Afya Mkoa wa Dar es salaam

Afya Mkoa wa Dar es salaam Baadhi ya Majukumu:
Kuandaa Mipango ya Utekelezaji kazi na Taarifa za Afya.

Kusambaza Sera na Miongozo
Kuratibu Upatikanaji wa Huduma Bora za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
Kuimarisha Matumizi ya Takwimu na Tafiti
Kutafuta vyanzo vingine vya Rasilimali

Ndugu wanatafutwa...
16/09/2024

Ndugu wanatafutwa...

Changia Ujenzi wa Jengo la Watoto Njiti Hospitali ya Amana
25/07/2024

Changia Ujenzi wa Jengo la Watoto Njiti Hospitali ya Amana

21/07/2024

Kadi za Kisasa za Kliniki zinatolewa bila malipo kote nchini

21/07/2024

Watoa huduma watakiwa kujali uhai wa watu...

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Dr Mohamed Mang'una na Mganga Mkuu wa Dr Peter Nsanya wakiwa na Afisa wa Jeshi la W...
20/07/2024

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Dr Mohamed Mang'una na Mganga Mkuu wa Dr Peter Nsanya wakiwa na Afisa wa Jeshi la Wananchi wakibadilishana mawazo wakati wa ziara ya kuangalia huduma zinazotolewa na Wataalamu wa Afya wa Jeshi la China, kwenye Kituo Cha Afya Cha Bunju, Kinondoni Jijini Dar es salaam.
20 Julai 2024

Kongamano - Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050...
04/07/2024

Kongamano - Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050...

04/07/2024
Kampeni ya Chanjo dhidi ya Surua na Rubella 15 hadi 18 Februari 2024. Tupeleke watoto wetu ili wapate kinga...
15/02/2024

Kampeni ya Chanjo dhidi ya Surua na Rubella 15 hadi 18 Februari 2024. Tupeleke watoto wetu ili wapate kinga...

Siku ya Wagonjwa Duniani...
09/02/2024

Siku ya Wagonjwa Duniani...

09/02/2024
16/01/2024

Tahadhari ugonjwa wa macho mekundu...

Tuchukue tahadhari
13/01/2024

Tuchukue tahadhari

Address

Ilala Boma
Ilala

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Mkoa wa Dar es salaam posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya Mkoa wa Dar es salaam:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram