Nkambayuro Nutrition

Nkambayuro Nutrition "NKAMBAYURO NUTRITION" . Kwa msaada zaidi wasiliana nae kwa kupiga 0766800717

Tunasaidia kutibu wamama wenye Uvimbe usiozidi cm8 kwenye kizazi bila operation, kuzibua mirija bila kuacha makovu, kuondoa sumu & kubalance homoni za uzazi, kutibu Fangasi, UTI na PID sugu. Tunasaidia Wanawake kutibu uvimbe kwenye kizazi & Kuzibua mirija bila kufanyiwa upasuaji (operation), na kuwapa ushauri namna ya kushika mimba kirahisi k**a kumsukuma mlevi.

*Ni kweli wapo watu matapeli mtandaoni ukituma pesa ulicholipia hupati, hapa umakini unahitajika kabla hujatoa pesa yako...
26/10/2024

*Ni kweli wapo watu matapeli mtandaoni ukituma pesa ulicholipia hupati, hapa umakini unahitajika kabla hujatoa pesa yako.*

Pia ni vizuri kupata huduma sehemu ambayo unauhakika wa kupata hitaji la moyo wako unaweza kulipia dozi kumbe haina uwezo wa kukutibu.

*NKAMBAYURO NUTRITION* TUNAKURUHUSU kabla hujafanya maamuzi ya kuanza dozi kwetu *tufuatilie hata kwa miaka utakayojipangia ukiona unajiridhisha na huduma zetu ndipo ufanye malipo uanze dozi chini ya usimamizi wa wataalamu wetu.*

Huyu alitufuatilia kwa miaka2 mfululizo *je wewe umepanga utufuatilie kwa mda gani?*

Unaweza kubofya namba hii 👇 kuangalia shuuda zaidi.
https://wa.me/c/255714881882

FANYA YAFUATAYO K**A KUZUIA MAMBUKIZI YA FANGASI Usipake mate uken wakati wa tendo, kunachangia kuua bakteria wazuri uke...
11/10/2024

FANYA YAFUATAYO K**A KUZUIA MAMBUKIZI YA FANGASI
Usipake mate uken wakati wa tendo, kunachangia kuua bakteria wazuri uken na kupelekea idadi ya fangasi kuongezeka pia kutojitawadha kwa kutumia sabuni, na usitumie antibakteria kihorela n.k ni baadhi ya njia za kujikinga na fangasi uken.

Kabla ya huendelea kusoma sababu ya pili https://wa.me/c/255714881882

bofya liki hapa chini upate namba yetu itakusaidia kuuliza maswali na kupata ushauri unapohitaji msaada wetu.
https://chat.whatsapp.com/BBUsJQ9rJh1IpxrR166E0L

Njia ya pili tumia matunda na mboga kwa wingi kuongeza seli hai zinazoimarisha kinga ya mwili pamoja na PH ya uken.

Tatu usivae nguo za ndani mbichi au usikae na unyevunyevu uken.

Nne kabla ya kushiriki tendo hakikisha wote hamna fangasi,

Tano usitibiwe fangasi peke yako hakikisha mpenzi wako anapata tiba pia.
kwasababu leo utatibiwa lakini kesho utaambukizwa na mpenzi wako aloambukizwa na mchepuko wake.

Karibu inbox nikupe maarifa ambayo hujapata kuhusu fangasi. Gusa link 👇🏽👇🏽

https://wa.me/255714881882?text=Dr%20naomba%20kujua%20taratibu%20za%20malipo%20Nianze_dozi%20yangu%20nataka%20namimi%20nipone%20*fangas.*

02/10/2024

1️⃣ Hakikisha hauna tatizo la hormone imbalance, uvimbe au mambukizi ya fangasi/PID na mirija isiwe na makovu wala uchafu.

"Kabla ya kuendelea kusoma, na unahangaika sana kupata mimba bofya namba hii tukupe ushauri watsap."
https://wa.me/c/255714881882

2️⃣ k**a umetumia uzazi wa mpango au P2 hakikisha unaondoa sumu kwa kutumia vyakula asilia au tibalishe maalumu.

3️⃣ Zingatia kujua siku zako za hatari ili iwe rahisi kucheza nazo...

4️⃣ Hakikisha unashiriki tendo siku za hatari

Mpaka hapo unaona ilivyo rahisi k**a ilivyo wa wanafunzi au house girl 👧.

K**a bado haupati ujue kuna tatizo unahitaji msaada wa kitaalamu, karibu watsap.
0714 881 882

Karibu tukurahisishie kazi mwaka huu uitwe mama kijacho.

Wasiliana nasi kupata ushaukwa namba
0714 881 882
0714800 717 au
0766 800 717

Helloooooo!!!Hongera sana kwa kumaliza mwezi wa 8 mpendwa wetu. Mungu akupe Afya njema, amani ya moyo na utulivu wa akil...
31/08/2024

Helloooooo!!!

