
12/09/2023
Happy Health care kwa maswala ya uzazi_uzazi Unataka kubeba ujauzito?
Fanya s*x (tendo la ndoa siku sahihi)
K**a unataka kubeba ujauzito hakikisha zile ziku kadhaa ambazo unakuwa katika ovulation unazitumia vizuri. Usijifunge ukafanya siku ya ovulation peke yake.
Haijalishi unafanya mara ngapi jitahidi ufanye siku sahihi au wakati sahihi. Research zinaonesha kuwa hata ukifanya s*x siku 6 kabla ya siku yako ya ovulation bado una chance ya kubeba ujauzito. Ukifanya ile siku moja tuu ambayo wewe unaiona ni sahihi unaweza kosa chance ya kubeba ujauzito kwa mwezi huo. wa.me/0694003346