WAJA Hospital GEITA

WAJA Hospital GEITA Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from WAJA Hospital GEITA, Hospital, WAJA STREET, Geita.

Baada ya semina uongozi wa hospitali ya WAJA pamoja na uongozi wa NBC BANK tulipata picha ya pamoja
24/05/2025

Baada ya semina uongozi wa hospitali ya WAJA pamoja na uongozi wa NBC BANK tulipata picha ya pamoja

Dentist Dr. Greyson Kongo akitoa semina juu ya matumizi sahihi ya mswaki na matunzo ya kinywa na meno
24/05/2025

Dentist Dr. Greyson Kongo akitoa semina juu ya matumizi sahihi ya mswaki na matunzo ya kinywa na meno

Manesi kutoka WAJA HOSPITAL waliowezesha semina ya matibabu ya magonjwa ya kinywa na meno
24/05/2025

Manesi kutoka WAJA HOSPITAL waliowezesha semina ya matibabu ya magonjwa ya kinywa na meno

Uongozi wa NBC BANK waliohudhuria semina kutoka kwa madaktari bingwa wa WAJA HOSPITAL leo katika ofisi ya Geita
24/05/2025

Uongozi wa NBC BANK waliohudhuria semina kutoka kwa madaktari bingwa wa WAJA HOSPITAL leo katika ofisi ya Geita

ENT DR. FRANCISCO PELEKA akitoa semina kwa wafanyakazi wa NBC BANK juu ya magonjwa PUA, KOO na MASIKIO
24/05/2025

ENT DR. FRANCISCO PELEKA akitoa semina kwa wafanyakazi wa NBC BANK juu ya magonjwa PUA, KOO na MASIKIO

Leo uongozi wa hospitali ya WAJA ulipata nafasi ya kutoa semina kwa wafanyakazi wa NBC BANK juu ya magonjwa ya PUA, KOO ...
24/05/2025

Leo uongozi wa hospitali ya WAJA ulipata nafasi ya kutoa semina kwa wafanyakazi wa NBC BANK juu ya magonjwa ya PUA, KOO na MASIKIO pamoja na kliniki ya kinywa na meno

Katika kuhakikisha huduma za afya zinafanyika kwa haraka hospitali ya WAJA inamiliki gari la dharura
24/05/2025

Katika kuhakikisha huduma za afya zinafanyika kwa haraka hospitali ya WAJA inamiliki gari la dharura

Wanafunzi wa WAJA SPRINGS walipata zawadi ya dawa ya meno pamoja mswaki kutoka uongozi wa hospitali ya WAJA
24/05/2025

Wanafunzi wa WAJA SPRINGS walipata zawadi ya dawa ya meno pamoja mswaki kutoka uongozi wa hospitali ya WAJA

Wafanyakazi wa WAJA SPRINGS walioshiriki katika semina ya matumizi sahihi ya mswaki na namna ya kutunza kinywa na meno p...
24/05/2025

Wafanyakazi wa WAJA SPRINGS walioshiriki katika semina ya matumizi sahihi ya mswaki na namna ya kutunza kinywa na meno pamoja na jinsi ya kuepuka magonjwa ya PUA, KOO na Masikio

24/05/2025
Semina ya utunzajinwa kinywa na meno inaendelea hapa Mkoani Geita ambapo ENT. DR. FRANCISCO PELEKA alipata wasaa wa kute...
24/05/2025

Semina ya utunzajinwa kinywa na meno inaendelea hapa Mkoani Geita ambapo ENT. DR. FRANCISCO PELEKA alipata wasaa wa kutembelea na kuongea na wafanyakazi wa WAJA SPRINGS

Mara baada ya semina kukamilika tulipata wasaa wa kupiga picha ya pamoja na wafanyakazi wa CRDB BANK
22/05/2025

Mara baada ya semina kukamilika tulipata wasaa wa kupiga picha ya pamoja na wafanyakazi wa CRDB BANK

Address

WAJA STREET
Geita

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when WAJA Hospital GEITA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to WAJA Hospital GEITA:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category