Rehema na Afya Yako

Rehema na Afya Yako Tumejidhatiti kuhudumia matatizo yote ya Shinikizo la damu.

Jali afya yako chukua hatua
13/03/2025

Jali afya yako chukua hatua

Nimesaidia watu wengi hata wewe naweza kukusaidia karibu nitumie ujumbe whatup au nipigie kwa no 0694093704
10/03/2025

Nimesaidia watu wengi hata wewe naweza kukusaidia karibu nitumie ujumbe whatup au nipigie kwa no 0694093704

Je una changamoto ya pressure?nina product nzuri sana itakayoenda kukusaidia nipigie kwa no 0694093704 nikuhudumie
10/03/2025

Je una changamoto ya pressure?nina product nzuri sana itakayoenda kukusaidia nipigie kwa no 0694093704 nikuhudumie

25/02/2025
Shirika la afya duniani linatushauri kula kulingana na hyo pembetatu hapo juu1-40% Nafaka kamiliNafaka kamili ni ambazo ...
07/08/2024

Shirika la afya duniani linatushauri kula kulingana na hyo pembetatu hapo juu

1-40% Nafaka kamili
Nafaka kamili ni ambazo hazijakobolewa hii tunaipata kwenye mahindi,mtama

2-30% Matunda na mbogamboga
Tunashauliwa kula matunda na mbogamboga tofauti kuanzia bakuli 3 hadi 5 kwa siku

3-20% Protein safi

Hapa tunashauriwa kula protein nyeupe k**a kuku,samaki na pia protein itokanayo na mimea k**a kunde na maharage

4-10% mafuta na sukari
Tunashauriwa kula mafuta na sukari kwa kiwango kidogo sana

Ila kutokana na Changamoto za maisha tumejikuta tunageuza hyo pembetatu juu chini yaani
Mafuta na sukari tunakula 40%
Protein 30%
Matunda na mbogamboga 20%
Wanga kamili 10%

Madhara yake tunapatwa na Changamoto ya magonjwa mbalimbali k**a shinikizo la damu, kisukari,nkj

Hivyo tujitahidi kula kulingana na pembe tatu iliyotolewa na WHO tukishindwa tuongeze virutubisho lishe ambavyo vitafidia mapungufu katika milo yetu

Address

Dodoma

Telephone

+255694093704

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rehema na Afya Yako posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Rehema na Afya Yako:

Share