Dr Boaz Health Care &Clinics

Dr Boaz Health Care &Clinics Pata suluhisho la changamoto ya AFYA yako

DAWA ZA MENO ZENYE ASALI YA MIMEA•Kuua vijidudu katika kinywa•Kuondoa harufu mbaya mdomoni•Kuponya fizi zinazotoa damu•K...
01/06/2024

DAWA ZA MENO ZENYE ASALI YA MIMEA

•Kuua vijidudu katika kinywa
•Kuondoa harufu mbaya mdomoni
•Kuponya fizi zinazotoa damu
•Kusaidia kutoa ganzi ya meno
•Kung'arisha meno
•Kuondoa maumivu makali ya meno
•Kusaidia fangasi ya koo,na sehemu zingine
•Kukausha majeraha ya kuungua au kujikata
•Ni salama zaidi kwani haina madini ya fluoride badala yake kuna mimea mchanganyiko imethibitishwa na mamlaka ya dawa na vifaa tiba Tanzania TMDA

•Ni bidhaa namba moja Tanzania haina Fluoride Eternal toothpaste ni Dawa Ya Jino hutasumbuliwa tena na tatizo la Meno tumia Eternal toothpaste hii kuimalisha meno yako bei ni TSh15,000 @1,Tsh 12,000 kuanzia tube 5 kwa wakazi wa dar unaletewa ulipo au fika ofisini banana Dar es salaam
Mikoani pia tunaagiza kwa basi mzigo unakufikia popote ulipo

Tupigie
📞0693862404
📞0616603803

DAWA YA MAPAFU, PUMU NA MFUMO WOTE WA UPUMUAJI.Dawa hii ni mchanganyiko wa Cordyceps sinensis mycelium, Radix ginseng, F...
27/05/2024

DAWA YA MAPAFU, PUMU NA MFUMO WOTE WA UPUMUAJI.

Dawa hii ni mchanganyiko wa Cordyceps sinensis mycelium, Radix ginseng, Flos chrysanthemi, Cordate Houttuynia, Bulbus Lilii, Apricot Kernel, Exocarpium Citri Rubrum, Green Tea

Mchanganyiko huu ni mzuri Sana katika kutibu na kusaidia mfumo mzima wa upumuaji kuondokana na matatizo yote.

Kazi za dawa hii ni;
▪️Inaimarisha na kuongeza Kinga ya mwili, Kwa kuongeza white blood cell, T-helper cells, Nk cells na macrophages
▪️Inatibu mapafu yalioathiriwa na SIGARA, vumbi, sumu, na mfumo mzima wa upumuaji,
▪️Dawa hii Inauwa bakteria na virusi ndani ya mfumo wa upumuaji wanaosababisha maradhi.
▪️Huongeza kiwango Cha immunoglobulin; na kusaidia kiwango Cha kinga ya mwili kuongezeka.
▪️Inatibu mfumo wa upumuaji nakuondoa kikohozi, bronchitis, pulmonary tuberculosis, chronic obstructive pulmonary na Pumu,
▪️Inaimarisha uingizaji wa hewa ya oksijeni ktk mapafu,
▪️Inatengeneza mucoca iliyoharibika kwa kuongeza oksijeni. Pia Inaongeza ubora wa shughuli za tishu za epithelial ya mapafu na kufanya mapafu kufanya kazi,
▪️Inatibu kibofu Cha mkojo na ini
▪️Inaisaidia limokokini(lymphokine) kufanya kazi kwa ubora, Lymphokine huua virusi kwenye mfumo wa kupumua moja kwa moja

WATUMIAJI
▪️Wenye matatizo ya mfumo wa upumuaji, matatizo ya pumu, na wenye matatizo ya KIKOHOZI SUGU.
▪️Watu wanaovuta sigara,
▪️Watu wanaofanya kazi kwenye mazingira machafu

OFISI ZETU
Tanzania mzima mikoani tupo

Saa Za Kazi
Jtatu—Jmosi: saa 3:00–saa: 1200
Jpili: saa6:00–saa 12:00

Simu 0616606803

VIDONDA VYA TUMBO NI NINI? HEBU TEGA SIKIONi kuharibika kwa ukuta wa tumbo la chakula na sehemu ya mwanzo ya utumbo mwem...
27/05/2024

VIDONDA VYA TUMBO NI NINI? HEBU TEGA SIKIO

Ni kuharibika kwa ukuta wa tumbo la chakula na sehemu ya mwanzo ya utumbo mwembamba. Kuna aina kuu mbili (2) za vidonda vya tumbo

1. Gastric Ulcers: hutokea kwenye mfuko wa tumbo la chakula
2. Duodenal Ulcers: hutokea sehemu ya mwanzo ya utumbo mwembamba

CHANZO CHA VIDONDA VYA TUMBO
1. Bakteria waitwao Helicobacter pylori (H.pylori)
2. Matumizi ya dawa za kupunguza maumivu k**a asprin, (NSAIDs), (Advil, Aleve, na zingine)
3. Kuwa na mawazo mengi
4. Kula vyakula vinavyozalisha acid kwa wingi
5. Kunywa pombe na vinywaji vikali
6. Uvutaji wa sigara
7. Kuto kula mlo kwa mpangilio

DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO
1. Kupata maumivu ya tumbo yanayokuwa k**a ya moto (kuunguza) baada na kabla ya kula
2. Kupatwa na kiungulia karibu na chembe ya moyo
3. Tumbo kujaa gesi na kuvimbiwa
4. Kichefuchefu na kutapika tena yawezekana kutapika damu
5. Kupata haja kubwa ya rangi kahawia au nyeusi yenye harufu mbaya sana, pia haja yaweza kuchanganyikana na damu
6. Kupoteza hamu ya kula na kupungua uzito
7. Kushindwa kupumua vizuri

SULUHISHO
Tumia bidhaa zetu za green world ni suluhisho pekee kwa tatizo hili maana huondoa chanzo cha ugonjwa sio kutuliza maumivu. Bidhaa zetu ni 100% NATURAL & HALAL ambazo hufanya mtu kupona na kuimarika afya yake

Tafadhali share taarifa hizi kwa ndugu, jamaa na marafiki. Maelezo zaidi

15/05/2024

TANGAZO, TANGAZO

Fursa za kazi.

Taasisi ya kimataifa kutoka china inayojihusisha na afya, inawatangazia wale wote wenye sifa stahiki na ambao ni watanzania halisi Kuwa Kuna fursa za biashara kwa ajili ya maswala ya afya.

Kazi utakazokuwa unafanya ni kutoa ushauri na elimu kwa watu wenye matatizo ya kiafya. Utafundishwa namna ya kukabiliana na watu wenye matatizo mbalimbali ya kiafya.

Pia kushiriki katika maswala mazima ya kiofisi yanayohusiana na huduma zetu.

Kwa kila mwenye sifa za kuanzia kidato Cha nne anaruhusiwa kushiriki fursa hii na pia kufika ofisini kwa ajili ya maelekezo na mafunzo sahihi.

Ofisi zetu zipo,mikoa yote Tanzania
Fika ofisini kwetu kwa maelekezo zaidi na pia kwa ajili ya mafunzo.piga simu kukuelekeza 0616603803

06/05/2024
MAELEZO YA DAWA HII YA SOY ISOFLAVONES CAPSULE YA ETERNALsoy isoflones:Ni product inayotokana na mimea jamii ya mkunde k...
04/05/2024

MAELEZO YA DAWA HII YA SOY ISOFLAVONES CAPSULE YA ETERNAL

soy isoflones:Ni product inayotokana na mimea jamii ya mkunde kunde(soyabean).Wakati mwingine huitwa phytoestrogen kwa sababu ya kufanana na kufanya kazi sawa na homoni ya k**e estrogen huanza kupunguza kiwango cha uzalishaji wake ktk mwili kuanzia miaka 35.hali hii huwez kuifanya ngozi kupoteza sana maji,uwezo na ubora wake.lishe hii huungana na homoni nyingine za k**e kusaidia kuzuia mifupa huharibika haraka osteoporosis na kuongezea mwili uwezo wa kuhifadhi madizni ya chokaa yaani calcium.inasaidia kuupa mwili uwezo mkubwa wa kufyonza madini ya calcium ktk chakula na kuimarisha mifupa.pia lishe hii huifanya ngozi ya mwanamke kuwa nyororo.lain na kuvutia wakati wote .

Husaidia kuweka sawa mfumo wa kizazi yaani mwanamke kupata hedhi kwa wakati kusudiwa na utungaji wa mimba na ukuaji wa viungo vya uzazi ka ma via vya uzazi.mirija ya uzazi.matiti nk.

Husaidia uwezo wa kuchelewesha hedhi kufunga mapema kwa mwanamke(delay of menopausal syndrome)

25/04/2024

*🥦 FISH OIL SOFTGEL CAPSULES TECHNOLOGY POWED BY ETERNAL INTERNATIONAL🍎🍎*

*🍎KARIBU KATIKA DARASA*

*🥑JE WAJUA, FISH OIL SOFTGEL,PROPOLIS SOFTGEL,LECITHIN SOFT CAPSULES&HIGH CALCIUM PROEIN POWDER INAMSAIDIAJE MGONJWA WA KISUKALI,FANGASI,MOYO MPANA,PRESHA,SUMU MWILINI🍉*
?
✍️Tiba hizi hutibu KISUKALI,MOYO,PRESHA FIGO INI&TEZI DUME kwa kusaidia kurejesha uwezo wa mwili wake wa kuzalisha seli shina baada ya matibabu kwa viwango vya juu sana vya tiba ya dawa za chemical

✍️Hivyo basi tiba hii itamfanyia mambo yafuatayo ya kiuponyaji mgonjwa wa huyuuu aliyefateseka Kwa muda mrefu

1.Kutengeneza Seli mpya kwa mgonjwa.
2.Kurekebisha Seli zilizochakaa au kuharibiwa .
3.Kuboresha cell ya mgonjwa na kuweka Seli mpya.
4.Kuondoa chanzo cha cell zilizodomanti ziamke na zianze kufanya kazi upya
5.kuondoa mafuta kwenye kizazi Kwa mwanamke

*NB.Ndani ya siku saba hadi 14 Hadi mwezi1 mgonjwa huyu atakuwa na mabadiliko makubwa ya kiuponyaji*

*🍇KARIBU TUKUHUDUMIE*
NJOO WHATSAAP YANGU ADIMIN 0693-862404 AU PIGA 0616603803🤳🏻🤳🏻🤳🏻🤳🏻🙏🫵🫵🫵💃💃💃💃

25/04/2024

*🥦 BLOOD CIRCULATION MESSAGE,SLIMMING TEA,ANTILIPEMIC TEA,FOLIC ACID CAPSULES TECHNOLOGY POWED BY ETERNAL INTERNATIONAL🍎🍎*

*🍎KARIBU KATIKA DARASA LA LEO*

*🥑JE WAJUA BLOOD CIRCULATION,SLIMMING TEA,ANTILIPEMIC TEA,FOLIC ACID CAPSULES INAMSAIDIAJE MGONJWA WA SIKO CELL,UZITO MKUBWA MWILINI&H I V?🍉*
?
✍️Tiba ya FOLIC ACID CAPSULES hutibu Hadi H I V kwa kusaidia kurejesha uwezo wa mwili wake Kwa kuzalisha seli shina baada ya Kumeza IRV kwa viwango vya juu sana vya tiba ya dawa za chemical

✍️Hivyo basi tiba ya hii itamfanyia mambo yafuatayo ya kiuponyaji mgonjwa wa huyuuu aliyefateseka Kwa muda mrefu

1.Kutengeneza Seli mpya kwa mgonjwa.
2.Kurekebisha Seli zilizochakaa au kuharibiwa .
3.Kuboresha cell ya mgonjwa na kuweka Seli mpya.
4.Kuondoa chanzo cha cell zilizodomanti ziamke na zianze kufanya kazi upya
5.Itatoa sumu zilizotokana na vyakula au vinyaji
6.Inasafisha damu na kurekebisha mzunguko wa damu kwa mgonjwa.
7.kupunguza UZITO na mafuta kwenye mishipa na kizazi Kwa mwanamke
8.kuboresha njia ya mzunguko WA damu na kuset mmeng'enyo wa chakula vizuri

*NB.Ndani ya siku saba hadi 14 Hadi mwezi1 mgonjwa huyu atakuwa na mabadiliko makubwa ya kiuponyaji*

*🍇KARIBU TUKUHUDUMIE*
NJOO WHATSAAP YANGU ADIMIN 0693-862404🤳🏻🤳🏻🤳🏻🤳🏻🙏🫵🫵🫵💃💃💃💃

Address

Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr Boaz Health Care &Clinics posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Dr Boaz Health Care &Clinics:

Share