28/07/2022
‼️Zimebaki siku tatu tu, Bado unayo nafasi ya kushinda ..
📌Karibu kwenye duka letu la dawa muhimu na vipodozi *(LUU MEDICS)* lililopo Pugu Kinyamwezi karibu stendi ya daladala uweze kuingia kwenye nafasi ya kushinda zawadi ya pesa taslimu hadi sh.375,000🤑💸 pindi unapo nunua bidhaa yoyote kwenye duka letu.
📌Unachotakiwa kufanya ni kufika dukani kwetu na ununue bidhaa yoyote na utaacha mawasiliano📞yako hapo tayari utaingia kwenye nafasi ya kushinda.🎉🎊
📌Washindi watatangazwa siku ya tarehe 1/8/2022 na zawadi zitatolewa siku hiyo hiyo.🍾
Karibu pia usisahau kushea na wengine 🤝