
29/12/2024
Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde, ametembelea Gereza Kuu Isanga akiambatana na wadau wa maendeleo Dodoma, maarufu k**a 'Dodoma Legends' jana Desemba 28, 2024 na kupokewa na Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza (CP) Nicodemus Tenga kwa niaba ya Kamishna Jenerali wa Jeshi la...