilini
■Matumizi ya njia za kisasa za uzazi wa mpango
■Mfumo mbovu wa maish
■Uzito mkubwa
■Mabadiliko ya mazingira
■Msongo wa mawazo
■Lishe duni
■Utoaji mimba
■Magojwa ya kwenye mfumo wa uzazi
■Ongezeko la hormone ya Adrogen (kuota ndevu na kuwa na sauti nzito)
■Kupungua au kupanda kwa vichocheo vya mwili

_wanawake wengi wamekuwa na hili tatizo bahati mbaya hawajui nini chanzo cha kuwa na tatizo hili_

MSUMBA AFYACLINIC TUPO KUKUSAIDIA

_Elimika Nasi_

_ONA_!*K**a Un unachangamoto yeyote ya uzazi inakusumbua na k**a una uvimbe kwenye kizazi na kwenye mayai*Leo mchana nil...
25/10/2024

_ONA_!

*K**a Un unachangamoto yeyote ya uzazi inakusumbua na k**a una uvimbe kwenye kizazi na kwenye mayai*

Leo mchana nilisikia Ujumbe ukiingia Kwenye simu Yangu Kufungua Nikaona Ujumbe wa Furaha Sana Wa madam Martha Uliosema….,

*“Mungu akubaliki sana 🥰😊 for sure nashindwa hata niseme nn an 😔😔 Mungu aendelee kukutumia kuponya wengine 😫😫😫 🙏🙏🙏🙏🙏🙇🙇”*

Nikamuuliza ..."Eeh nambie wamekwambiaje"

Akanipa jibu lenye furaha kwake lililomfanya mpaka alie...*"Uvimbe haupo 🙏😫😫😫"*

Nakurudisha Miezi kadhaa iliyopita madam Martha alikuwa anapiga story na rafiki yake juu ya hali aliyokuwa anapitia ya uvimbe kwenye mayai

Baada ya kwenda hospital ya rufaa dodoma zaidi ya mara mbili bila kupata msaada na uvimbe ukafika cm 4 na kuhisi maumivu makali sana wakamshauri afanyiwe upasuaji

Iliwa mwezi wa saba mwishoni rafiki yake alimuunganisha nami nikazungumza naye iki kuona nawezaje kumsaidia kutatua shida yake na nikamushauri kutumia dose kwa miezi mitatu kulingana na hali ilivyokuwa

Changamoto ikawa pesa ya kuanza matibabu na ilipofika mwezi wa tisa mwanzoni alifanikiwa kuanza dose ya mwezi mmoja kwaajili ya kutatua shida yake ya uvimbe

Baada ya kumaliza dose maumivu yaliisha nikamshauri akapime kuona uvimbe umepungua kiasi gani

Leo asubuhi akanipigia simu anaenda kupima kwenye hospital ya rufaa na majibu yakaonesha uvimbe umeisha

Kilichomfanya awe mwenye furaha zaidi

*“Kabla sijasahau”K**a Unataka Kupona madam Martha wasiliana nasi kwa msaada na ushauri zaidi Kupitia*

+255623252280

Msumba
Msumba AfyaClinic_ AFYA YAKO KIPAUMBELE CHETU

SISI TUNATIBU MUNGU ANAPONYA

*MADHARA YA MATUMIZI YA MATE KATIKA TENDO LA NDOA KWA MFUMO WA UZAZI WA 🛑Kinywa cha binadamu kimeundwa na mamia ya bacte...
22/10/2024

*MADHARA YA MATUMIZI YA MATE KATIKA TENDO LA NDOA KWA MFUMO WA UZAZI WA

🛑Kinywa cha binadamu kimeundwa na mamia ya bacteria (oral micro flora) ambao ni rafiki kwa afya ya kinywa.
Pia katika mfumo wa uzazi wa wanawake kuna aina ya bacteria(lactobuciluss bacteria) pamoja na Fungus (candida albicans) ambao ni rafiki kwa mfumo wa uzazi wa mwanamke.

🔴Kumekua na matumizi ya sio sahihi ya mate wakati wa tendo la ndoa wapenzi wengi wamekua wakitumia mate k**a vilainishi.

