TANNA TRRH

TANNA TRRH Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from TANNA TRRH, Medical and health, Kibaha.

28/05/2026

Siku ya pili ya maadhimisho ya siku ya wauguzi Duniani kwa TAWI la hospital ya Rufaa Mkoa wa Pwani -Tumbi ambapo elimu ya Uchumi na fedha pamoja na elimu ya Afya zilizotolewa na wataalam mbalimbali kutoka #.amis # #

24/05/2026
23/05/2026

Ni kuanzia tarehe 26/05 Hadi 29/05 ambapo itakuwa ni kilele cha maadhimisho ya siku ya wauguzi Duniani kwa TAWI la Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Pwani -Tumbi likitanguliwa elimu ya fedha kutoka kwa watoa mada mahiri #.amis pamoja elimu ya Afya itakayotolewa na wataalam mbalimbali ikiwemo namna ya kukabiliana na changamoto ya Afya ya akili ,vilevile Tutakuwa na michezo mbalimbali.

12/05/2026

Heri ya siku ya wauguzi Duniani ambapo siku hii huadhimishwa kila 12/05 ya kila mwaka ambapo kwa mwaka huu 2026 Maadhimisho haya kitaifa yanafanyika Mkoani Arusha katika Ukumbi wa Mikutano wa kimataifa wa AICC

09/05/2026

Update from AGM 2026 AICC kutoka Baraza la Uuguzi na Ukunga

09/05/2026

Update from Tnmc

09/05/2026

Kutokea AICC wauguzi washiriki Mkutano na kongamano la kisayansi na maadhimisho ya siku ya wauguzi Duniani ambapo kongamano na maadhimisho hayo yameanza 09- 12 /05/2026

17/12/2025
Wauguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani – Tumbi wakifuatilia wasilisho la Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) Tawi...
25/09/2025

Wauguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani – Tumbi wakifuatilia wasilisho la Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) Tawi la Tumbi.

Mada kuu zilizowasilishwa:
1️⃣ Muundo mpya wa kada ya afya hususani wauguzi na utekelezaji wake.
2️⃣ Umuhimu wa kulipia ada ya wanachama wa TANNA.
3️⃣ Programu ya “Muite Muuguzi Popote” k**a nyenzo ya kuongeza mchango wa wauguzi katika jamii.
4️⃣ Umuhimu wa CPD points kwa ukuaji wa taaluma ya uuguzi. # #.baluhya.96 #.2023 # # # # #

Address

Kibaha

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Telephone

+255745104165

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TANNA TRRH posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share