AFYA Kwanza Herbal Clinic

AFYA Kwanza Herbal Clinic AFYA KWANZA HERBAL CLINIC ni kituo Cha kutolea tiba na ushauri Tupo daresalaam kariakoo mtaa wa Mafia

MATATIZO YA URIC ACID MWILINI NA TIBA YAKEMwili wa binadamu kwa asili yake umeumbwa kwa namna ambayo viungo vyote vinawe...
27/07/2025

MATATIZO YA URIC ACID MWILINI NA TIBA YAKE

Mwili wa binadamu kwa asili yake umeumbwa kwa namna ambayo viungo vyote vinaweza kufanya kazi kwa ufasaha kutegemeana na taarifa ambazo zinasafirishwa kutoka katika ubongo na kupelekwa katika kiungo husika.

Ili mwili uweze kufanya kazi vizuri na kusitokee na tatizo lolote, haina budi kila kemikali ya asilia iliyopo mwilini iwe katika kiwango ambacho ni stahiki.

Miongoni mwa kemikali asilia ambayo inapatikana katika mwili wa binadamu ni hii ijulikanayo kwa jina la kitaalamu la “Uric Acid”.

Uric Acid ni kemikali ya asilia ambayo inapatikana katika mwili wa binadamu. Kemikali hii hupatikana baada ya kuvunjwa vunjwa kwa vyakula ambavyo ndani yake kuna kundi la kemikali aina ya “Purine” ambayo baada ya kuvunjwa ndipo huzalisha kitu kinachojulikana k**a “Uric Acid”.

Katika mwili wa binadamu, kiwango ambacho ni cha kawaida mtu kuwa nacho ni 2.4-6.0 mg/dL (kwa mwanamke) na 3.4-7.0 mg/dL (kwa mwanamme). Kiwango cha uric acid mwilini hupimwa kwa kutumia njia ya damu.

Kiwango hiki endapo kitazidi mwilini kitasababisha matatizo mwilini na hasa katika maeneo ya mwili ambayo ni maungio ya mifupa/jointi.

Katika maungio ya mifupa au jointi, mtu atapatwa na maumivu makali, kuvimba na kubadilika kwa umbile la maungio ya mifupa na kuwa k**a kumepinda. Hali hii kitaalamu au ugonjwa hujulikana k**a “Gout”.

Pia kuzidi kwa kiwango cha uric acid mwilini kinaweza kuwa ni dalili ya magojwa k**a vile magonjwa ya ini, figo pamoja na saratani. Mwilini kemikali hii ya asilia hutolewa kupitia njia ya mkojo k**a urea, tofauti na wanyama wengine au ndege ambao wao kemikali hii hutolewa kupitia kinyesi na wakati mwingine imekuwa na muonekano k**a chokaa na kuchanganyika na kinyesi mfano cha kuku.

Upatikanaji wa uric acid mwilini ni kupitia ulaji wa vyakula k**a vile maharagwe yaliyokaushwa, maini, figo pamoja na baadhi ya vyakula vya baharini au seafood (sardines pamoja na tuna). Pamoja na vyakula, pia uric acid mwilini hupatikana baada ya matokeo ya seli hai za mwili kuvunjika (seli kufa na kutengeneza purine ambazo nazo huvunjika na kutengeneza Uric Acid).

Kwa kuwa kiwango kikubwa cha uric acid kinasababisha matatizo ya kiafya, ni vyema kufahamu ni namna gani ambavyo mtu anaweza kuenenda ili kuhakikisha kuwa kiwango cha uric acid katika mwili kinakuwa siyo cha kuweza kusababisha matatizo ya kiafya.

Miongoni mwa njia za kutumia katika kurekebisha kiwango cha uric acid mwilii ni kuepuka vyakula ambavyo vina kiasi kikubwa cha “Purine” ambayo ndiyo hupelekea kupatikana kwa uric acid. Vyakula hivyo vya kuepuka ni pamoja na maini, figo pamoja na baadhi ya vyakula vya baharini k**a vilivyotajwa hapo juu. Pia ni vyema kutumia vyakula ambavyo vina kiasi kikubwa cha virutubisho pamoja na vitamin ambavyo kiafya vinasaidia katika kuondoa sumu mwilini.

Virutubisho na vitamini ambazo husaidia katika kurekebisha kiwango cha uric acid mwilini ni pamoja na vitamin B6, Vitamin C, madini ya magnesium. Haya hupatikana katika matunda k**a vile ndizi mbivu, machungwa, matikiti maji, maembe pamoja na mananasi. Pia juisi la limao katika mwili husaidia katika kutengeneza chumvi aina ya calcium carbonate ambayo husaidia kuyeyusha au (Neutralize) tindikali asilia mwilini (Uric acid).

Aidha, sambamba na ulaji wa vyakula hivyo kwa mtu ambaye tayari a**lo tatizo la kuwa na kiwango kikubwa cha uric acid mwilini (Baada ya vipimo vya kitaalamu), inashauriwa kutumia dawa ambazo hupunguza kuzalishwa kwa uric acid mwilini lakini pia kusaidia katika kuondoa maudhi na maumivu makali ambayo mtu huyapata katika jointi. Moja na dawa ambazo zimekuwa zikitumika katika tatizo hili ni dawa aina ya MUFASIL ikichanganywa na dawa zingine ambazo tunazo sisi AFYA KWANZA tatizo hili linapona kabisa na viungo urudi katika hali yake na maumivu hutoweka kabisa.

Ili miili yetu iweze kuendelea kufanya kazi vizuri, inashauriwa kufanya chunguzi za kitaalamu ili kuweza kubaini mapungufu yaliyopo mapema na hatimaye kuepukana nayo kwa kufuata ushauri wa wataalamu wa afya

Kwa mahitaji ya tiba ya uric acid wasiliana na
Dr. Jawadu F Mugisha ✍🏿
📲 +255 679 711 190
📞+255 679 711 190
⁨+255 755 411 190⁩

05/11/2022
Dawa ya Macho 0679711190 📞
17/07/2022

Dawa ya Macho 0679711190 📞

Je umekuwa ukisumbukiwa na kisukari bila suluhisho sasa basi wasiliana na AFYA Kwanza Herbal Clinic WANAYO TIBA DHIDI YA...
17/07/2022

Je umekuwa ukisumbukiwa na kisukari bila suluhisho sasa basi wasiliana na AFYA Kwanza Herbal Clinic WANAYO TIBA DHIDI YA KISUKARI
WASILIANA NAO KWA NAMBA 0679711190 📞

BAWASIRI/KIKUNDU (HAEMORHOIDS)BAWASIRI NI NINI?Ni mkusanyiko wa damu ndani ya njia ya haja kubwa (mkundu na puru) katika...
26/06/2022

BAWASIRI/KIKUNDU (HAEMORHOIDS)

BAWASIRI NI NINI?
Ni mkusanyiko wa damu ndani ya njia ya haja kubwa (mkundu na puru) katika sinusoid za ateri na vena za njia ya haja kubwa. Ikumbukwe kwamba mifumo hii ya damu ni ya kawaida na kila binadamu anazo. Mifumo hio ya damu ya ndani ya njia ya haja kubwa ikijaa damu ndipo inavimba na inakua bawasiri au vijivimbe laini ndani ya njia hiyo. Watu wengi sana wana bawasiri na kwa kua hazinaga dalili basi hata watu wengi hawajijui k**a wana hali hii.Bawasiri huwapata sana watu kuanzia miaka 30 hadi 65;chini ya miaka 20 au juu ya miaka 70 ni ngumu sana kupata bawasiri. Ikumbukwe kwamba bawasiri zipo sana na k**a hazikupi shida yeyote wala hazihitaji matibabu ya aina yeyote

AINA ZA BAWASIRI

👉BAWASIRI ZA NDANI(INTERNAL HAEMORHOIDS)

👉BAWASIRI ZA NJE(EXTERNAL HAEMORHOIDS)

👉BAWASIRI MCHANGANYIKO(MIXED HAEMORHOIDS)

WALIOPO KWENYE HATARI YA KUPATA BAWASIRI

👉Wanaoharisha sana(diarrhea)

👉Wajawazito( pregnancy)

👉Wanaopata choo kigumu kwa muda mrefu(chronic constipation)

👉Wanaokaa muda mrefu kwenye kiti( prolonged sitting)

👉Watu wenye kiribatumbo(obesity)

👉Wanaofanya mapenzi ya njia ya haja kubwa(a**l in*******se)

👉Wanaonyanyua vitu vizito(Regular heavy lifting)

👉Watu wenye maisha mazuri na wasomi(Higher socioeconomic status)

👉Waliofanyiwa operesheni ya aina yeyote ya mkunduni(Rectal surgery)

👉Wenye magonjwa ya ini(Hepatic disease)

👉Watu wenye saratani ya utumbo mpana(Colon malignancy)

👉Wenye presha ya puru(Elevated a**l resting pressure)

👉Wenye presha ya Ini(Portal hypertension

ATHARI ZA BAWASIRI
🔹Upungufu wa damu mwilini
🔹Kutokwa na kinyesi bila kijitambua
🔹kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
🔹kupungukia nguvu za kiume (kwa wanaume)
🔹kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
🔹Kupata tatizo la kisaikolojia

NJIA ZA KUJIKINGA DHIDI YA BAWASIRI

🔹Kula mboga za majani na nafaka zisizo kobolewa kwa wingi
🔹kunywa maji mengi lita sita hadi kumi na mbili kwa siku
🔹Acha kufanya ngono kwa kutumia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)
🔹Punguza kukaa chooni kwa muda mrefu, kunaweza kuongeza shinikizo katika njia ya haja kubwa.

MATIBABU NA JINSI YA KUEPUKA UGONJWA WA BAWASIRI
➡️matibabu ya bawasiri hutegemea na Aina ya bawasiri, mara nyingi wagonjwa wa bawasiri hupatiwa tiba ya kukatwa kinyama na kushauriwa kuendelea na tiba ya vyakula Lakini tiba huwa haina matokeo mazuri kwasababu baada ya Muda tatizo hujirudia kutokana na kwamba hawajatibu chanzo cha tatizo hivyo tiba nzuri ya bawasiri ni kutumia dawa itakayotibu chanzo cha tatizo huku ukiendelea na tiba ya chakula, MFANO MZURI WA DAWA NI *BODY SYSTEM* na *BAWASIR LIQUID* hizo zinatibu na kuondoa tatizo moja kwa moja kwa muda wa wiki mbili tu hata k**a ulishawahi kufanyiwa upasuaji hivyo ni vizuri kutumia dawa hizo ili kumaliza tatizo pamoja na hayo ni
vyema ukazingatia mambo yafuatayo ili KUEPUKANA na ugonjwa wa bawasiri

ZINGATIA KANUNI YA CHAKULA BORA KWA KUPENDELEA KULA MBOGAMBOGA ZA MAJANI, MATUNDA NA NAFAKA ZISIZOKOBOLEWA
KUNYWA MAJI MENGI ANGALAU GLASI SITA HADI 12 KWA SIKU
EPUKA KUTUMIA MUDA MREFU CHOONI

MADHARA YA BAWASIRI
➡️Ugonjwa wa bawasiri una madhara makubwa iwapo hautapatiwa tiba ya uhakika haya ni baadhi ya madhara ya bawasiri

➡️KUPATA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

➡️KUPATA TATIZO LA KUSHINDWA KUHIMILI KINYESI

➡️HUPUNGUZA MORAL YA KUFANYA KAZI KUTOKANA NA MAUMIVU

➡️HUATHIRI KISAIKOLOJIA
MWANAMKE HUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA

➡️KUPATA KANSA YA YTUMBO
✍ hayo ni mambo ya msingi sana kuyajua kabla ya kujua tiba

AFYA KWANZA HERBAL CLINIC TUPO KWAAJILI YA KUKUPATIA TIBA YA BAWASIR WW UNAYESUMBULIWA NA TATIZO HILI TUPIGIE SASA KWA NAMBA ZIFUATAZO:-
+255 679 711 190 call 📞
+255 755 411 190 WhatsApp

TUPO DARESALAAM KARIAKOO MTAA WA MAFIA NA NYAMWEZI STAND YA MABIBO KARIBU NA CATE HOTEL 🏨 NYOTE MNAKARIBISHWA.

Ugonjwa Wa Fangasi Za Ukeni/ Sehemu Za Siri(Vaginal Thrush)Uke Ni Kiungo Cha Uzazi Wa Mwanamke, Ambamo Ndani Yake Kuna L...
23/06/2022

Ugonjwa Wa Fangasi Za Ukeni/ Sehemu Za Siri
(Vaginal Thrush)

Uke Ni Kiungo Cha Uzazi Wa Mwanamke, Ambamo Ndani Yake Kuna Lactobacillus Bacteria Na Fangasi Wazuri Abao Wako Katika Kiwango Kinacho Lingana/a Balanced Mix. Bacteria Hawa Na Fangasi Hizi Husaidia Sana Kuulinda Uke Na Maradhi Mbalimbali Endapo Uwiano Wake Hauta Bughuziwa. Lactobacillus Bakteria Hutoa Acid Ambazo Huzuia Fangasi Kukuwa Au Kuwa Wengi Zaidi.

ugonjwa Wa Fangasi Za Ukeni Ni Ugonjwa Anaoupata Mwanamke Endapo Fangasi Watakuwa Wengi Zaidi Ya Bacteria Wazuri Waliopo Ukeni Au K**a Ph Ya Ukeni Imezidi Kiwango Cha Kawaida Kinachopaswa(Ph 3.5-4.5 Ndio Kiwango Kizuri Kiafya).

fangasi Za Ukeni Mara Nyingi Husababishwa Na Fangasi Waitwao Candida Albicans, Lakini Wakati Mwingine Ni Aina Nyingine Za Fangasi Na Hizi Ni Vigumu Sana Kutibika

vitu Vinavyoweza Kusababisha Ugonjwa Wa Fangasi Za Ukeni

kunasababu Nyingi Sana Baadhi Ya Hizo Ni;

1.Matatizo Ya Homoni(Homoni Za Kubadilika/kuwanyingi Sana Au Kushuka Sana) Hii Inaweza Kusahabishwa Na; Ukomo Wa Hedhi,ujauzito, (Mp)kuwa Katika Siku Za Mwezi, Matumizi Ya Dawa Za Kuongeza Kiwango Cha Hormon Za K**e

2. Matumizi Ya Antibiotics Hizi Huuwa Bacteria Wazuri Na Kubadiri Ph Ya Uke

3. Kufanya Mapenzi Na Mtu Aliye Na Ugonjwa Wa Fangasi Za Sehemu Za Siri Bila Kinga

4. Kushuka Kwa Kinga Ya Mwili Hii Inaweza Kusababishwa Na Magonjwa Mbalimbali K**a Ukimwi, Kisukari, Upungufu Wa Madini,vitamini Na Virutubishi Mbalimbali Vya Mwili.

5. Ulaji Mbaya Hasa Kupendelea Vyakula Vyenye Sukari Kwa Wingi (Sukari Ni Chakula Kwa Fangas Hivyo Huongezeka).

6. Kukosa Usingizi Na Msongo Wa Mawazo .

dalili Zinazoonesha Kuwa Unaugonjwa Wa Fangas Za Ukeni

kuna Dalili Nyingi Sana K**a Zifuatavyo;

🔹Muwasho Sehemu Za Siri

🔹Vipele Vidogo Vidogo Ukeni

🔹Kutokwa Uchafu Mweupe Au Wa Rangi Ya Kijivu Ukeni Wenye Harufu Mbaya

🔹Vidonda Au Michubuko Ukeni

🔹Kutokwa Na Harufu Mbaya Ukeni

🔹Kupatwa Na Maumivu Makali Wakati Wa Tendo La Ndoa

🔹Kuvimba Na Kuwa Mwekundu Katika Mdomo Wa Nje Wa Uke

🔹Kuwaka Moto Ndani Na Nje Ya Uke

kinga Ya Fangasi Za K**e

1. Epuka Kusafisha Uke Kwa Kutumia Vitu Vyenye Kemikali K**a Sabuni

2. Epuka Kutumia Marashi Yenye Chemikali Ukeni Na Kuingiza Vitu Mbàlimbali Ukeni K**a Vidole, Asali, Mgagani N.k

3. Epuka Kutawadha Kutokea Nyuma Kwenda Mbele Baada Ya Kujisaidia Haja Kubwa Au Ndogo

4. Mtibu Mpenzi Wako Alie Na Ugonjwa Wa Fangasi

5. Safisha Uke Na Kujifuta Kwa Kitambaa Safi Ilikuuacha Mkavu

6. Hakikisha Kinga Ya Mwili Wako Iko Juu

7. Vaa Chupi Zitengenezavyo Kwa Vitu Harisi K**a Pamba Na Hariri

8. Epuka Ulaji Mbaya Wa Chakula Hasa Punguza Vyakula Vyenye Kukupayia Sukari Kwa Wingi Mwilini

9. Tumia Pads Zisizo Na Kemikali Na Zenye Vitu Vya Kukulinda Na Maambukizi,kukufanya Uwe Mkavu Na Huru.

N:B Ni Muhimu Kutumia Dawa Za Asili Za Virutubisho Na Kuacha Zenye Kemikali Wakati Wa Kutibu Fangasi Za Ukeni.
kwa Maelezo Zaidi,
maoni Na Ushauri

matibabu Ya Fangasi Sugu Na Za Kawaida wasiliana nasi kwa namba zilizoko hapa chini.
Dr. Jawadu Firdaus ✍🏾
+255755411190📞
+255679711190 📞

22/06/2022

Kuumika/chuku/hijama/(cupping therapy)

Kupiga chuku: Ni tiba ya maradhi mengi

Hijama ambalo ni neno la Kiarabu linamaanisha ‘kutoa’ Kwa sasa inatambulika k**a njia mbadala ya tiba ya kutibu maradhi mbali mbali na magonjwa mengine katika mwili.

Kupiga chuku: tiba ya maradhi mengi
IN SUMMARY

Advertisement
Hijama ambalo ni neno la Kiarabu linamaanisha ‘kutoa’ Kwa sasa inatambulika k**a njia mbadala ya tiba ya kutibu maradhi mbali mbali na magonjwa mengine katika mwili.

Matibabu ya kisayansi ya sasa pia yanakubaliana na faida mbali mbali za hijama au kuumika na hata kupendekeza matumizi yake katika maradhi mbali mbali.

Tiba hii ambayo mfumo wake hauhusishi upasuaji, sumu au damu chafu hutolewa kutoka katika mwili.

Baadhi sehemu za hijama au kuumika katika mwili hutumika Katika sehemu hizo zilizochaguliwa, damu husababishwa kuwa katika sehemu hiyo halafu hunyonywa na kwa kutumia mfumo wa bomba, chupa au chombo kisichokuwa na chochote ndani yake.

Kuumika au hijama ndiyo njia sahihi ya kuondoa sumu kutoka mishipa ya damu, na matokeo yake bila ya shaka yatakusababishia kuwa na afya nzuri na mwili unaofanya kazi vizurI.

Inafahamika kwamba kuumika au hijama inasaidia kuongeza nguvu katika damu. Inaondoa sumu na uchafu katika damu na kuharakisha uponyaji wa haraka wa maradhi.

Wasiliana na Dr. Jawadu Firdaus kwa namba zifuatazo 0755411190/0626450141

TUNAPATIKANA KARIAKOO MTAA WA MAFIA NA NYAMWEZI STAND MPYA YA MABIBO KARIBU NA CATE HOTEL

AFYA KWANZA HERBAL CLINIC ni kituo Cha kutolea tiba na ushauri Tupo daresalaam kariakoo mtaa wa Mafia

Vidonda vya tumbo ni tatizo linalotokea baada ya kuta za tumbo au utumbo mdogo kuwa na vidonda, hii hutokea ni baada ya ...
21/06/2022

Vidonda vya tumbo ni tatizo linalotokea baada ya kuta za tumbo au utumbo mdogo kuwa na vidonda, hii hutokea ni baada ya kuharibika kwa ukuta wenye ute unaozuia kemikali za kuyeyusha chakula unaoitwa mucus. Kemikali ambayo ni acidi inayozalishwa mwilini kiasili husaidia kuyeyusha chakula na kuua wadudu tumboni, k**a ukuta wenye ute ukiharibiwa na kushindwa kufanya kazi basi kemikali (acid) itaathiri tumbo au utumbo na kuruhusu bakteria kuendelea kusababisha vidonda vya tumbo.

Vidonda vya tumbo vinatibika kirahisi ila vikicheleweshwa bila kutibiwa huweza kusababisha tatizo kubwa. Ni tatizo linalotesa sana na kuwanyima raha watu wengi, linahitaji umakini na pia husababisha magonjwa mengine k**a kansa, amoeba (amiba), homa, kupungua uzito.

AINA ZA VIDONDA VYA TUMBO

Kuna aina zipatazo mbili za Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers)

Vidonda vya tumbo kubwa (Gastric ulcers) – Hivi ni vidonda vya tumbo vinavyotokea ndani kwenye tumbo kubwa
Gastric_Ulcer-1200x720

2. Vidonda vya utumbo mdogo (Duodenal ulcers) – Hivi ni vidonda ambavyo hutokea kwenye utumbo mdogo (hasa juu)
duodenal-ulcer

CHANZO CHA VIDONDA VYA TUMBO

Vidonda vya tumbo vina vyanzo tofauti ili vyote ni vile vinavyohusiana na mmeng’enyo, vyanzo hivyo ni;

Bakteria waitwao Helicobacter pylori (H. pylori)
Matumizi ya dawa za kupunguza maumivu k**a asprin, (NSAIDs), (Advil, Aleve, na zingine)
Kuwa na mawazo mengi
Kula vyakula vinavyozalisha acid kwa wingi
Kunywa pombe na vinywaji vikali
Uvutaji wa sigara
Kuto kula mlo kwa mpangilio

DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO

Dalili za vidonda vya tumbo hujitokeza baada ya kula au kabla ya kula, ila mara nyingi wengi huwa wanazipuuzia na endelea kukuza tatizo, vidonda vya tumbo vinadalili k**a;

gastrita

Kupata maumivu ya tumbo yanayokuwa k**a ya moto (kuunguza) baada na kabla ya kula
Kupatwa na kiungulia karibu na chembe ya moyo
Tumbo kujaa gesi na kuvimbiwa
Kichefuchefu na kutapika tena yawezekana kutapika damu
Kupata haja kubwa ya rangi kahawia au nyeusi yenye harufu mbaya sana, pia haja yaweza kuchanganyikana na damu
Kupoteza hamu ya kula na kupungua uzito
Kushindwa kupumua vizuri.

By; Dr Jawadu F Mugisha ✍🏾
+255 755 411 190/+255 679 711 190 📞

▶️ ‎DOCTOR JAWADU  MUGISHAUGOJWA WA P.I.D NA TIBA YAKEPelvic Inflammatory DiseaseNi maambukizi katika via vya uzazi. Wan...
21/06/2022

▶️ ‎DOCTOR JAWADU MUGISHA

UGOJWA WA P.I.D NA TIBA YAKE

Pelvic Inflammatory Disease

Ni maambukizi katika via vya uzazi. Wanawake wengi husumbuliwa na tatizo hili kulingana na sababu zifuatazo:-

Matumizi ya antibiotics Kwa wingi, kimsingi matumizi haya huuwa bacteria wote, hivy wanapokufa unakosa ulinzi wa bacteria wa kupambana na maambukizi. Kadhalika ujauzito ikiwa ni pamoja na kujifungua. Pia sababu nyingine ni matumizi ya condoms na kufanya ngono

DALILI ZA UGONJWA WA P.I.D
1️⃣Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri, yawezekana ukawa ni mweupe, njano, au maziwa
2️⃣Kuwashwa sehemu za siri
3️⃣Uke kutoa harufu mbaya
4️⃣Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
5️⃣Uke kuwa wa ulaini sana
6️⃣Maumivu wakati wa tendo la ndoa
7️⃣Kuvurugika Kwa hedhi
8️⃣Kutokwa majimaji ukeni kupita kiasi
9️⃣Maumivu wakati wa kukojoa na wakati wa choo kubwa
🔟Homa,uchovu,kizunguzungu na kukosa hamu ya kula.

SABABU ZINAZOPELEKEA MWANAMKE KUWA NA MAAMBUKIZI YA KWENYE MJI WA MIMBA (Pelvic Inflammatory Disease).

Aina nyingi za bacteria zinaweza kusabisha PID, lakini gonorrhea na kaswende ni vyanzo vikubwa. Bacteria hawa husambazwa kwa urahisi na mtu anayefanya ngono zembe. Mara chache bacteria huingia kwenye mfuko wa uzazi, wangeweza kuingia kupitia mlango wa kizazi wakati wowote k**a wasingezuiliwa na cervix. Hii hutokea wakati wa mzunguko wa hedhi au kipindi cha kujifungua, kutoa mimba au mimba kuporomoka. Vile vile bacteria wanaweza kuingia kupitia uwekewaji wa vitanzi (Intrauterine Device —IUD) kwa ajili ya kuzuia mimba au kupitia hatua za uwekeji au uingizwaji wa dawa kwenye uterus.

Viashiria Hatari vya maambukizi (Risk factors)
Sababu zinazoweza kuuongeza hatari ya maambukizi ni pamoja na;

🔹Mapenzi ya mara kwa mara chini ya miaka 25.
Wapenzi wengi (Having multiple s*xual partners).

🔹Kuwa na mahusiano na mtu mwenye wapenzi wengi.

🔹Kufanya mapenzi bila kondomu (Having s*x without a condom).

🔹Kuosha ukeni kwa kutumia maji (Douching regularly).

🔹Kuwa na historia ya maambukizi mji wa mimba au magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya ngono.

🔹Maambukizi katika tabaka la ndani la kizazi (Endometriosis).

Kuna sababu ndogo ndogo zinazoongeza hatari ya maambukizi ya PID baada ya kupandikiziwa vitanzi (Intrauterine Device —IUD). Viashiria hivi kiujumla hubainika wiki tatu baada ya upandikizwaji wa kitanzi.

Madhara ya PID (Complications).

Pelvic inflammatory disease (PID) isipotibiwa husababisha makovu na vifuko vyenye maambukizi (abscesses) kundelea kuwepo kwenye mfuko wa mimba. Hii inaweza kusababisha uharibifu wa via vya uzazi.
Madhara yatokanayo na maambukizi haya ni pamoja na;-

01. Ujauzito kutungia nje ya mfuko wa mimba (Ectopic pregnancy).

PID ni sababu inayapelekea ujauzito kkutungia nje ya mfuko wa mimba, na hii hutokea pale PID inapoacha kutibiwa na kusababisha kuwepo kwa makovu kwenye mirija ya uzazi. Makovu haya huzuia yai lililopevushwa kushindwa kupita kwenye mirija ya uzazi kuelekea kwenye mji wa mimba, badala yake yai lililo pevushwa hujipandikiza kwenye mirija ya uzazi (fallopian tube). Mimba ya nje ya mfuko wa uzazi inaweza kusababisha usumbufu mkubwa na kuhatarisha maisha ya mjamzito, damu kutoka na kupelekea mama mjamzito kuwekwa chini ya uangallizi maalumu.

02. Ugumba (Infertility).

Uharibifu wa sehemu za via vya uzazi unaweza kupelekea ugumba —hali ya kushindwa kupata ujauzito. Kipindi kirefu utakachokuwa na PID ndivyo kadiri unajiweka kwenye hatari kubwa ya ugumba, kuchelewa kutibu PID ni kuongeza hatari ya kuwa mgumba.

03. Maumivu sugu (Chronic pelvic pain).

PID inaweza kusababisha maumivu ya chini ya tumbo yanayoendelea kwa miezi au miaka. Makovu kwenye fallopian (mirija ya uzazi) na via vingine vya uzazi inaweza kusababisha maumivu wakati wa kufanya mapenzi na upevvushwaji wa yai.

04. Uvimbe wenye usaha kwenye mfuko wa mayai (Tubo-ovarian abscess).

PID inaweza kupelekea kuwepo kwa vimbe zenye usaha kwenye mfuko wa mimba, usaha huu unaathiri mirija ya uzazi pamoja na mayai, lakini unaweza kuendelea kwenye uterus na maeneo mengine ya uzazi, Hali ikiachwa ikaendelea inaweza kupelekea maambukizi zaidi.

05. PID yaweza pelekea saratani ya shingo ya kizazi isipotibiwa haraka

Dose ya PID, Fungus na hormones imbalance ni Tsh. 180,000/-

Kwa huduma za matibbu Wasiliana nasi kwa namba zifuatazo
+255 755 411 190 📞
+255679711190 📞
By: DR. JAWADU F MUGISHA ✍🏿

AFYA KWANZA HERBAL CLINIC TUNAJALI AFYA YAKO

TIBA YA UVIMBE KATIKA KIZAZI (fibroids):FIBROID NI NINI?Fibroid ni uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambao huu...
21/06/2022

TIBA YA UVIMBE KATIKA KIZAZI (fibroids):
FIBROID NI NINI?
Fibroid ni uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambao huu uvimbe unaweza kuwa ndani ya kizazi(ukutani mwa kizazi) au ndani ya nyama ya kizazi na nje kwenye ukuta wa kizazi.
Kuna aina kuu zifuatazo za fibroids:
1.Submucosal fibroids(ndani ya kizazi)
2.intramural fibroid(ndani ya nyama za kizazi)
3. Subserosal(nje ya kizaz)
Watu wafuatao wako hatarini kupata ugonjwa huu wa fibroids.

1.Mwanamke ambae hajawahi kupata mtoto mpaka umri mkubwa
2.miaka kuanzia kubalehe mpaka hedhi kukoma
3.kurithi 4.unene 5.kuingia hedhi mapema
Fibroids sio kansa ni uvimbe wa kawaida tu ambao unakua kwa kutegemea kichocheo cha estrogen hormone ndio maana kuanzia kubalehe mpaka kukoma kwa hedhi ndio wako hatarini. Na mara nyingi uvimbe huu huwa unaongezeka kukua sana hasa wakati wa ujauzito kwani vichocheo hivi huongezeka wakati huu kulinda makazi ya mtoto.
Ni watu waliofikia kikomo cha hedhi hawapati fibroids au kitaalam leomyoma.

Dalili za fibroids;
1.Kutokwa damu kwenye via vya uzazi katikati ya mwezi.
2.kutokwa na uchafu wenye harufu mbaya au ambao hauna harufu lakini mwingi na mweupe.
3.maumivi ya kiuno hasa wakati wa hedhi ambayo husababishwa na kizazi kujaribu kusukuma huo uvimbe..wengi hupata maumivu makali sana.
4.Tumbo kuuma sana chini ya kitovu.
5.hedhi zisizokuwa na mpango
6.maumivu wakati wa tendo la ndoa
7.Kukosa hamu ya tendo la ndoa
8.maumivu makali wakati wa hedhi.

Uvimbe unapokua mkubwa unaweza kusababisha dalili zifuatazo.
1.Kukojoa mara kwa mara kwani uvimbe unakandamiza kibofu cha mkojo
2.Mkojo kubaki kwenye kibofu cha mkojo
3.Haja kuwa ngumu
4.miguu kuvimba
5.kupungukiwa damu
Jinsi fibroids zinavyoweza kuzuia kupata mtoto:
1.Fibriods zikikua sana zinakandamiza mishipa ya kupitisha mayai kutoka kwenye kiwanda yani ovari
2.Uvimbe pia unazuia yai lililorutubishwa kujishikiza kwenye kizazi..hasa submucosal fibroids
3.Pia huzuia mfuko wa kizazi kukaza kusukuma mbegu kwenda kwenye mishipa ya kupitisha mayai.
MATIBABU
1.Wanawake wengi wanafibroids ndogo ndogo lakini kwa sababu hazina dalili hawawezi kwenda hospitali na hawa ndo siku wakibeba ujauzito uvimbe unaongezeka kwa sababu ya vichocheo kuongezeka hivyo hawa watu tunawabaini tunapofanya ultrasound ndipo wanakutwa navyo.lakini kitaamu hospitali hawatibu uvimbe wa namna hii
2.Uvimbe ambao ni mkubwa wenyewe hutibiwa kwa namna zifuatazo (hospital)
A.Dawa ambazo ni gharama sana mfano donazol wengi masikini hawawez kumudu kununua
B.Vidonge vya maumivu
C.Vidonge vya kuzuia damu k**a tranexamic acid na dawa za uzazi wa mpango(COCs)
2.Njia ya pili ni operation nazo zipo operation aina nyingi inategemea na uvimbe ukubwa na wingi wake.
1.Myomectomy hii ni operation ya kuondoa uvimbe mmoja mmoja bila kuondoa kizazi kwa wale wenye uvimbe mmoja uko sehemu nzuri
2.Total abdominal hysterectomy. Hii operation unaondoa kizazi chote k**a uvimbe umekaa vibaya na viko vingi.

Swali la kujiuliza kwa nini mpaka upate dalili ndo utaanza kushughulikiwa kutibiwa? Kwa nini ubebe ujauzito huku una uvimbe kisa bado mdogo?

Kumbuka uvimbe huu sio kansa hivyo ondoa hofu. Mbali na donazole ambayo ni ya gharama na haishauriwi itumiwe kwa mda mrefu ina sababisha mwanamke anakua na sifa za kiume.

UKIFANYIWA OPERATION USIDHANI UVIMBE UMEISHA UNAOTA PEMBENI HADI UTAKAPOWEKA VICHOCHEO SAWA.

Sasa kwa kuliona hilo suluhisho lako lipo, tuna dawa ambayo imetengenezwa kitalamu katika mfumo wa syrup na nyingine ni yaunga ambayo imetengenezwa kwa mimea baada ya utafiti na majaribio ya kutosha. Dawa hiyo ni mchanganyiko wa dawa asilia za kisunnah na kiarabu ambao hauna sumu au madhara yoyote mwilini. Ni dawa ambayo ina uwezo pia wa kuyayusha vijiwe ndani ya figo na kibofu cha mkojo, huzibua njia ya mkojo kwa wale wenye tatizo la kuziba kwa mkojo pamoja na kusafisha damu na mwili kwa ujumla.
Utapata suluhisho lako bila madhara kwani ni 100% asili tupu (100% Natural) mimea ambayo imefanyiwa uchunguzi wa kina.
Hii dawa inayeyusha kabisa uvimbe wa fibroid bila madhara yoyote. K**a una ndugu au rafiki mwambie suluhisho lipo na mshirikishe kuokoa afya yake.

Kwa maoni, ushauri na tiba za matatizo mbalimbali ya kiafya k**a vile U.T.I, PID, presha, sukari, matatizo ya moyo, kuacha sigara na pombe, bangi na mirungi, kifua, pumu, vimbe mbalimbali, matatizo ya hedhi, figo, Ini, Moyo, bandama, matatizo ya mifupa, kiuno, mgongo, ganzi,, miguu, uzito mkubwa, unene, nguvu za kiume, tezi dume, vidonda vya tumbo,uzazi nk usisite kuwasiliana nasi kwa namba yetu +255755411190
Utapata dawa za aina mbalimbali kwa ajili ya maradhi tofauti, pia tuna vipodozi vya asili visivyokuwa na kemikali kwa ajili ya ngozi za aina zote ambavyo pia ni tiba ndani yake za matatatizo mbalimbali ya ngozi k**a vile chunusi, mabaka, fangasi, michiriz (stech mark) nk.

Pia tunatoa huduma ya kupiga chuku/hijama au kuumika kwa ajili ya maradhi sugu na ya kawaida.

Huduma zitakufikia popote ulipo iwe mkoani au nje ya nchi.

By; Dr. Jawadu F Mugisha ✍🏾
Huduma kwa wateja:
📞+255 626 450 141
+255 755 411 190📞
+255 679 711 190 📞

JOINTATH (fish oil, OMEGA 3) Ina mchanganyiko wa DHA na EPA ambayo ni aina ya Omega 3 ambayo husaidia afya ya moyo afya ...
21/06/2022

JOINTATH (fish oil, OMEGA 3)
Ina mchanganyiko wa DHA na EPA ambayo ni aina ya Omega 3 ambayo husaidia afya ya moyo afya ya akili kwa mtoto aliyekuwa tumboni, ngozi kuchomwa na jua, Afya ya macho na kuongeza kinga ya mwili.

Tunapatikana kariakoo mtaa wa mafia na nyamwezi stand mpya ya mabibo karibu na CATE HOTEL
wasiliana nasi kupitia namba zifuatazo 0755411190/0679711190 📞

TUNATIBU MAGONJWA YOTE SUGU ▪️PID sugu▪️U.T.I Sugu▪️Fungus sugu ▪️Chango▪️Kukosa mtoto▪️Kukosa hamu Ya Tendo▪️Matatizo y...
21/06/2022

TUNATIBU MAGONJWA YOTE SUGU
▪️PID sugu
▪️U.T.I Sugu
▪️Fungus sugu
▪️Chango
▪️Kukosa mtoto
▪️Kukosa hamu Ya Tendo
▪️Matatizo ya Hedhi
▪️Mirija ya uzazi kuziba/kujaa maji
▪️Uvimbe kwenye kizazii
▪️Bawasir (Bila Operation)
▪️Presha, Kisukari,Pumu, Goiter
▪️Matatizo ya Nguvu za Kijinsia & Tezi Dume
▪️Matatizo ya viugo kufa Ganzi/kuwaka Moto
▪️Matatizo ya Ngozi (Chunusi,michirizii,makovu)N.K
▪️Kupunguza mwilii Uzito na kitambii
▪️Vidonda vya tumbo
▪️Matatizo ya Moyo, Figo, Ini na Bandama
▪️Maumivu ya tumbo, kukosa choo, kujaa tumbo (gas) na mingurumo ya tumbo (Ngiri)
▪️Matatizo ya meno, macho, n.k

Address

Mafia Street & Nyamwezi St
Kariakoo
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA Kwanza Herbal Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to AFYA Kwanza Herbal Clinic:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category