
11/09/2025
*DODOMA BUSINESS & HEALTH TALK*
Karibu kwenye mkutano mkubwa wa *Biashara na Afya* utakaobadilisha mtazamo wako wa mafanikio!
π
*Junamosi, 13 Septemba 2025*
π *Kuanzia saa 8:00 Mchana*
π *Dodoma Hotel- DODOMA
ποΈ *Kiingilio: Tsh. 5,000/= tu*
π₯ Hii ni nafasi ya kipekee ya kujifunza:
βοΈ Mbinu za mafanikio katika biashara
βοΈ Jinsi ya kujenga afya na kipato
βοΈ Ushuhuda wa kweli na hamasa ya kusonga mbele
*KADI NI CHACHE!* Lipia yako mapema ili kuhifadhi nafasi.
*Usikose tukio hili la kipekee β Njoo ujifunze, uhamasike na ubadilike!*