
25/07/2025
Tangawizi + Kitunguu saumu→ Kwa kikohozi kikali.
Kitunguu maji + Tangawizi → Hushusha cholesterol na kutibu UTI (maambukizi ya njia ya mkojo).
Manjano (turmeric) + Asali → Hupunguza uvimbe na maumivu (anti-inflammation).
Karoti + Nyanya mbichi →Ni nzuri kwa macho.
Juisi ya tango →Ni nzuri kwa ngozi.
Kabeji + Karoti → Husaidia ini (liver).
Juisi ya chungwa → Huimarisha afya ya utumbo mpana (colon).
Maharage yaliyopikwa + Nyanya mbichi → Ni nzuri kwa tezi dume (prostate).
Parachichi → Husaidia afya ya moyo.
Maji ya karafuu → Hupunguza maumivu ya hedhi.
Mifupa ya samaki → Hujenga mifupa imara.
Tikiti maji + Ndizi + Tango + Karanga → Kwa nguvu za kiume imara.
Juisi ya nanasi = Husaidia kusafisha uke na kuupa harufu nzuri.
Lita 2 za maji kwa siku → Kwa afya ya figo.
Mayai →Huchochea uzalishaji wa homoni.
Maharagwe mabichi →Hujenga mifupa yenye nguvu.