Said kilele

Said kilele Music Distributor & Social Media Manager Alikiba Blood Fans

14/02/2026

Mziki ndio furaha asikuambie MTU kitu

03/02/2026

Katika vijana wenye vipaji Tanzania basi kwenye Hilo contena ukimuacha Killy utakuwa umemkosea Sana πŸ˜” Kula burudani kutoka kwa mwana mfalme The Prince OG

🎯 Ukweli usiopingikaWimbo mzuri bila promotionπŸ‘‰ hubaki kimya.Kipaji peke yake hakitoshi,unahitaji mkakati sahihi wa digi...
29/01/2026

🎯 Ukweli usiopingika

Wimbo mzuri bila promotion
πŸ‘‰ hubaki kimya.

Kipaji peke yake hakitoshi,
unahitaji mkakati sahihi wa digital
ili watu wakusikie 🌍

πŸš€ Kilele Digital Promotion
Tunakuinua wewe na mziki wako
kwenye viwango vya digital duniani

πŸ“ž Piga au WhatsApp 0773 810681

Usingoje bahati β€”
panda kilele halisi πŸš€

🎢 Wimbo wako umeiva lakini bado haujasikika?Sasa ni wakati wa kuuwekakwenye majukwaa yote duniani 🌍🎧 Spotify🎡 AudiomackπŸ“€...
28/01/2026

🎢 Wimbo wako umeiva lakini bado haujasikika?

Sasa ni wakati wa kuuweka
kwenye majukwaa yote duniani 🌍

🎧 Spotify
🎡 Audiomack
πŸ“€ Boomplay
🍎 Apple Music

πŸš€ Kilele Digital Promotion
Tunakuinua wewe na mziki wako
kwenye viwango vya digital duniani

πŸ“ž Piga au WhatsApp 0773 810681

πŸ‘‰ Usibaki nyuma,
panda kilele halisi πŸš€

Mziki mzuri peke yake hautoshi 🎧Unahitaji promotion sahihi ili ufike mbali.πŸ‘‰ StreamsπŸ‘‰ ViewsπŸ‘‰ Growth ya kweliπŸ“² Piga au Wh...
28/01/2026

Mziki mzuri peke yake hautoshi 🎧

Unahitaji promotion sahihi ili ufike mbali.

πŸ‘‰ Streams
πŸ‘‰ Views
πŸ‘‰ Growth ya kweli

πŸ“² Piga au WhatsApp 0773 810681

Kilele Digital Promotion
iko tayari kukupandisha
πŸ‘‰ kilele halisi πŸš€

22/01/2026

Ni muda SASA kwa wasanii wakubwa kwa wadogo kuniamini na kufanya kazi na Mimi. Nina experience ya huu mchongo since day 1 nilivyokuwa Teamkiba nimejifunza meΓ±gi Sana, kipindi hiko nilikuwa najifunza kwa lengo la kumpambania King kumbe sikujua najifunza kitu ambacho kitanipa ridhiki .

So nipo Tayari kufanya kazi na msanii yeyote kuanzia Kutengeneza
Music cover,
Audio cover + Video wave
Music Distribution
Logo
YouTube profile picture
YouTube Banner

Ukifanya kazi na Mimi kupitia Office ya   Utapata matokeo kwa haraka Sana .Uaminifu ni mkubwa Sana Karibuni
20/01/2026

Ukifanya kazi na Mimi kupitia Office ya Utapata matokeo kwa haraka Sana .
Uaminifu ni mkubwa Sana

Karibuni

Kilele Digital promotion Tupo kwa Ajiri yako
20/01/2026

Kilele Digital promotion Tupo kwa Ajiri yako

18/01/2026
  πŸ™
15/01/2026

πŸ™

Karibu Kahama Connect Sehemu iliyojaa tarent na ubunifu wa Hali ya juu kabisaTunafanya mawazo na Ndoto yako kuwa kitu ha...
23/10/2025

Karibu Kahama Connect Sehemu iliyojaa tarent na ubunifu wa Hali ya juu kabisa

Tunafanya mawazo na Ndoto yako kuwa kitu halisia

Bango limesomeka Karibu Hapa Kahama Connect Tukuwekee Mziki wako kwenye Ramani ya Dunia
23/10/2025

Bango limesomeka
Karibu Hapa Kahama Connect Tukuwekee Mziki wako kwenye Ramani ya Dunia

Address

Kahama

Telephone

+255652580857

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Said kilele posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Said kilele:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram