DR.Victor NA UZAZI

DR.Victor NA UZAZI mission
To provide comprehensive health education and services to underserved population

KAZI ZA FEMICARE👉Hutibu UTI sugu👉Hutibu Fangasi sugu👉Inaondoa Miwasho ukeni👉Inaondoa Harufu mbaya ukeni👉inaondoa Uchafu ...
21/08/2024

KAZI ZA FEMICARE
👉Hutibu UTI sugu
👉Hutibu Fangasi sugu
👉Inaondoa Miwasho ukeni
👉Inaondoa Harufu mbaya ukeni
👉inaondoa Uchafu unatoka ukeni
👉inasafisha na kuzibua milija ya uzazi
👉inakurinda usipate UTI na Fangasi
👉inaufanya uke unakuwa msafi na kuvutia muda wote
👉inaongeza joto la uke
👉inabana Kuta za uke zilizo legea
👉inapunguza Maumivu makali wakati wa Hedhi
👉inarudisha ute ute ukeni
👉inatibu PID ikitumika na refined, Refined ni ya vidonge unameza Kwa maelekezo zaidi namna ya Kuipata karibu inbox au piga: Au Whatsaap 0613129125

20/03/2024

IJUWE FANGASI KWA WANAWAKE

FANGASI NI NINI?
Ni maambukizi ya kawaida ya midomo ya uke na uke inayosababishwa na fangasi inayoitwa Candida.fangasi hawa hupatikana mwilini.
Maambukizi haya hutokea na mambo makuu yafuatayo
. kutoshindwa kufanya usafi sehemu za siri mara kwa mara
. kuvaa nguo za kubana muda mrefu hasa jinzi za nailoni na underwear za nailoni ambazo hazipitishi hewa.

DALILI ZA FANGASI SHEMU ZA SIRI ZA MWANAMKEMwasho ukeni maumivu wakati wa kukojoa au kujamiana Uchafu mweupe na mzito kutoka ukeni

MADHARA YA FANGASI KWA WANAWAKE Kupoteza hamu ya kufanya tendo la ndoakutokwa na uchafu wenye harufu mbaya kuleta michubuko na vidonda sehemu za sirimiwasho mara kwa mara sehemu za siri Fangasi sugu inaweza sababisha kifo

TIBA YA FANGASI
Fangasi inatibika kwa dawa
NOTE: k**a hujapata maambukizi hayo basi dumisha usafi sehemu za siri pia epuka kuvaa nguo za kubana
K**a una maambukizi hayo jua inatibika kwa dawa
Kwa ushauri na tiba zaidi na sahihi wasiliana nasi 0613129125

20/03/2024

IFAHAMU HORMONE IMBALANCE MADHARA YAKE, DALILI ZAKE NA TIBA YAKE

HORMONE IMBALANCE NI NINI?
Ni ile hali ya kuwepo kwa kiasi kidogo au kikubwa cha Hormone kwenye mzunguko wa damu.kiwango cha homoni kinapozidi au kupungua huathiri mwili kwa hali ya juu sana.
Hapa nazungumzia zaidi homoni za uzazi kwa mwanamke zikiwemo
. oestogen
. testosterone
. progesterone
.Androgen
hizi homoni zinapo zidi au kupungua hupelekea tatizo la Hormone imbalance au kuvurugika kwa homoni

DALILI ZA HORMONE IMBALANCE KWA WANAWAKEUke kuwa mkavu kuvimba kwa uke kutoka hedhi nzito, kukosa hedhi, hedhi mfululizo na hedhi kuruka maumivu wakati wa kufanya tendo la ndoa maumivu ya kiuno, mgongo,na tumbo chini ya kitovu kupungua kwa matamanio ya kufanya tendo la ndoa
MADHARA YA HORMONE IMBALANCE Kutoshika mimba mimba kuchoropoka siku za hedhi kuvurugika kukaribisha magonjwa katika mfumo wa uzazi
NAMNA YA KUJIKINGA NA HORMONE IMBALANCE kufanya mazoezi kula mlo kamilipunguza msongo wa mawazo kula protini kwa wingi
JAMBO LA KUZINGATIA
K**a una tatizo la Hormone imbalance basi tunatoa tiba sahihi na bora kwa ajili ya kusaidia kuondokana na hilo tatizo
Kwa ushauri na tiba wasiliana nasi 0613129125

10/03/2024

Unaesumbuliwa na tatizo la bawasili, na unawaza kufanyiwa upasuaji, tiba ipo bila upasuaji

04/02/2024

TATUA TATIZO LA UZAZI NA UTI SUGU PIA NA PID

05/01/2024
Wengi wanafanyiwa upasuaji juu ya tatizo la uvimbe kwenye kizazi lakini ipo tiba ya kuondoa tatizo hilo bila upasuaji na...
05/01/2024

Wengi wanafanyiwa upasuaji juu ya tatizo la uvimbe kwenye kizazi lakini ipo tiba ya kuondoa tatizo hilo bila upasuaji na ukapata mtoto.

Pata tiba ya tatizo la PID ili uweze kuepuka tatizo la kukosa mtoto kwa ushauri zaidi na na tiba waweza kuwasiliana nami...
05/01/2024

Pata tiba ya tatizo la PID ili uweze kuepuka tatizo la kukosa mtoto kwa ushauri zaidi na na tiba waweza kuwasiliana nami watsap au kupiga namba 0613129125

28/12/2023

Kwa tiba sahihi piga 0613129125

Kwa tiba na ushauri, usisite kunitafuta watsap
05/12/2023

Kwa tiba na ushauri, usisite kunitafuta watsap

Haya matatizo yanatibika na unakuwa salama kabisa
05/12/2023

Haya matatizo yanatibika na unakuwa salama kabisa

Ondoa tatizo lako leo,tiba ipo na inamaliza shida yako uliyo nayo, kwa ushauri zaidi, nicheki kupitia nambari 0613129125
03/12/2023

Ondoa tatizo lako leo,tiba ipo na inamaliza shida yako uliyo nayo, kwa ushauri zaidi, nicheki kupitia nambari 0613129125

Address

Dodoma

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255613129125

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DR.Victor NA UZAZI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to DR.Victor NA UZAZI:

Share