Cobrothers pharmacy

Cobrothers pharmacy Our experienced medical professional including our Pharmacist and medical doctor's put your healing needs first.

We are proud to provide a high quality level of customer service.

26/05/2023

Mama delivery kit kutoka Cobrothers Pharmaceutical Co lmtd.

MAMA DELIVERY KIT  ZA COBROTHERSNi mfuko ambao umebeba vifaa vyote vya muhimu vinavyohitajika na mama mjamzito wakati wa...
26/05/2023

MAMA DELIVERY KIT ZA COBROTHERS

Ni mfuko ambao umebeba vifaa vyote vya muhimu vinavyohitajika na mama mjamzito wakati wa kujifungua

Mama mjamzito akishapata hii package anakuwa ametimiza sehemu kubwa ya maandalizi ya kumpokea mtoto anaetarajiwa

MAMA DELIVERY KIT ZA COBROTHERS hii imetengenezwa na kusambazwa na COBROTHERS CO LMTD na pia imesajiliwa na mamalaka zote husika ikiwemo mamlaka inayojihusisha na Dawa na vifaa tiba yaani TMDA hivyo kukuhakikishia usalama na ubora kwa mtumiaji

Lengo la kutengeneza MAMA DELIVERY KIT CHAPA YA COBROTHERS ni Kuungana na jitihada za serikali kupunguza vifo vya mama na mtoto hasa wakati wa kujifungua kwa kuandaa mazingira mapema.

MAMA DELIVERY KIT ZA COBROTHERS zinapatikana kwenye maduka ya dawa( Pharmacy) na baadhi ya hospital

Au unaweza ukapiga namba zifuatazo kwa mzigo wa jumla au rejareja

0763 522 952
0620 280 939
0785 995 572

With years of experience, Our medical team will assess you and create acustorm recovery plan that's right for you.
01/11/2021

With years of experience, Our medical team will assess you and create acustorm recovery plan that's right for you.

Cobrothers pharmacy DodomaWe care beyond prescription
31/10/2021

Cobrothers pharmacy Dodoma

We care beyond prescription

Address

Barabara Ya 11 Dodoma
Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Cobrothers pharmacy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Cobrothers pharmacy:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram