
06/10/2024
KWANINI NYANYA NI MSAADA WAKO MUHIMU KWENYE MFUMO WAKO WA UZAZI(MWANAUME).
(1).Rangi Nyekundu na Lycopene.
- Nyanya zina lycopene, kiwanja chenye nguvu cha antioxidant ambacho husaidia kupunguza viwango vya mafuta yasioyeyuka kwa urahisi mwilini na kuimarisha afya ya moyo na kuboresha mzunguko wa damu na kukuondolea tatizo la uume kusimama legelege.
(2).Vitamini C.
- Nyanya ni chanzo kizuri cha vitamini C, ambayo inachangia katika uzalishaji wa collagen, muhimu kwa afya ya mishipa ya damu haswa kwenye uume na kukuwezesha kuwa na uume imara.
(3).Madini ya Potasiamu(K).
- Nyanya zina potasiamu, ambayo inasaidia kudhibiti shinikizo la damu. Potasiamu husaidia kupunguza athari za sodiamu mwilini, hivyo kusaidia katika kudhibiti mzunguko wa damu hususani kwenye via vya uzazi,hii itakusaidia mwanaume kudumu kwa muda mrefu katika tendo la ndoa.
(4).Maji.
-Nyanya zina asilimia kubwa ya maji, ambayo husaidia katika kudumisha unyevu wa mwili na kuimarisha mzunguko wa damu kwenye mfumo wa uzazi.
Ikiwa Mwanaume unapata changamoto ya uzazi usisite kuwasiliana nasi kwa simu;
π0784 390 526
π0774 390 526
Tupo Dodoma mjini.
Wote Mnakaribishwa.