
30/08/2025
๐ฃ๐๐ง๐ ๐ฆ๐จ๐๐จ๐๐๐ฆ๐๐ข ๐๐ ๐๐จ๐๐จ๐ ๐จ - ๐ง๐๐๐จ ๐จ๐๐ข๐ก๐๐ช๐ ๐ช๐ ๐๐ข๐๐ง๐ ๐๐๐๐ ๐จ๐ฃ๐๐ฆ๐จ๐๐๐:
Ugonjwa wa Goita (Goiter) ni hali ambapo tezi ya thyroid (iliyoko shingoni, mbele ya koo) huvimba au kuongezeka ukubwa kuliko kawaida.
Tezi hii kwa kawaida inatengeneza homoni za thyroid ambazo husaidia kudhibiti mwendo wa mwili (metabolism), joto la mwili, mapigo ya moyo na ukuaji wa mwili.
๐ฆ๐ฎ๐ฏ๐ฎ๐ฏ๐ ๐ธ๐๐ ๐๐ฎ ๐๐ด๐ผ๐ป๐ท๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐๐ผ๐ถ๐๐ฎ
1. Upungufu wa madini ya Iodine โ chanzo kikubwa duniani kote.
2. Magonjwa ya kinga mwilini (autoimmune) k**a:
๐นGravesโ disease โ ambapo tezi inazalisha homoni nyingi (hyperthyroidism).
๐นHashimotoโs thyroiditis โ ambapo tezi inapungua kufanya kazi (hypothyroidism).
3. Uvimeaji au uvimbe ndani ya tezi ya thyroid (thyroid nodules).
4. Saratani ya tezi ya thyroid (ingawa mara chache).
5. Kuvimba kwa muda (thyroiditis) kutokana na maambukizi au dawa fulani.
6. Matumizi ya baadhi ya dawa (mf. Lithium).
7. Urithi (genetics) โ kwa baadhi ya familia.
๐๐ฎ๐น๐ถ๐น๐ถ ๐๐ฎ ๐๐ด๐ผ๐ป๐ท๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐๐ผ๐ถ๐๐ฎ
โ
Kuvimba kwa shingo mbele.
โ
Shida ya kupumua au kumeza (k**a uvimbe mkubwa).
โ
Saute/kukohoa mara kwa mara.
โ
Mabadiliko ya sauti (k**a tezi inabana koo).
โ
Dalili za homoni kupungua (hypothyroidism)
Uchovu, baridi, uzito kuongezeka, ngozi kavu.
โ
Dalili za homoni kuzidi (hyperthyroidism)
Kupungua uzito, mapigo ya moyo kwenda mbio, joto kupita kiasi, wasiwasi, mikono kutetemeka.
๐ฉ๐ถ๐ฝ๐ถ๐บ๐ผ
โ
Blood tests โ kupima homoni (TSH, T3, T4).
โ
Ultrasound ya shingo โ kuangalia ukubwa na uvimbe.
โ
Biopsy (FNA) โ kuchukua chembe ndogo kuchunguza kansa.
โ
Scan ya thyroid โ kupima kazi ya tezi.
๐๐๐๐๐ ๐๐จ๐๐จ๐ ๐ ๐ญ๐ ๐ ๐๐ง๐๐๐๐๐จ ๐ก๐ ๐จ๐ฆ๐๐๐จ๐ฅ๐ ๐ช๐ ๐๐๐ง๐๐๐๐๐ ๐จ ๐๐๐ง๐๐๐ ๐๐จ๐ฃ๐๐ง๐ ๐ฆ๐จ๐๐จ๐๐๐ฆ๐๐ข ๐๐๐๐๐๐ข ๐๐ข๐ฅ๐ ๐๐จ๐๐จ๐ฆ๐จ ๐จ๐๐ข๐ก๐๐ช๐ ๐ช๐ ๐ง๐๐ญ๐ (๐๐ข๐๐ง๐)
๐๐ผ๐๐ฝ๐ถ๐๐ฎ๐น๐ถ ๐๐๐ป๐ฎ๐ฝ๐ฎ๐๐ถ๐ธ๐ฎ๐ป๐ฎ ๐๐ฎ๐ฟ ๐ฒ๐ ๐๐ฎ๐น๐ฎ๐ฎ๐บ ๐ธ๐ถ๐บ๐ฎ๐ฟ๐ฎ ๐๐๐ผ๐ฝ ๐ผ๐๐ฒ๐ฟ.
Huduma ya kumuona daktari na ushauri hutolewa buree..
Unaweza kuwasiliana nasi kwakupiga simu au kutuma ujumbe mfupi wa maandishi kupitia WhatsApp: 0687 471 802
๐๐จ๐ ๐๐จ๐๐:- Ni muhimu kufuatilia afya yako kwa kufanya vipimo vya mara kwa mara na kuyafikia matibabu ya mapema pale tatizo linapo bainika, kwani kila sekunde ni muhimu katika kuokoa maisha na kuepuka madhara ya kudumu.
๐๐ฎ๐ฟ๐ถ๐ฏ๐ ๐๐๐ธ๐๐ต๐๐ฑ๐๐บ๐ถ๐ฒ ๐ธ๐๐ฎ ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ป๐ด๐ฎ๐บ๐ผ๐๐ผ ๐๐ฎ ๐ฎ๐ณ๐๐ฎ ๐๐๐ป๐ฎ๐๐ผ๐ฎ ๐ต๐๐ฑ๐๐บ๐ฎ ๐๐ฎ ๐ฉ๐๐ฃ๐๐ ๐ข, ๐จ๐ฆ๐๐๐จ๐ฅ๐ ๐ก๐ ๐ ๐๐ง๐๐๐๐๐จ.