Afya fit Tiba Asili

Afya fit Tiba Asili Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya fit Tiba Asili, Medical and health, Dar es salaam, Ilala.

Dr Monicah
Nawasaidia Wanaume Kutatua Changamoto Za Uzazi Ikiwemo Upungufu Wa Nguvu Za Kiume na Tezi Dume Kwa Kutumia Lishe, Mazoezi,Kanuni Za Kisaikolojia na Tiba Asilia kupona KABISA
wa.me/+255789907021

13/04/2026

K**a jibu lako ni C, tezi dume yako inakuita!

Usipuuze ishara hizi ndogo za usiku.

K**a mshauri wa afya ns mtaalamuwa tibalishe, niko hapa kukusaidia kuelewa nini kinaendelea mwilini mwako.

Jibu kwa ujasiri, tujifunze.
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

13/04/2026

Kujua hali yako mapema kunakupa nafasi kubwa ya kupona bila kuhitaji upasuaji.

Je, umeshachunguza yako mwaka huu? 🩺✨

13/04/2026

Maumivu ya siri yanayozima furaha yako? 😟

Prostatitis inaweza kufanya maisha kuwa magumu, kuanzia chooni hadi chumbani.

AfyaFit TibaAsili tunakupa suluhisho la kiasili kwako.

11/04/2026

Utu wako k**a mwanaume ni heshima yako.

Je, unajua kwanini tezi dume inafanya kazi vizuri zaidi kwenye mazingira ya Alkali? πŸ§ͺ

​Hapa Afyafit TibaAsili hatuangalii tu dalili, tunaangalia chanzo.

Maji ya limao na tango ni mwanzo wa safari ya kusafisha mfumo wako wa mkojo na kuzuia uvimbe wa tezi dume (Prostatitis).
πŸ‡ΊπŸ‡Έ

10/04/2026

09/04/2026

πŸ›‘οΈ VYAKULA 5 BORA VYA KULINDA TEZI DUME πŸ›‘οΈ

​Afya ya tezi dume ni kipaumbele namba moja kwa kila mwanaume anayejali mustakabali wake.

Je, unajua kuwa unaweza kuilinda tezi yako kwa kile unachokula kila siku?

​Hapa kuna orodha ya vyakula 5 vyenye uwezo mkubwa wa kuzuia kutanuka na saratani ya tezi dume:

​1️⃣ Nyanya (Zilizopikwa) πŸ…
Nyanya zina kirutubisho cha Lycopene. Huu ni kiondoa sumu (antioxidant) chenye nguvu sana ambacho huzuia uharibifu wa seli za tezi dume.

Kumbuka: Nyanya iliyopikwa kidogo hutoa Lycopene nyingi zaidi kuliko mbichi!

​2️⃣ Mbegu za Maboga πŸŽƒ
Hizi ni superfood kwa mwanaume.
Zina madini ya Zinc kwa wingi sana.
Tezi dume inahitaji Zinc ili kubaki na ukubwa wake wa asili na kuzuia kutanuka.

​3️⃣ Parachichi πŸ₯‘
Tunda hili lina kirutubisho kinachosaidia kupunguza dalili za tezi dume iliyotanuka na kusaidia mtiririko mzuri wa mkojo bila maumivu wala kusuasua.

​4️⃣ Samaki Wenye Mafuta (Omega-3) 🐟
Samaki k**a Sato au Jodari husaidia kupunguza uvimbe (inflammation) mwilini.
Uvimbe ndio chanzo kikuu cha tezi dume kuanza kusumbua.

​5️⃣ Mbogamboga za Kijani (Brokoli/Mchicha) πŸ₯¦
Zina virutubisho vinavyosaidia mwili kusafisha kemikali hatarishi zinazochochea saratani.
Mboga hizi ni kinga ya asili ya seli zako.

β€‹πŸ’‘ Ushauri .
Lishe bora ni kinga, lakini ikichangiwa na virutubisho asilia maalum, matokeo huwa ni ya haraka na ya kudumu zaidi.

​Je, una changamoto ya kukojoa mara kwa mara au nguvu za kiume zimepungua? Usisubiri hali iwe mbaya.
Nicheki sasa hivi kupata ushauri na suluhisho la uhakika! πŸ“©
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ‡ΊπŸ‡Έ

09/04/2026

SIRI YA KUJITIBU TEZI DUME BILA UPASUAJI.
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

05/04/2026

NJIA 3 ZA KUIMARISHA NGUVU ZA KIUME KWA MWANAUME MWENYE TEZI DUME
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ‡ΊπŸ‡Έ

04/04/2026

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Address

Dar Es Salaam
Ilala

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya fit Tiba Asili posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya fit Tiba Asili:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram