Tiba na afya care.

Tiba na afya care. Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tiba na afya care., Medical and health, Katoro geita, Geita.

31/12/2024
๐——๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—Ÿ๐—œ ๐—ญ๐—” ๐—ง๐—”๐—ง๐—œ๐—ญ๐—ข ๐—Ÿ๐—” ๐— ๐—ฆ๐—›๐—ง๐—จ๐—ž๐—ข ๐—ช๐—” ๐— ๐—ข๐—ฌ๐—ข (๐—›๐—ฒ๐—ฎ๐—ฟ๐˜ ๐—”๐˜๐˜๐—ฎ๐—ฐ๐—ธ)๐Ÿ‘‡๐Ÿ€ Maumivu ya kifua - hisia ya shinikizo, uzito, kubanwa au kufinya ka...
30/11/2024

๐——๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—Ÿ๐—œ ๐—ญ๐—” ๐—ง๐—”๐—ง๐—œ๐—ญ๐—ข ๐—Ÿ๐—” ๐— ๐—ฆ๐—›๐—ง๐—จ๐—ž๐—ข ๐—ช๐—” ๐— ๐—ข๐—ฌ๐—ข (๐—›๐—ฒ๐—ฎ๐—ฟ๐˜ ๐—”๐˜๐˜๐—ฎ๐—ฐ๐—ธ)๐Ÿ‘‡
๐Ÿ€ Maumivu ya kifua - hisia ya shinikizo, uzito, kubanwa au kufinya katika kifua
๐Ÿ€Maumivu katika sehemu zingine za mwili - inaweza kuhisi kana kwamba maumivu yanaenea kutoka kwa kifua chako hadi kwa mikono yako (kawaida mkono wa kushoto huathirika, lakini unaweza kuathiri mikono yote miwili), Taya, shingo, Mgongo Pamoja na Tumbo.
๐Ÿ€Kuhisi kizunguzungu
๐Ÿ€ Kutokwa na jasho
๐Ÿ€ Upungufu wa pumzi
๐Ÿ€ Kuhisi mgonjwa au kuwa mgonjwa
๐Ÿ€ Hisia nyingi za wasiwasi (sawa na kuwa na mashambulizi ya hofu)
๐Ÿ€ Kukohoa au kupumua Kwa shida
๐Ÿ€ Maumivu ya kifua mara nyingi huwa makali, baadhi ya watu wanaweza tu kupata Maumivu Madogo, sawa na kukosa kusaga Chakula.

*VYANZO VYA SUMU* Miili yetu imekuwa ikipokea sumu na uchafu kila siku kutokana ;1. Matumizi ya dawa mara kwa mara2. Mat...
11/11/2024

*VYANZO VYA SUMU*

Miili yetu imekuwa ikipokea sumu na uchafu kila siku kutokana ;
1. Matumizi ya dawa mara kwa mara
2. Matumizi ya pombe (Alcohol) na sigara
3. Mazingira na athari kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia
4. Ukosekanaji wa lishe na mlo kamili.
5. Matumizi ya madawa makali.
6. Uzito mkubwa
7. Mitindo ya maisha
8. Njia za uzazi wa mpango za kisasa

*DALILI ZA KUWA SUMU NYINGI MWILINI.*

1. Matatizo ya ngozi kwa mfano chunusi, vipele nk.
2. Kuwa na uzito wa kupindukia
3. Kutopata choo au kupata choo kigumu
4. Kukosa usingizi Na kujihisi mchovu kupitiliza
5. Kichwa kuuma kila mara
6. Kupata miwasho
7. Maumivu ya viungo K**a vile mgongo,goti, nyonga
8. Kuwa na hasira mara kwa mara.
9. Tumbo kujaa gesi nk

*MADHARA YA MWILI KUJAA SUMU.*
1. Kukosa hamu ya tendo la ndoa
2. Kupata maambukizi ya figo
3. Kupata maambukizi ya Ini
4. Hupelekea matatizo ya kutopata watoto (ugumba)
5. Husababisha uvimbe kwa ndani ya kizazi kwa mwanamke.
6. Hupelekea matatizo shinikizo la damu la juu (high blood pressure)
7. Mvurugiko wa homoni na kupelekea hedhi kuvurugika, maumivu ya hedhi na kukosa hedhi ikiwa si mjamzito.
8. Husababisha vimbe mbalimbali mwilini.
Call/whatapp/message 0744046949

Address

Katoro Geita
Geita

Telephone

+255744046949

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tiba na afya care. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share