17/03/2022
👉🏽 *JINSI YA KUONGEZA UWEZO WA KULA VIZURI CHAKULA CHA USIKU*
Changamoto ya kushindwa kula chakula halali cha usiku husababisha stress sana na huhitaji kuzungumzwa k**a hivi ili kuhakikisha jamii zetu zinakuwa na maisha ya ndoa yenye furaha siku zote.
Nafikiri unakubaliana nami kuwa chakula hiki ni muhimu sana kwa kila Baba Mwenye 'Jiko'
Hata awe Shehe au Pastor, wote, lazima tushiriki vile inavyotakiwa katika ulaji wa chakula hiki adhimu, tena kwa ukamilifu wake.
Utata huja pale ambapo chakula kipo tayari kwa kuliwa lakini uwezo wa kula chakula hicho Haupo.
Hata jitahida zifanyike vipi, huishia kwenye tonge moja tu,
Ambalo halishibishi!!
Yani Dakika moja tu, Chali!
Ushamwaga mchuzi!
Hali hii ndio imenisukuma leo ni'share nanyi jinsi ya kusaidia kumaliza ishu hii inayokosesha usingizi.
Wengi hufikiri mazoezi ndio kila kitu,
Ni kweli, siwezi kuwabishia.
Wengine wanaamini, ulaji unaofaa ndio suluhisho
Ni kweli pia, sikatai.
Wengine wakadai Mitishamba, madawa ya asili na yale ya hospitali,
hata wale waliosema kubadili tu mtindo wa maisha kunasaidia, nakubaliana nao kwa asilimia nyingi tena za kutosha.
Kifupi ni kwamba Nakubaliana na wote,
LAKINI,
Swali linakuja,
Je njia hizi humfaa kila mmoja aliye na changamoto hii kwa wakati wote?
Utagundua kwamba si njia zote huwafaa watu wote kwa wakati wote ndio maana tatizo haliishi na limeendelea kuwepo kila iitwapo leo.
Iko hivi,
Njia fulani huweza kumfaa mtu fulani kwa wakati fulani ikiwa tu muhusika ataendana nayo.
Je utajuaje njia ipi itaendana nawe?
Fungua whatsapp tuma ujumbe neno Afya Kwenda namba 0742439475 kwa msaada zaid.