
31/05/2025
Tangazo la kazi;
Mkurugenzi wa LUSAMBO CLINIC TANZANIA anayo furaha kutangaza nafasi za kazi 2 katika Usimamizi wa masoko(Marketing manager), usimamizi wa Mapokezi (Receptionist)
Sifa za muombaji:
Masoko,
Awe na uzoefu wa angarau miaka miwili
Awe na stashahada au zaidi katika kozi za biashara, uhasibu ama uchumi,
Awe na cheti cha kuzaliwa, na Nida
Awe na wadhamini wawili
Umri kuanzia miaka 21-45.
Mapokezi,
Awe mzoefu
Awe na astashahada ya utunzaji wa kumbukumbu au huduma kwa wateja au usimamizi wa mapokezi
Awe na cheti cha kuzaliwa na Nida
Awe na wadhamini wawili
Umri kunzia miaka 21-30.
Mshahara
Msimamizi wa mapokezi 250000.
Msimamizi wa masoko 350000.
Maombi yatumwe kwa WhatsApp number 0717932372. Au
Gmail: jacobolusambo2016@gmail.com