12/02/2023
Tunda hili linafaida kubwa katika mwili wa mwanadamu.
Na faida za tunda la apple ni k**a zifuatazo.
-Maumivu ya kichwa
Tunda hili linafaida katika maumivu ya kichwa.
Apple🍎 lilowiva unatakiwa ulimenye maganda yake,halafu ule kwa kutia chumvi kidogo kila siku asubuhi kabla ya kula kitu chochote, na uendelee kufanya hivi kwa muda wa wiki mbili.
-Anaemia
Tunda la apple lina madini ya iron,arsenic na phosphorus, kwa mtu mwenye ugonjwa huu inafaa kutengeneza juice ya 🍎 apple.
Inashauriwa kunywa glass moja ya juice ya apple kabla ya kula chakula(nusu saa kabla) na pia kabla ya kwenda kulala usiku.
-High Blood Pressure
Apple🍎 linasaidia katika kuongeza kutoa (Secration) mkojo ambapo husaidia kurudisha blood pressure katika hali ya kawaida pia inasaidia kupungua kwa sodium chloride katika figo.
-Dysentery
Kwa watoto wanao sumbuliwa na maradhi ghlabu, inashauriwa kumpa kila wakati kipande Cha apple🍎
kwani huzuia hali ya ugonjwa huo.
-Meno
Kila baada ya chakula kula 🍎 apple moja, kwa maana tunda hili husaidia sana kuyasafisha na kuyaepusha meno na vijidudu na kuoza.
-Matatizo ya Tumbo
Kuna matatizo tofauti ya tumbo, kwahiyo tunda hili limekusanya matatizo yote ya tumbo na kuondoa matatizo hayo.Changanya 🍎 apple, asali kidogo na ufura kidogo na kula kabla chakula hiki husaidia kuondoa matatizo ya tumbo K**a vile usagaji mdogo wa chakula na mengine.
-Kuharisha na Kutapika
Mwenye kutokezewa na ugonjwa huu ni vizuri sana kutumia tunda hili na kila siku ale mawili pia k**a yatapikwa au kuchomwa ni mazuri zaidi kwani hulainisha cellulose.
Mbali na hayo yote Kuna njia mbadala na rahisi zaidi ambayo ni tiba lishe kutoka India iliyo gunduliwa na Dr. Ahmed Lutfih yenye mchanganyiko wa maca,ashwagandha etc ambayo yenye virutubisho vinavyo julikana k**a stemcells vyakiayovedic vyenye uwezo wa kupambana na kuulinda mwili dhidi ya magonjwa na sumu zitokanazo na vyakula tunavyokula.
Kupata ushauri wa daktari
Piga Simu☎️ +255 788214288