RSD Access Tanzania

RSD Access Tanzania RSD Access( 0759046054,0713468909). Tunakusaidia wapi kwa kuipata dawa kwa Bei nafuu ili kukupunguzia gharama za MATIBABU.Tunakutumia KOKOTE Ulipo Tanzania.

29/04/2025

K**a huna BIMA Basi RSD ACCESS itakusaidia kuzipata dawa kwa BEI nafuu ili KUKUPUNGUZIA GHARAMA. Magonjwa ya presha, kisukari etc yasiue UCHUMI wako kwa Bei kubwa za dawa. Utatumiwa kokote Tanzania. Karibuni.

Usisumbuke kuzungikia kila duka kuulizia dawa yako Bali tupigie chap tukuelekeze aliyenayo
04/08/2022

Usisumbuke kuzungikia kila duka kuulizia dawa yako Bali tupigie chap tukuelekeze aliyenayo

22/01/2022

RSD(Rare Stocked Drugs) Açcessibility ni huduma yetu mpya kukusaidia kupata dawa zile ulizoandikiwa na Daktari lakini maduka ya karibu nawe hazina hizo dawa. Tutakutafutia na kukutaarifu kua duka fulani wanazo na bei yake hivyo kukupunguzia muda na uchomvu wa kuzungukia maduka mengi. Tupo nchi nzima.

Ukiwa na tatizo lolote la ngozi limekusumbua muda mrefu, jipige picha vizuri, wasiliana nasi kwa What's Up 0759046054. M...
04/03/2018

Ukiwa na tatizo lolote la ngozi limekusumbua muda mrefu, jipige picha vizuri, wasiliana nasi kwa What's Up 0759046054. Madaktari zaidi ya 5 tutajadiri tatizo lako na kukupa jibu la ugonjwa wako na nini cha kufanya. Ahsante Teknolojia.

01/08/2017

Karibuni tushauriane&kupata matibabu sahihi bila kupoteza muda ktk kujariburibu huku ukipoteza muda&fedha.

15/03/2017

Kwanini ugonjwa ujirudie mara kwa mara wakati nilimuona daktari,nilipima maabara na kunywa dawa? Tuulize sisi- 0746239288.0759046054, 0718982633. Karibuni.

13/06/2016

Katika Medical Follow up(M4U) Hatuishii Tu Kukushauri Daktari Wa Kukutibu Bali Tutaongozana Nawe Kila Hatua Hadi Utakapomaliza Dozi Ya Dawa Na Kutuhakikishia Kua Umepona,hapo Nasi Tutakua Tumetimiza Wajibu Wetu. Hivyo Ndivyo Tulivyo,tupigie 0746239288, 0759046054, 0718982633

Kwanini ugonjwa ujirudie mara kwa mara wakati nilimuona daktari,nilipima maabara na kunywa dawa? Tuulize sisi- 074623928...
13/06/2016

Kwanini ugonjwa ujirudie mara kwa mara wakati nilimuona daktari,nilipima maabara na kunywa dawa? Tuulize sisi- 0746239288.0759046054, 0718982633. Karibuni.

Address

Buguruni
Kariakoo

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when RSD Access Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram