Upendo Health Centre

Upendo Health Centre Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Upendo Health Centre, Mwatulole, Geita.

08/05/2016

Some of activities which occurred in last week

20/04/2016

MAADHIMISHO YA WIKI YA CHANJO DUNIANI
Madhumuni ya wiki hii ni kuhamasisha na kufundisha jamii Kuhusu umuhimu wa chanjo katika kukinga magonjwa na kuepusha vifo. Aidha wiki hii itatumika kuhimiza Familia ziwapeleke Watoto wote wanaostahili kupata chanjo waende vituo kupata chanjo stahiki. Upendo Kituo cha afya kinawajibu wa kuwataalifu wakazi wake wamaeneo ya karibu k**a vile mwatulole bombambili mwabasabi shilabela magogo na Buhalahala kuwaleta Watoto wote kuanzia umri wa siku moja hadi miaka mitano waje upendo kupata chanjo hizo nibure hakuna malipo yoyote, Chanjo hizo zitaanza tarehe 20/o4/2016 jumapili.

Nibaazi ya wanafunzi wa Afya uuguzi(nursing) kutoka chuo kimoja mwanza wakiwa wanaweka ukumbusho walipomaliza mafunzo ya...
12/02/2015

Nibaazi ya wanafunzi wa Afya uuguzi(nursing) kutoka chuo kimoja mwanza wakiwa wanaweka ukumbusho walipomaliza mafunzo yao kwa vitendo walipokuwa field katika kituo chetu cha UPENDO Kilichopo katika mkoa wa Geita maeneo ya mwatulole.

Some of Staff Members of Upendo health centre
25/07/2014

Some of Staff Members of Upendo health centre

Huduma zote zinapatikana Waganga walio bobea, huduma nzuri na ilio Bora
24/07/2014

Huduma zote zinapatikana Waganga walio bobea, huduma nzuri na ilio Bora

Address

Mwatulole
Geita

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Upendo Health Centre posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram