Mt.Maria Goretti Institute of Agriculture

Mt.Maria Goretti  Institute of Agriculture Tunatoa elimu ya masuala ya kilimo kwa ngazi ya certificate na diploma.

11/06/2023
02/06/2023

Usilambe asali kunywa asali

24/05/2023
Sasa tunapokea maombi ya wanaotaja kujiunga chio chetu
21/05/2023

Sasa tunapokea maombi ya wanaotaja kujiunga chio chetu

Chuo cha kilimo cha Mt.Maria Goretti  Institute of Agriculture  sasa tunapokea maombi ya wanaotaka kujiunga na kozi za k...
21/05/2023

Chuo cha kilimo cha Mt.Maria Goretti Institute of Agriculture sasa tunapokea maombi ya wanaotaka kujiunga na kozi za kilimo
Certificate & diploma
Ada 995,000/=
Inalipwa kidogo kidogo
0744479793

Njoo vyuo vya kati upate elimu inayoajilikaMt.Maria Goretti  Institute of  Agriculture  ndio suhulisho lako0744479793
19/05/2023

Njoo vyuo vya kati upate elimu inayoajilika
Mt.Maria Goretti Institute of Agriculture ndio suhulisho lako
0744479793

Ripoti zinasema kwamba Elon Musk na kampuni yake wako kwenye hatua za mwisho za kutengeneza Mke wa Roboti.  Mke wa Robot...
18/05/2023

Ripoti zinasema kwamba Elon Musk na kampuni yake wako kwenye hatua za mwisho za kutengeneza Mke wa Roboti.

Mke wa Robot atatumia betri ambazo hudumu kwa mujibu wa mzunguko wa hedhi. Betri zitachajiwa kwa siku tatu kamili pekee na kufanya kazi kwa mwezi mmoja.

Kufanya mapenzi na Mke wa Roboti itahitaji Nenosiri, Mchoro au Alama ya Kidole ili kuepuka kukasirika.

Bei ya Mke Roboti itagharimu kuanzia Dola $32,000(Tsh.Milion 75.3) mpaka Dola $79,000(Tsh.Milion 186..)

Mke Roboti anategemewa kuingia sokoni September 2023 na mpaka kufikia Afrika inategemewa kuingia November 2023.

14/05/2023
10/05/2023

Mt.Maria Goretti Institute of Agriculture kinapokea maombi ya kujiunga na chuo.

๐Ÿ“Š Kwa mujibu wa mtandao wa Transfer market, thamani ya kikosi chote cha Marumo Gallants ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ kwa sasa ni Euro 5.28milion (...
09/05/2023

๐Ÿ“Š Kwa mujibu wa mtandao wa Transfer market, thamani ya kikosi chote cha Marumo Gallants ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ kwa sasa ni Euro 5.28milion (Sh 13.7 bilioni)

Yanga ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ kikosi chake cha sasa kina thamani ya Euro 2.15 milioni ambazo ni sawa na Sh 5.6 bilioni.

๐—ง๐—ฎ๐˜‡๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐— ๐—ฒ๐—ฐ๐—ต๐—ถ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ก๐—•๐—– ๐—ฃ๐—Ÿ, ๐—˜๐—ฃ๐—Ÿ, ๐—จ๐—˜๐—™๐—”, ๐—Ÿ๐—ฎ ๐—น๐—ถ๐—ด๐—ฎ ๐— ๐—ผ๐˜ƒ๐—ถ๐—ฒ๐˜€, ๐—ง๐—ฎ๐—บ๐˜๐—ต๐—น๐—ถ๐˜†๐—ฎ ๐—Ÿ๐—œ๐—ฉ๐—˜ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ถ๐˜๐—ถ๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐——๐—ผ๐˜„๐—ป๐—น๐—ผ๐—ฎ๐—ฑ ๐—”๐—ฝ๐—ฝโžก๏ธ tinyurl.com/2gadyzk4

๐Ÿšจ.... "UJUMBE MUHIMU KUTOKA KWA EDO KUMWEMBE"Wa mijini acheni mbwembwe....mnunue mayai kwa madogo k**a hawa. Yapo salama...
09/05/2023

๐Ÿšจ.... "UJUMBE MUHIMU KUTOKA KWA EDO KUMWEMBE

"Wa mijini acheni mbwembwe....mnunue mayai kwa madogo k**a hawa. Yapo salama. Au kwamba alifungua ganda akaingiza uchafu ndani ndo achemshe?....Lakini hapo hapo k**a una kauwezo ukimpa buku mbili au tano sio lazima arudishe chenji....muongezee tu mtaji.."
Mt.Maria Goretti Institute of Agriculture
Edo Kumwembe

Risala ya marehem....Aliishi maisha ya kawaida sana japo kwenye media alionekana ni mtu tajiri sana.......hali yake ilia...
09/05/2023

Risala ya marehem....
Aliishi maisha ya kawaida sana japo kwenye media alionekana ni mtu tajiri sana....
...hali yake ilianza kubadilika na kupelekwa morocco kwa matibabu zaidi.hata hivyo hakupata nafuu na alionekana kudhoofika zaidi na kurudishwa nchini .
.....Baada ya hapo alipelekwa mtwara na huku akisema yupo fiti japo sisi tuliona bado ni mgonjwa.akiwa mtwara aliendelea kuaminisha watu yupo vizuri na jana alitegemea kuonana na doctor kudhibitisha k**a anaweza kurudi nyumbani na kuendelea na shughuli zake k**a kawaida.

Jana majira ya tisa na nusu alasiri aliingia kwa daktari na kukaa kwa daktari kwa zaidi ya masaa mawili .
....Hatimaye doctor alitoka na kuwaambia wanandugu kuwa mgonjwa ametutoka ghala akiwa kwenye matibabu..
....Hata hivyo sio kila mtu aliyeamini japo sisi tuliona mapema huu ugonjwa sio wa kupona.

Taarifa isiyo rasimi marehem atarejeq leo jijini Dar es salam.

Yote kwa yote tuungane kwa pamoja kuheshimu maoni watu sio kuwaponda halafu yanapotimia mnakaa kimya...
Mt.Maria Goretti Institute of Agriculture
Cc.

  Kuelekea katika mchezo wa nusu fainali kombe la shirikisho Afrika hizi hapa takwimu za wapinzani wa Yanga klabu ya Mar...
09/05/2023

Kuelekea katika mchezo wa nusu fainali kombe la shirikisho Afrika hizi hapa takwimu za wapinzani wa Yanga klabu ya Marumo Gallants kwenye ligi ya Afrika Kusini.

Michezo 29
Alama 29
Ushindi 5
Kupoteza 10
Sare/Suluhu 14
Magoli ya kufunga 27
Magoli ya kufungwa 32

  Mtoto wa miaka minne mkazi wa mtaa wa Mwatulole Halmashauri ya Mji Geita ambaye jina lake limehifadhiwa amelawitiwa na...
09/05/2023

Mtoto wa miaka minne mkazi wa mtaa wa Mwatulole Halmashauri ya Mji Geita ambaye jina lake limehifadhiwa amelawitiwa na wachungaji wawili wa ng'ombe wa nyumbani kwao kwa kumlaghai watampa p**i watakaporejea nyumbani.

Akielezea alivyofanyiwa ukatili mhanga wa tukio hilo anasema walikuwa wameenda kuchunga ng'ombe wakiwa malishoni wachungaji hao walimvua nguo na kumwambia watamnunulia p**i wakirudi nyumbani.

WIZARA ya Kilimo imeomba Bunge liidhinishe jumla ya Shilingi 970,785,619,000 kwa ajili ya shughuli mbalimbali za wizara ...
08/05/2023

WIZARA ya Kilimo imeomba Bunge liidhinishe jumla ya Shilingi 970,785,619,000 kwa ajili ya shughuli mbalimbali za wizara hiyo kwa mwaka ujao wa fedha 2023/2024.

Akiwasilisha hotuba ya bajeti ya wizara yake bungeni mjini Dodoma leo, Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema, utekelezaji wa Mpango wa Bajeti wa Mwaka 2023/2024 umejikita katika maeneo matano ya kipaumbele na mikakati ya utekelezaji 26.

โ€œShughuli za kilimo hapa nchini ni muhimu kwa maisha na ustawi wa watu na uchumi wetu. Kimsingi, kilimo ni nyenzo muhimu katika mapambano dhidi ya umaskini wa kipato na umaskini wa chakula.

โ€œKilimo kinapanua fursa za ajira kwa kushirikisha wananchi wengi katika mnyororo wa thamani wa mazao ya kilimo na hususan biashara ya mazao ya kilimo ndani ya nchi na kimataifa,โ€ amesema Waziri Bashe.

Amesema Taifa lolote duniani usalama wa kwanza wa nchi ni kujitosheleza kwa chakula, hakuna maendeleo ya kweli k**a hakuna chakula, lakini hakuna chakula k**a hakuna wakulima.

โ€œMimi na Wizara ninayoiongoza nitaendelea kulinda maslahi ya wakulima na wadau wa sekta ya kilimo. Hivyo, ninawaomba kwa heshima na taadhima waheshimiwa Wabunge muiunge mkono Serikali katika mageuzi haya ya muda mrefu.

โ€œWizara ya Kilimo inaliomba Bunge lako Tukufu liidhinishe jumla ya Shilingi 970,785,619,000 kupitia Fungu 43, Fungu 05 na Fungu 24 ikiwa ni ongezeko la asilimia 29.24 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka 2022/2023,โ€ amesema.

  Mzee Katembo Mnubi maarufu k**a Wajanga mwenye umri wa miaka 81, amefikishwa katika mahak**a ya wilaya ya Musoma kwa k...
05/05/2023

Mzee Katembo Mnubi maarufu k**a Wajanga mwenye umri wa miaka 81, amefikishwa katika mahak**a ya wilaya ya Musoma kwa kosa la kumbaka mtoto wa miaka 11 anayesoma katika moja ya shule ya msingi iliyopo Manispaa ya Musoma mkoani Mara.

  Daktari wa mifugo wa manispaa ya Songea Dr. Serina Masole amethibitisha kuwepo kwa homa ya Nguruwe katika manispaa hiy...
04/05/2023

Daktari wa mifugo wa manispaa ya Songea Dr. Serina Masole amethibitisha kuwepo kwa homa ya Nguruwe katika manispaa hiyo ambapo amepiga marufuku usafirishaji wa Nguruwe au nyama ya Nguruwe kutoka eneo moja kwenda eneo lingine.

Aidha Dr. Serina amesema kuwepo kwa homa hiyo ya Nguruwe hakuzuii watu kula nyama hiyo kwakuwa haina madhara kwa binadamu

Fika chuoni kwetu upate elimu ya kilimo kwa ngazi ya certificate na diploma Ada995,000/= Piga simu 0744479793Kujiunga ch...
03/05/2023

Fika chuoni kwetu upate elimu ya kilimo kwa ngazi ya certificate na diploma
Ada
995,000/=
Piga simu
0744479793
Kujiunga chuo

Address

Ilula
51321

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mt.Maria Goretti Institute of Agriculture posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Mt.Maria Goretti Institute of Agriculture:

Share