04/09/2018
URINARY TRACK INFECTION[ UTI ]
dalili za UTI.
, mwili unakuwa na joto kali kuliko kawaida na hii inatokana na bakteria wa UTI au bacteria wa aina yoyote kuwa katika mwili wako ivyo basi mwili unajaribu kupambana na hao bakteria na kusababisha joto la mwili kuwa kubwa,
ya uti wa mgongo, hii maumivu inaweza kusababisha kukaa mda mrefu au shughuli zako za kila siku, pia maumivu ya uti wa mgongo inaonyesha kabisa kitu gani kinaendelea katika mwili wako, UTI ni changamoto kubwa tu ivo ukiwa na dalili hiyo kuna uwezekano ukawa na UTI.
mara kwa mara, hii inatokea kwenda msalani mara kwa mara kukojoa na inatokea kuwa ukunywa maji mengi ya kukufanya uende msalani ikitokea ivo basi jua ya kuwa inaweza kuwa ni UTI.
wakati wa kukojoa, UTI ina athiri mirija kutoka kwenye figo kwenda kwenye kibofu, mkojo usukumwa kutoka kwenye kibofu utoke nje kupitia hiyo mirija ivo kitendo iki akitakiwi kuleta maumivu ya aina yeyote yale, ikitokea umepata hayo maumivu basi kunauwezekano ukawa na UTI.
kwenye mkojo, kwa kawaida mkojo unatakiwa kuwa mweupe hapo inaonyesha kuwa mwili wako una maji ya kutosha endapo mkojo ukawa wa njano basi unywi maji ya kutosha yani mwili unaupungufu wa maji, na mkojo ukiwa na rangi k**a ya brauni au nyeusi basi hiyo ni damu na kuna uwezekano wa mtu huyo kuwa na UTI.
JINSI UTI INAVYOTOKEA
UTI inatokea pindi bakteria wanapoingia kwenye njia ya mkojo kupitia urethra na kuanza kuongezeka katika bladder ila kwenye mfumo wa mkojo ulivo kuna hali ambavyo inaweza kupambana na hao bakteria ila inafika mahali inashindwa kuwamudu hao bakteria na kusababisha bakteria kukua na kuleta madhara hayo ya UTI.
MADHARA YA UTI
ikiwa sugu inaweza kuua figo zako kutokana na wewe kutoitibia ikaisha.
madhara kwa mwanamke wenye mimba wakati wa kuzaa, anaweza kuzaa nyiti au mtoto mwenye uzito wa chini isivyo kawaida.
JINSI YA KUZUIA UTI
maji ya kutosha angalau lita 3 mpaka 4 kwa siku, itasaidia sana kuwaondoa hao bakteria kwa njia ya mkojo, hii ni mtu ambaye ajawai au amepona UTI anatakiwa kujijengea haya mazoea ya kunywa maji ya kutosha.
ni kwa kina DADA wanapoenda kwenye aja ndogo wanatakiwa kunawa kutoka mbele kwenda nyuma bila kugusa sehemu ya aja kubwa kwani hao bakteria ndiko wanakopatikana.