St Joseph AfyaCare

St Joseph AfyaCare Afya ni mtaji

05/08/2022
1.Huondoa sumu mwilini.Inaimarisha ubongo na kutunza kumbukumbu3.Inaondoa madhara ya pombe kwa wanywaji na kulinda INI n...
14/06/2022

1.Huondoa sumu mwilini.

Inaimarisha ubongo na kutunza kumbukumbu

3.Inaondoa madhara ya pombe kwa wanywaji na kulinda INI na FIGO

4.Inaondoa mafuta yaliyozidi mwilin, baada ya kula hutumiwa Kuzuia kuota vitambi,

Inaondoa sukari iliyozid mwilin Na ni nzuri kwa wenye shinikizo la damu (presha)

6.Huondoa hali ya uzee wa sura na mwili kabla ya wakati

7.Ina ondoa URIC ACID ilio zidi mwilini

8.Huondoa maumivu ya viungo hasa kwenye maungio kwan unbalance kiwango cha uric acid

9.Inaimarisha UTENDAJI KAZI MZURI na kuzuia madhara kwenye FIGO,INI,KONGOSHO,mapafu

10.Inaleta usingizi Mzuri sana

11.Huondoa hali ya uchovu uchovu usio na sababu

Kuipata bidhaa hii wasiliana nasi kwa 0712147526.

Maambukizi ya via vya uzazi vya mwanamke ni nini?Maambukizi ya via vya uzazi vya mwanamke au ugonjwa wa PID (pelvic infl...
14/06/2022

Maambukizi ya via vya uzazi vya mwanamke ni nini?

Maambukizi ya via vya uzazi vya mwanamke au ugonjwa wa PID (pelvic inflammatory disease) ni maambukizi ya bakteria kwenye shingo ya uzazi, mirija ya fallopio, ovari na tumbo la uzazi (uterasi).

Sababu kuu ya ugonjwa huu kutokea ni maambukizi yanayosambazwa kwa kujamiiana (STI). Ugonjwa huu unaweza kuwaathiri wanawake wenye umri wowote, lakini wale wenye umri kati ya maika 15 na 24 huathirika zaidi.

Dalili huweza kujumuisha: maumivu ya nyonga au tumbo, maumivu wakati wa kujamiiana, na uchafu usio wa kawaida kutoka ukeni pamoja na homa. PID hutibiwa kwa antibiotiki, na utambuzi na matibabu ya mapema ni muhimu katika kuzuia madhara ya kupata makovu na utasa.1

Pakua app ya Ada bure ili kukagua dalili za ugonjwa wa PID au pata maelezo zaidi kuhusu kikagua dalili chetu.

Vihatarishi vya ugonjwa wa PID

Maambukizi ya via vya uzazi vya mwanamke ni semi ya kitabibu inayoelezea maambukizi ya shingo ya uzazi, tumbo la uzazi na mirija ya fallopio. Kwa kawaida maambukizi haya husababishwa na bakteria.

Ingawa mara nyingi ni maamkubizi yanayosambazwa kwa njia ya kujamiiana (STI), k**a vile klamidia au kisonono, wakati mwingine maambukizi haya huweza kusababishwa na bakteria wengine. PID inaweza kuwaathiri wanawake wenye umri wowote, lakini wale wenye umri kati ya miaka 15 and 24 huathirika zaidi.

Dalili za PID

Dalili huweza kujumuisha:12

Maumivu kwenye nyonga na tumbo

Maumivu wakati wa kujamiiana

Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi

Kutokwa na majimaji yasiyo ya kawaida ukeni

Baadhi ya watu huweza kupata homa, kichefuchefu, kutapika au maumivu wakati wa kujisaidia.

Utambuzi

Utambuzi mara nyingi huweza kufanywa kulingana na dalili na uchunguzi wa sehemu za siri. Wakati wa uchunguzi, sampuli za majimaji au usaha huchukuliwa ili kutambua bakteria anayesababisha maambukizi.

Kwa Tiba na ushauri tupigie kwa 0712147526.

Au bofya link kuwasiliana nasi kupitia WhatsApp 👉 wa.me/255712147526.

Address

Kahama

Telephone

+255712147526

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when St Joseph AfyaCare posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share