Matumizi ya mate k**a vilainishi ina madhara makubwa kwasababu unapochukua mate na kuyaweka katika uke unahamisha bacteria wanaopatikana katika mdomo na kuwaleta katika uke.
Kumbuka hao ni aina tofauti za bacteria hivyo hawawezi kuishi pamoja matokea yake hukinzana na husababisha either wageni au wenyeji kudhoofika na husababisha madhara makubwa wakati mwingine hupelekea

👉Kupata mamabukizi ya Fungus Ukeni

👉Kupata infection kwenye via vya uzazi

👉Uvimbe na magonjwa mengine ya mfumo wa uzazi.

👉Maumivu wakati wa tendo na michubuko.

**WATU HUTUMIA MATE SABABU YA UKE KUWA MKAVU ILI MWANAMKE AWEZE KUINGILIWA INABIDI AWE NA UTE UTE UTAKAORAHISISHA JITAHIDI KUTAFUTA UKE UACHE MATUMIZI YA MATE***
______________________________
**K**A UNASUMBULIWA NA UKAVU UKENI NA KUPELEKEA KUTUMIA MATE WASILIANA NASI KWA MSAADA ZAIDI*

Afya Clinic
AFYA YAKO KIPAUMBELE CHETU
☎️+255623252280

❗Je, huwa unapata ute wa uzazi siku za hatari (ovulation days)?❗Je, unapata siku zako vile inavyotakiwa? Yaani mzunguko ...
05/10/2024

❗Je, huwa unapata ute wa uzazi siku za hatari (ovulation days)?

❗Je, unapata siku zako vile inavyotakiwa? Yaani mzunguko wa siku zako upo sawa?

❗je, unapata maumivu makali sana ya tumbo wakati wa hedhi?

❗Je, una uvimbe kwenye kizazi?

❗Je, mirija ya uzazi imeziba?I UJAUZITO

JIUJIZE MASWALI YAFUATAYO

👉 Je, unatokwa na uchafu wa aina yeyote ile ukeni?

👉Je, unapata maumivu tumbo wakati wa period?

👉Je, unatokwa damu baada au wakati wa tendo la ndoa?

👉Je unakuwa mkavu sana wakati wa tendo la ndoa?

👉Je umetumia uzazi wa mpango na hujasafisha sumu mwilini?

👉Je, ulishawahi kutoa ujauzito?

👉Je, umeshawahi kuugua fangasi au P.I.D (mashambulizi ya bakteria kwenye kizazi)?

k**a jibu ni ndio kwa sababu mojawapo tajwa hapo juu basi hiyo ndiyo Sababu inayokuzuia

Wasiliana nasi upate msaada wa ushauri ili upate kutatua tatizo lako

Msumba

+255623252280

SIFA YA HEDHI ISIYO SALAMAWanawake wengi wamekuwa wakiniuliza, "Dr nitajua vipi k**a nina hedhi isiyo salama"?• Ukiyaona...
03/10/2024

SIFA YA HEDHI ISIYO SALAMA

Wanawake wengi wamekuwa wakiniuliza, "Dr nitajua vipi k**a nina hedhi isiyo salama"?

• Ukiyaona mambo yafuatayo katika hedhi yako ujue Kabisa hedhi yako sio salama na unatakiwa kuchukua hatua za kimatibabu haraka iwezekanavyo.

👉Hedhi inayoambatana na maumivu makali ya tumbo.

👉Hedhi inayoambatana na tone dogo la damu kwa muda wa siku moja au mbili kisha inakata.

👉Hedhi inayoambatana kupata damu nyingi na nzito inayotoka kwa muda mrefu pasipo kukata.

👉Kupitisha miezi kadhaa pasipo kupata damu ya hedhi ijapokuwa huna ujauzito.

👉kuwa na hedhi isiyoeleweka ni ya siku ngapi

👉Kupata hedhi zaidi ya mara moja kwa mwezi na hedhi inayotoka kwa muda mrefu

🛑Changamoto hii hutokana mvurugiko wa homoni mwilini.
hasa kwa wanaotumia njia za uzaza wa mpango au P2

Changamoto hii inatibika k**a ukichukua maamuzi ya kubadili mfumo wako wa maisha na kubadili mfumo wako wa vyakula na vinywaji.

NB: Kwa wewe mwenye dalili hizo, au haupati mimba wala ute wa uzazi kabisa. Usiendelee kuhangaika wasiliana nasi tukusaidie

.Msumba
Msumba AfyaClinic

AFYA YAKO KIPAUMBELE CHETU

Address

Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Msumba AfyaClinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Msumba AfyaClinic:

Share