Dr Kahwili Dental Clinic

  • Home
  • Dr Kahwili Dental Clinic

Dr Kahwili  Dental  Clinic Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dr Kahwili Dental Clinic, Hospital, KIBAHA PICHA YA NDEGE, .

KLINIKI YA MENO KIBAHA

HUDUMA ZETU

~KUSAFISHA MENO
~KUZIBA MENO
~KUREKEBISHA MENO YALIYOOTA VIBAYA
~KUTENGENEZA MENO BANDIA

KIBAHA PICHA YA NDEGE- SIMU 0719 183 173

Usiache meno yako yapate uchafu ili kuepusha magonjwa ya fizi na meno.
17/12/2020

Usiache meno yako yapate uchafu ili kuepusha magonjwa ya fizi na meno.

23/11/2020
Hatua za Meno KuozaMatibabu yanaweza kuwa:1. Kuziba meno yanayoweza kuzibika2.Kutoa meno yanayouma na hayawezi kuzibika....
25/10/2020

Hatua za Meno Kuoza
Matibabu yanaweza kuwa:
1. Kuziba meno yanayoweza kuzibika
2.Kutoa meno yanayouma na hayawezi kuzibika.
Mawasiliano Piga: 0719 183 173

Dental Wear
26/09/2020

Dental Wear

Je ni sahihi kutoa kizibo cha chupa kutumia meno?Kwa Matibabu ya Meno piga: 0719183173 au 0678131267Wakati mwingine huon...
14/09/2020

Je ni sahihi kutoa kizibo cha chupa kutumia meno?

Kwa Matibabu ya Meno piga: 0719183173 au 0678131267

Wakati mwingine huonekana ni fahari kuweza kufungua kizibo cha soda/beer n.k kwa kutumia meno, Lakini ukweli ni kwamba hizo ni njia hatarishi za usalama wa meno yako.

Matokeo yake huweza kuwa:

1. KUVUNJIKA KWA JINO

2.KUWEKA NYUFA KWENYE JINO

3. JINO KUNG'OKA n.k

Wakati wote tumia opener kufungua vitu vilivyofungwa.

~Zuia kula vitu vyenye sukari nyingi kwasababu hupelekea meno kuoza.
12/09/2020

~Zuia kula vitu vyenye sukari nyingi kwasababu hupelekea meno kuoza.

Jinsi ya kupiga mswaki na kuhakikisha kinywa chako ni safi muda wote:   * Kwa ushauri na Matibabu ya Meno piga nambari :...
08/09/2020

Jinsi ya kupiga mswaki na kuhakikisha kinywa chako ni safi muda wote
: * Kwa ushauri na Matibabu ya Meno piga nambari : 0719 183 173

1. Tumia dawa ya meno kiasi tu kusugua meno.

2. Weka mswaki wako katika digrii 45 na meno ili ugusane vyema na meno na fizi.

3. Sugua meno yako kwa mzunguko mduara.

4. Usisahau pia kusugua sehemu za ndani za meno na fizi.

Better Feeling and Comfortable at kibahaPiga namba:   0678131267 kwa ushauri
01/09/2020

Better Feeling and Comfortable at kibaha

Piga namba: 0678131267 kwa ushauri

Ziba meno yako kwa teknolojia ya kisasa, ili uweze kula nyama  vizuri bila maumivu kwenye meno na vyakula vingine, karib...
30/08/2020

Ziba meno yako kwa teknolojia ya kisasa, ili uweze kula nyama vizuri bila maumivu kwenye meno na vyakula vingine, karibu sana.

Address

KIBAHA PICHA YA NDEGE

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr Kahwili Dental Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram