Annahnutritionpoint

Annahnutritionpoint Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Annahnutritionpoint, Medical and health, Njombe.

Mtoto anayeenda shuleni anahitaji lishe Bora yenye mchanganyiko wa vyakula mbalimbali Ili ubongo wake uweze kufanya kazi...
13/05/2026

Mtoto anayeenda shuleni anahitaji lishe Bora yenye mchanganyiko wa vyakula mbalimbali Ili ubongo wake uweze kufanya kazi vizuri

Mama G usimlaumu mtoto kuchoka na kutokufanya vizuri shuleni wakati wewe hutumizi jukumu lako



Akili ya Lishe series Jifunze kuhusu oatsJe wewe unatumia oats kwa namna Ili
13/05/2026

Akili ya Lishe series
Jifunze kuhusu oats
Je wewe unatumia oats kwa namna Ili



12/05/2026

Katika Ziara ya shuleni
Nikiwa na Afisa ustawi
Baada ya elimu ya haki za watoto na ukatili wa kijinsia
Watoto waliimba wimbo huu

Hello Tanzania Hello East AfricaHello WorldPlease read my presentation ThankyouFor reading
11/05/2026

Hello Tanzania
Hello East Africa
Hello World
Please read my presentation

Thankyou
For reading

πŸ“š LISHE BORA MASHULENI 🍎Juzi nilipata nafasi ya kwenda shuleni kutoa elimu ya lishe kwa wanafunzi. πŸ‘©πŸ½β€πŸ«βœ¨Tulizungumza kuh...
10/05/2026

πŸ“š LISHE BORA MASHULENI 🍎
Juzi nilipata nafasi ya kwenda shuleni kutoa elimu ya lishe kwa wanafunzi. πŸ‘©πŸ½β€πŸ«βœ¨

Tulizungumza kuhusu umuhimu wa:
πŸ₯— Kula mlo kamili
πŸ’§ Kunywa maji ya kutosha
🍎 Kula matunda na mboga za majani
πŸƒπŸ½β€β™€οΈ Kufanya mazoezi na kuwa active
🧠 Lishe bora na uwezo mzuri darasani

Pia tulijifunza madhara ya: 🍟 Vyakula vya kukaanga sana
πŸ₯€ Vinywaji vyenye sukari nyingi
🍬 Ulaji usiofaa kwa afya
Watoto walifurahia kujifunza kuhusu makundi ya vyakula na namna ya kufanya uchaguzi sahihi wa chakula kila siku. 🌽πŸ₯šπŸ₯›

Afya bora huanza na lishe bora.
Tukiwajenga watoto vizuri leo, tunajenga taifa lenye afya kesho. πŸ‡ΉπŸ‡Ώβœ¨
πŸ“Œ Share na mzazi, mwalimu au mwanafunzi mwenzako.

Hii siku nilialikwa na ofisi moja kwamba Nikawape Elimu ya Lishe BoraYes ilikua nzuri na Kila mmoja alifurahiaUnajua Waf...
10/05/2026

Hii siku nilialikwa na ofisi moja kwamba
Nikawape Elimu ya Lishe Bora

Yes ilikua nzuri na Kila mmoja alifurahia

Unajua
Wafanyabiashara na watumishi wengi maofisini wanakosa muda wa kuandaa chakula cha afya.
Mara nyingi hujikuta wakila vyakula vya viwandani, vyakula vya kukaanga sana, na vyenye sukari nyingi. 🍟πŸ₯€
Pia wengi hushindwa kufanya mazoezi kutokana na shughuli nyingi za kila siku.
Kupanda gari au pikipiki kila siku bila kutembea kunachangia kuongezeka kwa uzito. πŸš—πŸοΈ
Uzito uliozidi ni moja ya chanzo cha magonjwa yasiyoambukiza k**a: β€’ Presha
β€’ Kisukari
β€’ Magonjwa ya moyo
β€’ Mafuta kuzidi mwilini
🌿 Tuwe na tabia ya: βœ”οΈ Kula kiafya
βœ”οΈ Kupunguza sukari
βœ”οΈ Kupunguza mafuta mengi
βœ”οΈ Kufanya mazoezi mara kwa mara
βœ”οΈ Kutembea zaidi kila inapowezekana
Katika elimu yetu tulijifunza: πŸ₯— Makundi ya vyakula
🍽️ Ulaji unaofaa
❀️ Magonjwa yasiyoambukiza
βš–οΈ BMI na namna ya kujua uzito wenye afya kulingana na urefu wako
βœ… Washiriki walipimwa uzito na urefu wao ili kujua hali ya afya zao.
πŸ“Œ Share na rafiki yako ili na yeye ajifunze umuhimu wa lishe bora na maisha yenye afya.

09/05/2026

Mama C wewe ukienda clinic kauli gani huwa inakuchosha zaidi na unajisikia vibaya Hadi unatamani kuhama clinic

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£

Address

Njombe

Opening Hours

Monday 08:00 - 20:00
Tuesday 08:00 - 20:00
Wednesday 08:00 - 20:00
Thursday 08:00 - 20:00
Friday 08:00 - 20:00
Saturday 08:00 - 20:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Annahnutritionpoint posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share