24/02/2025
Juice bora kutumia ni hii
kwa ajili kusafisha kibofu,
kulainisha nyonga,
kuondoa maumivu ya mgongo,
kuondoa kichefuchefu na kizunguzungu,
+ kuongeza uwezo wa mwili kupambana na magonjwa.
Muda Dakika 15
Idadi ya wanywaji : watu wawili
Mahitaji: Nanasi, Karoti + Tangawizi
Maelezo kwa ufupi..!
Tunda la nanasi na karoti vinachangia sana sukari yote ambayo juisi inatakiwa iwenayo.
Tangawizi inaweka uwiano sawa wa ladha kati ya nanasi na karoti,
k**a sio mpenzi wa tangawizi sio lazima kuitumia,
lakini k**a ni mpenzi wa nanasi au karoti unaweza kuzidisha kimojawapo ili upate ladha halisi ya unachokipenda.
Tangawizi: Inategemea na ubora wa tangawizi,
unaweza kuhitaji nyingi zaidi au wastani cha msingi uweze kupata harufu mwanana katika juisi yako.
•Menya vizuri nanasi yako kisha katakata vipande vidogo.
•Chukua vipande vya nanasi, karoti na tangawizi kisha saga kwenye blenda.
•Saga vizuri kisha chuja vizuri kwa chujio iliyo safi.
KUMBUKA Mwanaume Kit Package Ni tembe lishe na kahawa lishe kwa Ajili Ya Wanaume
Ni chakula tiba ya kuongeza uzalishwaji wa homoni za kiume ili kuboresha afya ya mbegu na misuri kwa wenye tatizo la:-
✓kuwahi kumaliza mapema,
✓maumbile dhaifu,
✓uume kusinyaa,
✓kukosa hamu ya tendo,
✓kushidwa kurudia,
✓kuondoa athari zilizotokana na punyeto