24/10/2019
TENDO LA NDOA NI MLINZI WA NDOA YAKO
Mada hii inahusu wanandoa tu. 0756095256
Tendo la ndoa ni raha timilifu ikiashiria upendo, amani, starehe na furaha ya wapendanao katika ndoa. Ikiwa litafanywa na watu wanaopendana na wenye nia moja ya kustarehe na kushibishana basi inakuwa kilele ya raha kuu kwa wanandoa. K**a umekula na kushiba ukiwa nyumbani sio rahisi sana kwenda kwa jirani na kuanza kufakamia chakula.
LAZIMA UMJUE MWENZAKO
Kuna siku mama mmoja nimemsikia akisema k**a mumewake akichepuka lazima atajua tu, nilijiuliza mara mbilimbili sikupata jibu. Na siku ingine tena nikasikia baba mmoja naye akisema "mimi siyo boya, akichepuka tu lazima nijue" sasa hili ni jambo la kutafakari kila mtu na ndoa yake ili kujua ni mbinu gani ataitumia ili kujua k**a kuna mchepukaji au la.
JE TENDO LA NDOA NI MLINZI WA NDOA YAKO?
Mada ya leo ni 'tendo la ndoa linalinda ndoa yako' mpaka mtu amechepuka basi ujue kuna kishawishi cha kimapenzi au kishawishi kingine chochote kimetumika. Pia kuna uwezekano mkubwa sana mmoja hatosheki na mambo ya ndani ndio mana amechepuka. Ndio mana mara zote wahenga walisema OANA NA MTU UNAYEMPENDA NA SIO KUOA TU ILIMRADI NAWE UITWE BABA AU MAMA.Ukioa na kuolewa na mtu unayempenda basi vishawishi vinakuwa kidogo na ni rahisi huvishinda.
WANAUME WANAONGOZA KWA UCHEPUKAJI- WANAWAKE NAO WAMO. Mara nyingi wachepukaji wengi ni wanaume hasa kwa kupata tamaa tu ya vitu vya muda k**a kuona makalio mazuri, maziwa madogo au makubwa, uso mzuri wa mwanamke, sauti nzuri na ushawishi wa wanawake wajanja wanaotaka kupata ama pesa, cheo, kazi, au tu wanataka kuinjoy na waume za watu.Wanawake wengi wakichepuka basi tambua ya kwamba kunashida kubwa sana katika ndoa yake, KULIPIZA KISASI, aidha hapati pesa ya matumizi na anajua bwana anayopesa, na anahisi kuna mwanamke mwenzie anaipata, au kahisi mume anachepuka, au anaona hapati mimba na mwanaume hajali wala kufuatilia.
TENDO LA NDOA NI RAHA TIMILIFU k**a likifanyika kifasaha na watu wawili wanaopendana. Tendo la ndoa linapofanyika mara kwa mara na wanandoa inakuwa ni ulinzi tosha kwa wanandoa kujiepusha na michepuko. Ni k**a vile mtu amekula pilau nyumbani na akashiba, sio rahisi sana kwenda kwa jirani na kula tena.
MATATIZO ASILI YA TENDO LA NDOA.
Mara kadhaa kunakuwa na makando kando ambayo sio ya kujitakia au tuseme mwanandoa yamemkuta bila kutegemea, mfano kukosa hamu ya tendo la ndoa na kuwa na uume legelege hii hutokana na kuongezeka uzito, au kukosa hamu ya tendo la ndoa kutokana na kuvurugikiwa homoni na pia kushindwa kufanya tendo la ndoa kifasaha kwa sababu ya kukosa nguvu za kiume - haya yote ni matatizo yanayotatulika kwa kutumia chakula au kutumia food suppliment zozote zile utakazozipata.
ONGEA NA MWANANDOA MWENZAKO
Mbaya hujitokeza pale ambapo mwanandoa mmoja anakuwa na matatizo ya afya ya uzazi na mwingine hana. Bado hapa tena wanaume wengi ndio wanaongoza hasa kutokana na ukweli kwamba lazima mwanaume awe imara ndio aweze kumwingilia mwanamke. Shida kubwa imekuwa kushindwa kwa wanandoa kuongea na kutafuta suluhisho, badala yake mwanaume hukaa kimya na mwanamke hukaa kimya, matokeo yake mwanamke huanza kusononeka na kudhania hapendwi tena na kuhisi dalili za michepuko, mwisho na yeye anachepuka. Dawa ya kwanza huwa tunawashauri wanandoa ni kuongea, k**a mwanamke utapiga kelele ya kutosha mwanaume lazima atatafuta mbinu ya kusimama tena. Siku hizi pia limeibuka tatizo la wanawake kukosa hamu ya tendo la ndoa, wengi huishia kuwapiga vipepsi waume zao kwa kuwa hawataki kabisa kufanya tendo la ndoa na wanahisi ghasia, ndugu yangu mwanamke hilo ni kosa kubwa, jieleze vizuri ijulikane huna hamu na tatizo litatuliwe. Utatuzi bado ni uleule wa kuongea na kushawishi ni maeneo gani yamebakia yanayoweza ongeza hamu na k**a pia tumia chakula na mwisho unaweza tafuta food suppliment ambazo zitamaliza tatizo hili ambazo ni (mme)prostaterelax na xpower man coffee. (mke) refined yhunz, Femicare na fermiergy ili zikusaidie kuamsha hisia na vishawishi vilivyopooza.
Mmepatana kwa muda pendaneni, msinyimane. Piga simu no 0756095256
kwa Masada zaidi na suluhisho sahihi kwa supliment bora kabisa na za uhakika kutoka marekani na china.
0756095256