healthmamatz

healthmamatz Ungependa kujifunza bure njia za kutatua changamoto yako ya kutopata mtoto kwa muda mrefu?
�Bofya hapa kwa msaada
https://wa.me/message/36AZT6DK47MUP1

Mtoto ni furaha ndani ya familia ni muda sasa na wewe kufanya maamuzi njoo tujue changamoto yako itatuliwe upate mtoto w...
04/08/2021

Mtoto ni furaha ndani ya familia ni muda sasa na wewe kufanya maamuzi njoo tujue changamoto yako itatuliwe upate mtoto wako.

Kwa mawasiliano zaidi 0659225057

Mama mjamzito anapaswa kujiepusha na vyakula hivi1️⃣  Nyama mbichiMama mjamzito ana onywa dhidi ya kula nyama mbichi ama...
03/08/2021

Mama mjamzito anapaswa kujiepusha na vyakula hivi

1️⃣ Nyama mbichi

Mama mjamzito ana onywa dhidi ya kula nyama mbichi ama ambayo haija iva vizuri. Nyama huenda ikawa na bakteria wengi wanao weza kusababisha magonjwa sugu na kumwathiri mtoto anaye kua tumboni. Ni vyema kuhakikisha kuwa nyama imepikwa ikaiva vizuri.

2️⃣ Mayai ambayo haijaiva

Chakula kingine ambacho mama mjamzito anapaswa kujitenga nacho ni mayai ambayo hayaja pikwa. Ni vyema kujitenga na vyakula na bidhaa za vyakula zilizo tengenezwa na mayai mbichi k**a vile mayonnaise na ice krimu.

3️⃣ Samaki walio na mercury

Samaki ni chanzo kizuri cha omega-3, ila sio samaki wote walio na manufaa chanya kwa mwili. Mama mjamzito ana stahili kujitenga na ulaji wa samaki wenye idadi kubwa ya mercury k**a vile papa ama dagaa kwani wana athiri mtoto aliye tumboni na huenda akakua akiwa na matitizo ya kiafya.

4️⃣ Maziwa mbichi

Maziwa mbichi huenda ikawa na bakteria inayo fahamika k**a listeria na inayo sababisha maradhi ya listeria katika ujauzito. Maradhi haya yana athari hasi kwa afya ya mama na mtoto. Maziwa ya mama mjamzito yanapaswa kuchemshwa vyema kabla ya kuyanywa.

5️⃣ Maini

Nyama ya maini ni chanzo kikubwa cha madini ya chuma na vitamini A. Ila wakati ambapo viwango hivi vinapo zidi, mtoto huenda akaathiriwa pakubwa.

6️⃣ Vileo

Pombe imehusishwa na kuwa na athari hasi katika ukuaji wa mtoto tumboni mwa mama. Mtoto anaye zaliwa kwa mama aliye kuwa akitumia vileo akiwa na mimba, huenda akawa na uzani wa chini, matatizo ya kiafya na kiakili ama kuchukua muda kukua. Mbali na hayo, mtoto huyo huenda akazaliwa kabla ya wakati kufika. Watoto wanao zaliwa kabla ya kukomaa vyema huwa na matatizo ya kupumua.

Hitimisho:vyakula vya kuepuka katika mimba

Lishe na siha ni muhimu sana kwa mama mwenye mimba. Lishe bora ina himiza ukuaji unaofaa wa mtoto akiwa tumboni na hata baada ya kuzaliwa. Mbali na hayo, mama anapaswa kuhakikisha kuwa anapunguza utumiaji wa kafeini kwani viwango vingi huenda vika changia katika kuharibika kwa mimba.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa namba 0659225057

UMEANGAIKA SANA KUTAFUTA MTOTO?Basi hii ni kwa ajili yako Wanakuletea muendelezo wa darasa Maalumu la Jinsi ya kutatua t...
03/08/2021

UMEANGAIKA SANA KUTAFUTA MTOTO?

Basi hii ni kwa ajili yako

Wanakuletea muendelezo wa darasa Maalumu la Jinsi ya kutatua tatizo la KUTOKUBEBA UJAUZITO kwa wanawake umri 20_43 kwa kutumia formula maalumu ya v_capsules.
_______________________________
K**a wewe ni Mwanamke unahangaika kutafta mtoto bila mafanikio nina habari njema kwaajiri yako

_________________________________

Tumekuandalia darasa maalumu na tutatoa mafunzo BURE KABISA ya jinsi ya kubeba ujauzito kirahisi ndani ya siku 90 tu.

