16/04/2022
Isaka Polyclinic tunaungana na wateja wetu kwa pamoja kusherekea sikukuu ya Pasaka ☺️✝️
Lakini pia tukiendelea na Mwezi Mtukufu ☪️ wa Ramadhani katika mfungo.
Tunawakaribisha sana Isaka Polyclinic kwa matibabu bora na ya kisasa kwani pia tuna wataalamu wa afya walibobea 🩺🤗