Hongera sana kwa kumaliza mwezi wa 8 mpendwa wetu.

Mungu akupe Afya njema, amani ya moyo na utulivu wa akili katika mambo yako.

Amini utaanza mwezi wa 9 kesho ukiwa salama kabisa.

Epuka mazoea yote ambayo watu wanayo ili uweze kufanya makubwa kumbuka uliumbwa kwa kusudi.

NB: Usiache *kuweka AKIBA na kuwekeza zaidi kwenye afya yako, mana ndo mtaji wako wa kwanza.*

KARIBU SANA
*NKAMBAYURO NUTRITION*

"SISI TUNATIBU MUNGU ANAPONYA, UTAPELI KWETU MWIKO."

Follow ,

*MADHARA YA KUPAKA MATE UKENI WAKATI WA TENDO LA NDOA.*️Kabla sijaanza na madhara nianze na kuelezea kazi ya mate kinywa...
16/08/2024

*MADHARA YA KUPAKA MATE UKENI WAKATI WA TENDO LA NDOA.*

️Kabla sijaanza na madhara nianze na kuelezea kazi ya mate kinywani.

Mate ni mchanganyiko wa maji, uteute na kimeng'enya kinachofahamika k**a SALIVARY AMYLASE au PTYALIN.
➡️Kazi ya maji yaliyo katika mate ni kuyeyusha chakula kinywani
➡️Kazi ya ute ni kulainisha chakula kiwe rahisi kumeza
➡️Kazi ya kimeng'enya (salivary amylase) ni kubadili wanga / kabohaidrete kuwa sukari rahisi *maltose*
Kwaiyo tunaona kazi kubwa ya mate ni kimeng'enya chakula.

~ Kinywa cha binadamu kimeundwa na mamia ya bacteria (oral micro flora) ambao ni *rafiki kwa afya ya kinywa.*

Pia katika mfumo wa uzazi wa wanawake kuna aina ya bacteria(lactobuciluss bacteria) pamoja na Fungus (candida albicans) ambao ni rafiki kwa mfumo wa uzazi wa mwanamke.

*SASA TATIZO HUTOKEAJE?*

Unapochukua mate na kuyaweka katika uke wa mwanamke unahamisha bacteria wanaopatikana katika mdomo na kuwaleta katika uke.

Kumbuka hao ni aina tofauti za bacteria hivyo hawawezi kuishi pamoja matokea yake hukinzana na husababisha either wageni au wenyeji kudhoofika,
Wenyeji wanapodhoofika hufanya bacteria wageni kutawala eneo hilo na kwa kuwa bacteria hao sio eneo husika kwao kuishi huanza kuleta madhara makubwa katika uke na kupelekea aina mbali mbali za maambukizi katika via vya uzazi vya mwanamke.

~Pia bacteria hao wakati mwingine huweza kuzoeana na kuzaa bacteria ambao ni chotara Ambao huwa wanaweza kuwa wapole au wakali sasa wakiwa wakali husababisha madhara makubwa wakati mwingine upelekea KANSA YA KIZAZI, UVIMBE na magonjwa mengine ya mfumo wa uzazi.

MWISHO;
K**a umependa makala hii na ungepanda kupata elimu sahihi ya afya kila siku, usihaau kulik ukurasa Wetu ili kutopitwa na makala zetu pendwa za afya.

Unaweza kuwa mwalimu kwa wengine kwa KUS-hare makala hii zaidi na zaidi ili wengi wapate Elimu hii uliyoipata wewe.

_Kwa ushauri/ elimu zaidi na matibabu wasiliana nasi; kupitia WhatsApp/Call/Sms 📞0714800717_

*NKAMBAYURO NUTRITION TUNATIBU MUNGU ANAPONYA.*

HABARI ZA MWAMKO WAPENDWA WA *NKAMBAYURO NUTRITION?**Kumekucha wapendwa, twendeni mazoezini.* _Zoezi la kukimbia au kuru...
14/08/2024

HABARI ZA MWAMKO WAPENDWA WA *NKAMBAYURO NUTRITION?*
*Kumekucha wapendwa, twendeni mazoezini.*

_Zoezi la kukimbia au kuruka kamba walau kwa dk30 tu, ni nzuri zaidi kiafya mana inahusisha viungo vyote vya mwili._

*Bofya link hapo ya akaunt yetu kisha "follow" ili kupata elimu zaidi kuhusu afya yako.* 👇
https://www.instagram.com/nkambayuronutrition?igsh=aGRvcXpuYng1cm45

*KUNA SABABU MBALI MBALI ZINAZOPELEKEA MWANAMKE ASIPATE UJAUZITO NA SABABU HIZO ZINAWEZA KUWA ZA MWANAMKE AU MWANAUME.*M...
06/08/2024

*KUNA SABABU MBALI MBALI ZINAZOPELEKEA MWANAMKE ASIPATE UJAUZITO NA SABABU HIZO ZINAWEZA KUWA ZA MWANAMKE AU MWANAUME.*

Miaka ya Sasa uzazi umekuwa na changamoto kubwa mno,
.. Asilimia 25 yawatu wanaotaka kubeba ujauzito wanakabiliwa na tatizo la kutobeba ujauzito.

🔸MAMBO YA KUZINGATIA UNAPOTAKA KUBEBA UJAUZITO.

*Kabla ya kuendelea bofya link hapo ya akaunt yetu kisha "follow" ili kupata elimu zaidi kuhusu afya yako.* 👇
https://www.instagram.com/nkambayuronutrition?igsh=aGRvcXpuYng1cm45

1: Hakikisha Afya yako ya uzazi iko sawa, Onana na daktari wako akufanyie vipimo wewe na Mumeo ili kujua K**a Afya yenu iko salama kubeba ujauzito.
:

2: zingatia kula vyakula sahihi( lishe Bora) itakayokusaidia kuboressha Afya ya Mwili na uzazi zaidi.
:

3:Mwanaume aache kunywa pombe, sigara, naye azingatie vyakula sahihi kwake .
:

4: Epuka kutumia Madawa holela, kwenda duka la dawa kununua dawa Bila ruhusa ya daktari Ni hatari zaidi.
:

5: Anza kutumia vidonge vya folic Acid, Tumia virutubisho hivi miezi 3-4 kabla ya kuanza kutafuta Mtoto.
:

6: Zingatia kufanya zaidi tendo la ndoa siku zako za Ovulation kuzidi siku zingine za kawaida.
:

7; Zingatia na kufuatilia Mzunguko wako wahedhi kwani itakurahishia kujua siku zako za kushika ujauzito.
:

8: Punguza stress ( Msongo wa mawazo, Acha mwili uwe huru zaidi, itakurahishia homoni kuwa sawa.
:

9: Panga muda/ wakati sahihi wakubeba ujauzito zaidi.
:

NB: zingatia kuwa na uzito sahihi unaotakiwa, uzito mkubwa nichanzo pia chakufanya usibebe ujauzito

Gusa hapa👇🏻
https://wa.me/c/255714800717

*NKAMBAYURO NUTRITION TUNATIBU MUNGU ANAPONYA.*

❗Bila utando huu mweupe ambao jina lake sahihi ni vernix, ngozi ya mtoto ingetengeneza makunyazi au hata kubanduka kabis...
04/08/2024

❗Bila utando huu mweupe ambao jina lake sahihi ni vernix, ngozi ya mtoto ingetengeneza makunyazi au hata kubanduka kabisa.

Wakati anaelea tumboni kwenye maji ya uzazi kwa kipindi chote cha ujauzito.

Utando huu huikinga ngozi ya mtoto dhidi ya maambukizi mbalimbali awapo tumboni na ndiyo humfanya mtoto azaliwe akiwa na ngozi laini.

Utando huu huendelea kupungua kadri muda wa kujifungua unavyozidi kukaribia,ndiyo maana watoto waliopitiliza muda wao wa kawaida huzaliwa na utando mdogo sana au huzaliwa bila kuwa nao kabisa
-
Hautokani na matumizi ya aina fulani ya chakula au vinywaji, kuwa na tabia fulani,wala mama mjamzito kushiriki tendo la ndoa hasa anapokaribia kujifungua. Utando huu siyo shahawa!

_Wasiliana nasi 0714800717._

*Bofya link hapo ya akaunt yetu kisha "follow" ili kupata elimu zaidi kuhusu afya yako.* 👇
https://www.instagram.com/nkambayuronutrition?igsh=aGRvcXpuYng1cm45

*NKAMBAYURO NUTRITION TUNATIBU MUNGU ANAPONYA.*

Tunakutakia Tarehe *01.08.2024* wenye afya njema, amani ya moyo kwako na familia yako. Endelea kutumia tibalishe bora ku...
01/08/2024

Tunakutakia Tarehe *01.08.2024* wenye afya njema, amani ya moyo kwako na familia yako.

Endelea kutumia tibalishe bora kutoka

Tazama shuuda kwa kubofya hii link https://wa.me/c/255714800717

Tuma sms/whatsapp
0714 800 717
0766 800 717

K**a unahitaji udhamini kutoka   katika shughuli inayohusu wanawake tunakukaribisha sana.
28/07/2024

K**a unahitaji udhamini kutoka katika shughuli inayohusu wanawake tunakukaribisha sana.

Address

Dodoma

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:45
Tuesday 08:00 - 17:45
Wednesday 08:00 - 17:45
Thursday 08:00 - 17:45
Friday 08:00 - 17:45
Saturday 08:00 - 17:45

Telephone

+255714800717

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nkambayuro Nutrition posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Nkambayuro Nutrition:

Share