
08/07/2025
*🩸 UFAHAMU UGONJWA WA SIKOSELI (SICKLE CELL DISEASE)*
*AFYA YAKO DR SILA +255767866299*
*❓ Sikoseli ni nini?*
*🧬 Sikoseli* ni ugonjwa wa kurithi unaotokana na kupungukiwa damu.
Seli za damu za mgonjwa wa sikoseli huwa ngumu na za mviringo k**a mwezi mwembamba, tofauti na seli za kawaida ambazo ni k**a yai lililovutika.
🔴 Seli za kawaida huishi siku 120, lakini za mgonjwa wa sikoseli huishi siku 20 tu.
🛑 Hii husababisha kupungua kwa damu na kukwama kwa seli kwenye mishipa ya damu, na hivyo kuzuia oksijeni kufika vizuri sehemu zote za mwili.
*🧬 Chanzo cha Ugonjwa huu*
✅ Umetokana na mabadiliko ya haemoglobin – sehemu ya damu inayobeba oksijeni.
✅ Sikoseli hurithiwa kutoka kwa wazazi wawili carriers (wabeba vimelea).
👨👩👧 Wazazi hao wanaweza wasionekane wagonjwa lakini wakamzaa mtoto mgonjwa.
🤝 Mgonjwa wa sikoseli akioa/olewa na mtu asiye mgonjwa, watoto wao hawatakuwa wagonjwa, ila watabeba vimelea.
*⚠️ Dalili za Sikoseli*
1. 🩸 Kuishiwa damu mara kwa mara
2. 😖 Maumivu makali mwilini
3. ✋ Kuvimba vidole
4. 📉 Kuchelewa kukua kwa watoto
5. 👀 Kupungua kwa uwezo wa kuona
*🧪 Vipimo vya Kugundua Sikoseli*
(A) Kipimo cha Damu
🧫 Kipimo rahisi kinachopatikana kwenye maabara nyingi nchini.
⏱️ Majibu hutolewa ndani ya masaa 24.
*(B) Kipimo kipindi cha Ujauzito*
🌍 Katika nchi zilizoendelea, mtoto tumboni hupimwa kuona k**a ana ugonjwa huu.
🤰 Mama anaweza kuamua kuendelea au kutositisha ujauzito kulingana na majibu.
💊 Matibabu ya Sikoseli
✅ Upandikizaji wa uboho wa mifupa (Bone Marrow Transplant)
🔬 Unaweza kuponya kabisa, lakini ni ngumu sana kupata mtu anayeendana na wewe kikamilifu.
⚠️ Pia kuna hatari ya madhara makubwa.
🌿 Suluhisho Rahisi na Salama
*💡 Tumia virutubisho sahihi vinavyosaidia:*
✔️ Kuzalisha seli mpya
✔️ Kuimarisha mfumo wa damu
✔️ Kupunguza maumivu na matatizo mengine
✔️ Kurejesha afya yako kwa ujumla
*📞 Wasiliana Nami kwa Matibabu ya uhakika*
*📱 0767866299/ +255 767 866 299*
🩺 Huduma salama, ya kitaalamu na kwa uangalizi wa karibu!
🟢
🟣 Una swali? Uliza sasa – afya yako ni muhimu kwetu!
🧡 Elimu ni tiba – sambaza ujumbe huu uwasaidie wengine!
*AFYA YAKO DR SILA +255767866299*