04/04/2026
🔥 Ndoa si ya watu wawili tu… ni muunganiko wa historia mbili za familia ikiwemo afya.
Unapochagua mwenza, unachagua pia mazingira aliyokulia, misingi yake… na background ya kiafya ya familia yake.
Je, umejiuliza:
✔️ Kuna magonjwa ya kurithi kwenye familia?
✔️ Kuna hali endelevu (chronic conditions) k**a kifafa, kisukari au presha?
✔️ Familia inauelewa gani wa ku-support hali hizi?
💡 Haya si mambo ya kuogopa ni mambo ya kuyajua mapema ili kufanya maamuzi sahihi na kujenga ndoa imara.
Usikose mjadala huu:
📺 Kipindi ni KILINGE CHA FAMILIA
🗓️ April 5
⏰ Saa 3:00 Usiku
📡 Channel ni UTV
⚠️ Ukichagua bila kujua, unaingia bila mkakati.
Chagua kwa uelewa.