Ndani ya group hilo tutajifunza yafuatayo:

1: Jinsi ya kubeba ujauzito kirahisi kwa kutumia formula yenye uhakika kwa 100%.

2: Vyanzo vya wanawake wengi kushindwa kubeba ujauzito.

3: Jinsi ya kubeba ujauzito ndani ya siku 90 tu.

Wahi mapema kabla ya group kujaa

___________

Tuma Neno NIUNGE WhatsApp 0659225057
________________________

Karibu ujiunge

https://chat.whatsapp.com/KmvOedOrlZ7DzuptMEMwfn

KWA NINI UENDELEE KUTESEKA WAKATI  TUNAWEZA KUKUSAIDIA?Ni kipi kati ya hivi vinakusababisha usipate mtoto?1️⃣ Unasumbuli...
02/08/2021

KWA NINI UENDELEE KUTESEKA WAKATI TUNAWEZA KUKUSAIDIA?

Ni kipi kati ya hivi vinakusababisha usipate mtoto?

1️⃣ Unasumbuliwa na uvimbe kwenye kizazi

2️⃣ Uliwahi kutoa Mimba

3️⃣ Unasumbuliwa na P.I.D

4️⃣ Uasumbuliwa na tatizo la chango

5️⃣ Unasumbuliwa na Hormone Inbalance

Acha kuendelea kutamani watoto wa wenzio wakati wewe unaweza kupata

Njoo tukupatie ufumbuzi wa tatizo lako bure kabisa.

Piga 0659225057 muda wowote ili kupata ushauri wa bure

WW NI MWANAMKE NA UNATATIZO LA KUTOKUBEBA UJAUZITO?Jiulize maswali haya1️⃣ Ulishawahi kutoa mimba?2️⃣ Ulishawahi kwenda ...
01/08/2021

WW NI MWANAMKE NA UNATATIZO LA KUTOKUBEBA UJAUZITO?

Jiulize maswali haya

1️⃣ Ulishawahi kutoa mimba?

2️⃣ Ulishawahi kwenda kituo cha afya kujua tatizo ni nini?

3️⃣ Umeshapata tiba mara ngapi ya tatizo lako la kutokushika ujauzito?

4️⃣ Karibu tukushauri na kukupa msaada bure kabisa

5️⃣ Tunapatikana IRINGA MJINI

WhatsApp / Piga 0659225057 muda wote







01/08/2021

UNATATIZO LA KUTOPATA UJAUZITO?

WATU WENGI WANAAMINI KUWA HAUZAI TENA?

UNAFIKIRI UFANYE NINI ILI UPATE MTOTO?

KARIBU TUKUPATIE MAFUNZO BURE KABISA NA UTAJUA MATATIZO YANAYOKUSUMBJA

WASIRIANA NASI KWA NAMBA 0659225057











Mimi nachagua namba mbili (2)Ww je?
01/08/2021

Mimi nachagua namba mbili (2)

Ww je?




JE UNAMPANGO WA KUPATA UNAUZITO/ MIMBA?Basi somo hili linakufaa👇Ilikuwa asubuhi na mapema nikashuhudia jirani yangu akim...
31/07/2021

JE UNAMPANGO WA KUPATA UNAUZITO/ MIMBA?

Basi somo hili linakufaa👇

Ilikuwa asubuhi na mapema nikashuhudia jirani yangu akimfukuza mkewe kwa kumtolea mabegi yake nje na kumuambia aondoke yeye awezi kukaa na mwanamke MGUMBA.

Baada ya kuona vile roho iliniuma sana na nikamuuliza jirani ivi ni kwa nini unapata ujasiri wa kumfukuza mke wako asubuhi hii na kwa nini mngekaa na mkajadili kuwa njia za kupata tiba ya kutopata mtoto (UGUMBA) maana kuna vitu vinamfanya mwanamke ashindwe kupata mtoto.

