Afyadocts

Afyadocts Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afyadocts, Medical and health, Bagamoyo, Kibiti.

29/08/2022

SULUHISHO LA TEZI DUME .BILA KUFANYIWA UPASUAJI KABISA .



KUTANUKA KWA TEZI DUME

Kutanuka kwa tezi dume ni tatizo la kawaida ambalo husababishwa na Ugonjwa wa Saratani (Kansa). Huwa ni Jambo la kawaida kwa karibu kila mwanaume mzee, miaka inavyoenda ndivyo tezi dume huzidi kuwa kubwa na hufinya njia ya mkojo na kuziba mkojo, mkojo kutoka polepole.

DALILI ZA KUTANUKA KWA TEZI DUME

1. Kukojoa mara nyingi nyakati za usiku 3-9

2. Kulazimika, Mara nyingi hasa nyakati za usiku, kutumia nguvu kuanzisha mkojo kutoka.

3. Mkojo kutiririka polepole, hukatika katika na hutumia nguvu kubwa

4. Mkojo kushindwa kutoka hata wakati mtu anapohisi kukojoa

5. Mkojo kuendelea kutoka kidogo kidogo baada ya kukojoa, matone ya mkojo kutoka hata baada ya kukojoa hivyo nguo za ndani kuloa.

6. Kibofu hakiishi mkojo

MATATIZO YALETWAYO NA TEZI DUME KUTANUKA

1. Mkojo kushindwa kutoka kabisa

2. Madhara kwenye kibofu cha mkojo na figo

3. Maambukizi ya mawe kwenye kibofu na figo.

MATIBABU

DR ABEL . (+255783147741) tunayo package maalumu itakayokusaidia kuondoa Uvimbe bila kufanyiwa upasuaji. Katika package hii tutakupatia dawa ambayo itaenda kuondoa Uvimbe kabisa na kuimarisha Kinga yako ya mwili. Pia kukupa dawa ambayo itaenda kutibu tezi dume na kurejesha Afya ya tezi dume.

MAWASILINAO

Wasiliana nasi kwa simu namba 255783147741 tukuudumie. Popote ulipo tutakuhudumia.

PIA TUNATOA ELIMU BURE ya AFYA kwenye group letu la whatsapp kujiunga gusa link hii

https://chat.whatsapp.com/KXCYGYPxaQ35HDlwxDOgqk

UGONJWA WA BAWASILI DALILI MADHARA NA TIBA YAKE. 0763881775Bawasiri ni niniHuu ni Ugonjwa unaotokana na kuvimba/kupasuka...
25/08/2022

UGONJWA WA BAWASILI DALILI MADHARA NA TIBA YAKE. 0763881775

Bawasiri ni nini
Huu ni Ugonjwa unaotokana na kuvimba/kupasuka kwa mishipa ya damu sehemu ya haja kubwa na kupelekea kuota kwa kinyama amcho ndio huitwa Bawasiri/mgoro/Hemorrhoid nk

SABABU YA BAWASILI

Sababu kubwa ya mtu kupata Bawasiri ni Mgandamizo sehemu ya haja kubwa ambapo mgandamizo huo hupelekea kupasuka/kuvimba kwa mishipa midogo midogo ya damu aina ya veins sehemu ya haja kubwa hivyo hupelekea kuota kwa Vinyama sehemu ya haja kubwa

DALILI ZA MTU MWENYE BAWASIRI

1.kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa

2.kujitokeza kwa kinyama/vinyama eneo la haja kubwa

3.kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa

4.kupata kinyesi chenye damu

5.kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia

Kupata maumivu ya tumbo/kiuno hasa Bawasiri inapofikia hatua mbaya
MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MTU KUPATA BAWASIRI

1.Uzito kupita kiasi(Overweight)

Ujauzito
3.Kunyanyua vitu vizito na Mazoezi makali

4.Kukaa sana sehemu eneo moja mda mrefu

5.Kuingiliwa sehemu ya haja kubwa( tendo la ndoa kinyume).

6.Kujisaidia Choo Kigumu.

Sababu za kujisaidia choo Kigumu ni:
-Vidonda vya Tumbo
-Ngiri/Hernia
-Ulaji duni

AINA 2 ZA BAWASIRI

BAWASIRI YA NJE
Ni kuota kinyama sehemu ya nje ya haja kubwa ambapo kinyama huwa nje hata k**a hujaenda kujisaidia haja kubwa.

2.BAWASIRI YA NDANI

Ni kuota kinyama sehemu ya ndani ya haja kubwa mara nyingi huambatana na maumivu makali na damu na kinyama hutoka wakati wa kujisaidia haja kubwa.

Bawasiri ya dani ina hatua NNE ambazo ni:⤵⤵⤵⤵
HATUA YA KWANZA
Katika hatua hii mtu hujihisi maumivu makali,miwasho pamoja na kutokwa damu wakati wa kujisaidia na kinyama hakionekani wakati wa kujisaidia.

HATUA YA PILI
Hii hutokea wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe punde baada ya kujisaidia

HATUA YA TATU
Hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye mwenywe ama inaweza kurudi yenyewe baada ya muda

HATUA YA NNE
Hii ni bawasiri inayotoka na huwa ngumu kurudi baada ya kujisaidia.

ATHARI ZA BAWASIRI

1.Upungufu wa damu mwilini

2.Kutokwa na kinyesi bila kujitambua

3.kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa

4.kupungukiwa nguvu za kiume

5.kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu

6.Kupata tatizo la kisaikolojia

Kupata kansa ya utumbo ( Colorectal cancer)
8.Mwili kudhoofika mwili na kinga kupungua

TIBA YA BAWASILI

Mara nyingi Tiba ilio zoeleka kwa hospital ni upasuaji

Ila tuna bidhaa ambazo zimewasaidia wengi zenye uwezo wa kuondoa bawasili bila upasuaji

Kwa maelezo zaid wasiliana nasi kupitia 0763881775

PIA TUNATOA ELIMU BURE KUPITIA GROUP LETU LA WHATSAPP kusa link hii kujiunga

https://chat.whatsapp.com/KXCYGYPxaQ35HDlwxDOgqk

Karibu sana

Address

Bagamoyo
Kibiti
12101

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afyadocts posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram