23/02/2026
Kujikinga na tatizo la fangasi / UTI kujirudia mara kwa mara
1. Vaa nguo za ndani ambazo hazibani na zilizotengenezwa kwa pamba au hariri, usivae chupi au nguo za ndani za mpira
2. Epuka kufanya mapenzi na mpenzi wako mwenye maambukizi ya Fangasi / U.T.I mpaka pale atakapotibiwa na kupona kabisa.
3. Osha sehemu zako za siri kwa kutumia maji safi na jikaushe kwa kutumia taulo au kitambaa safi au Tishu
4. Epuka kuoga maji ya moto sana (hot baths), tumia maji ya uvuguvugu.
Kwa mawasiliano zaidi 0672327134