
01/11/2023
KUTOKA DAMU UKENI WAKATI WA TENDO LA NDOA.imara123
Tatizo hili kitaalamu linajulikana k**a post co**al bleeding. Tatizo hili linawakumba wanawake hasa ambao wana matatizo ya mvurugiko wa hormone hasa hasa hormone ya estrogen na pia wanawake waliofikia ukomo wa hedhi.
👉 Hali hii inaweza kuambatana na maumivu na kwa wengine isiwe na maumivu kulingana na chanzo chake.
👉Ukubwa wa tatizo.
👉Tafiti zinaonesha kwamba ni asilimia 9% ya wanawake ambao hawajafikia ukomo wa gedhi wanapata tatizo hili na asilimia 63% ya wanawake waliofikia ukomo wa hedhi wanakumbwa na hali hii.imara123
VISABABISHI VYA TATIZO HILI👇👇
hali hii inaweza kutokana na sababu k**a ukavu au uke kuwa mwembamba sana hivyo kupelekea kupata michubuko wakati wa tendo la ndoa.
Pia hali hii inaweza kuwa dalili ya tatizo la kiafya hivyo sio ya kubeza.imara123
Yafuatayo ni magonjwa yanayoweza kusababisha kutoka damu wakati wa tendo la ndoaimara123
👉Saratani ya mlango wa kizazi
👉Kuvimba kwa mlango wa kizazi
👉 Maambukizi katika via vya uzazi(PID)
👉 Maambukizi ya magonjwa ya zinaa k**a vile pangusa, nk
👉 Uke kukauka kutokana na kupungua kwa ute au kukoma kwa hedhi
👉 Kuharibika kwa uke kutokana na msuguano wakati wa tendo la ndoa
👉 Kuchubuka kwa shingo au mlango wa uzazi
👉Mzunguko wa hedhi kubadirikabadirika
👉 Vidonda ukeni vitokanavyo na maambukizi ya zinaa
👉 Saratani ya tumbo la uzazi
👉 Mlango wa kizazi kutokeza nje ya uke
👉Kutokwa na damu ukeni wakati wa tendo la ndoa sio hali ya kawaida kwa wanawake ambao si bikra. Sio kitu cha kuchukulia poa kwani inaweza kuwa dalili ya tatizo katika mwili wako. Hivyo basi unapopatwa na hali hii usikae kimya onana na daktari ili k**a kuna tatizo litibiwe mapema.
Ushauri na tiba
Call &wsp
0658078222
Instagram 👇👇imara123imara123imara123