09/02/2024
JE UNA FAHAMU KUHUSU LIPOMA?
LIPOMA NI NINI?
Lipoma ni uvimbe unaotokea kutokana na kukua zaidi kwa seli mafuta ( fatty cells), na uvimbe huu huonekana ndani ya ngozi. Lipoma sio saratani na haiwezi kuwa saratani. Sehemu zinazo hathiriwa sana ni shingoni, kwenye mapaja, mikononi, kwenye makwapa, ila inaweza tokea sehemu yoyote ya mwili.
LIPOMA HUSABABISHWA NA NINI?
Lipoma bado haijafahamika husababishwa na nini hasa, ila kwa tafiti zilizofanywa huonesha kuwa asilimia kubwa huwa ni urithi( heredity) kutoka kizazi hadi kizazi, pia kuumia kunakoweza kukusababishia uvimbe usiopungua.
UTAJUAJE KUWA UNA LIPOMA?
Lipoma kwa kawaida huonekana kwa macho pia ukishika inasogea (movable) na ni laini k**a mpira, pia haina maumivu yoyote na huwa ni kidogo lakini hukua kadri miaka inavyoenda.
TIBA YAKE BILA UPASUAJI
LIPOMA PACKAGE
Hizi ni dawa mbili za asili ambazo zinauwezo wa kutibu na kumaliza kabisa uvimbe wa LIPOMA bila upasuaji.
Lakini PIA
Huondoa uvimbe wa lipoma na huchochea ngozi yako na kuvunja mafuta ya ziada.
Dawa hizi zina uwezo wa kuyeyusha kabisa lipoma bila upasuaji wowote kwa mda mfupi sana.
LIPOMA hutibika
na kwa mtu yeyote mwenye lipoma asikate tamaa kwani lipoma package inatibu na kumaliza kabisa uvimbe wa lipoma bila upasuaji.
KUHUSU TIBA NASAHA NA USHAURI WASILIANA NASI KWA NAMBA:
0673402024