28/12/2023
🟢🟢KUUMIKA (HIJAMA/WET CUPPING)🟢🟢
▶️Kuumika ni mbinu zenye asili ya kale zilizohusisha kutoa damu chafu katika mwili.
🔴Uwepo wa damu chafu katika mwili husababisha maumivu,pamoja na athari zingine zinazopelekea maradhi ambayo mengi yamekua ni korofi katika matibabu.
🔵Mifumo yetu ya maisha ya sasa,ikiwemo nidhamu zisizo rafiki kwenye kula,matumizi holela ya dawa za hospitali,machafuko ya hali ya hewa pamoja na sababu zinginezo hutuweka katika hatari ya kua na damu chafu.
ZIFUATAZO NI MIONGONI MWA FAIDA ZA KUUMIKA
1️⃣Husaidia kuondoa sumu mwilini ikiwemo heavy metals
2️⃣Husaidia kwenye maumivu makali hasa maumivu ya misuli,kipanda uso,viungo,mgongo pamoja na kiuno
3️⃣Husaidia katika masuala ya ugumba,maumivu makali wakati wa hedhi(dysmnorrhoea) pamoja na kutokuona hedhi(amenorrhoea) kwa wanawake
4️⃣Husaidia kuondoa uchovu uliopitiliza(chronic fatique syndrome)
5️⃣Husaidia katika maradhi ya Baridi ya bisi(rheumatoid arthitis),kisukari (diabetes) pamoja na shinikizo la juu la damu(hypertension)
6️⃣Husaidia kuongeza mzunguko wa damu baada ya kutolewa kwa damu chafu iliyokua ikisababisha mgandamizo
✅Mbali na faida hizi tajwa,kuna faida nyingine nyingi tu ambazo tija hupatikana baada ya kuhuisha mzunguko mzuri wa damu kwa kupitia utoaji wa damu chafu iliyokua ikileta congestion ndani ya mwili .
Hizo ni miongoni mwa faida za kuumika
Ifahamike kua,baada ya zoezi la kuumika,mabadiliko katika mfumo wa maisha hasa katika suala la ulaji ni muhimu,ila pia mabadiliko hayo yaendane na aina cha changamoto uliyokua nayo,au lengo halisi lililokufanya ufanye aina hii ya matibabu.
ℹKwa maelezo zaidi/maswali piga simu namba 📞 0784144385
CHOICE WELLNESS CENTER.
Arusha,Tanzania
HUDUMA ZETU ZINGINE NI PAMOJA NA
SAUNA|CUPPING & HIJAMA|FACIAL CARE|HOLISTIC APPROACH|HERBAL DRUGS
#