NIKAMUAMBIA HIZI NI SABABU ZA MWANAMKE KUTOPATA UJAUZITO

1️⃣Mirija ya kupitisha mayai inaweza kuziba kutokana na;

- Ugonjwa wa Pelvic Inflammatory Disease (PID) ambao unatokana na magonjwa ya zinaa yasiyotibiwa k**a kisonono na klamidia.
- Mirija ya mayai kujaa maji
- Utoaji mimba usio salama (unsafe abortions)
- Upasuaji maeneo ya kiunoni
- Ugonjwa wa endometriosis

2️⃣Ovari kushindwa kutoa mayai ya uzazi inaweza kutokana na;

- Umri mkubwa wa mwanamke, hasa miaka 35 – 40 na kuendelea.
- Uvutaji wa sigara
- Saratani ya Ovari
- Mionzi (radiations)
- Ugonjwa wa Polycystic ovarian disease (Ovarian Cyst)

Sababu nyingine za ugumba kwa mwanamke zinaweza kuwa;

- Makovu katika mji wa uzazi kutokana na kutoa mimba.
- Mabonge ya kizazi (uterine fibroids)
- Kuziba kwa shingo ya uzazi
- Kulegea shingo ya uzazi
- Kisukari
- Matatizo ya tezi ya shingo (hyperthyroidism)
- Kufanya mazoezi ya kupitiliza (excessive exercising)

Tatizo la ugumba huweza kupatiwa matibabu na kuisha k**a ukitumia huduma zetu zinazotolewa na HEALTHMAMA bure kabisa na ninawahaidi ndani ya mwaka mmoja mtapata mtoto.

Basi jirani akamuambia mkewe kuwa tuanze kupata huduma na ndani ya mwaka mmoja k**a sijapata mtoto ni lazima nikufukuze.

Je na ww unataka yakukute yaliyotaka kumtokea jirani yangu?

K**a hautaki yakukute hayo basi karibu kwenye program zetu tukuondolee tatizo la UGUMBA ulilonalo.

Kwa msaada zaidi tupigie kwa namba 0659225057 tukusaidie bure kabisa

MFUMO WA UZAZI WA MWANAMKEMfumo huu hujumuisha viungo vyote vya mwanamke, nje na ndani ambavyo huhusika na uzazi. Viungo...
31/07/2021

MFUMO WA UZAZI WA MWANAMKE

Mfumo huu hujumuisha viungo vyote vya mwanamke, nje na ndani ambavyo huhusika na uzazi. Viungo hivi katika sehemu ya nje huitwa mlango wa uke. Uke ni sehemu inayoanza k**a mlango na kuelekea ndani kwenye tumbo la uzazi. Wakati mwingine uke hujulikana k**a mfereji wa uzazi.

1️⃣MIRIJA YA MAYAI (FALOPIAN TUBES). Mirija hii huunganisha tumbo la uzazi na ovari. Baada ya ovari kupevusha yai, yai hilo huachiwa na kusafiri kupitia mirija kuelekea kwenye tumbo la uzazi au mji wa mimba, au kizazi.

2️⃣MLANGO WA KIZAZI (CERVIX). Sehemu hii ndio mlango au mdomo wa kizazi ambayo hufungua na kufunga mlango wa uke. Mbegu ya kiume huweza kuingia kwenye kizazi kupitia tundu dogo kwenye mlango huu, lakini tundu hili huzuia vitu vingine visiingie k**a vile uume. Wakati wa kujifungua mtoto, mlango huu hufunguka ili kumruhusu mtoto aweze kutoka nje

3️⃣MFUKO WA MAYAI (OVARI). Kila mwezi ovari hutoa au huachia yai moja lililo tayari ambalo husafiri kupitia mirija ya mayai ya uzazi. Wakati mbegu ya mwanaume inapoungana na yai la mama, mtoto hutengenezwa na kuanza kukua. Mwanamke ana ovari mbili, kila ovari ikiwa pembeni mwa tumbo la uzazi. Ovari moja ina ukubwa sawa na punje ya zabibu

4️⃣MJI WA MIMBA. Mji huu ni mfuko uliotengenezwa kwa misuli. Kila mwezi damu ya hedhi hutoka kwenye huu mji. Mtoto hukulia katika mji huu wakati wa ujauzito.

Je unamatatizo kwenye mfumo wako wa uzazi?

Kwa ushauri we wa bure kabisa wasiliana na kwa namba zifuatazo 0659225057












Address

Miyomboni
Iringa

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when healthmamatz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to healthmamatz:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram