
06/06/2025
CHUO CHA AFYA AVIHST(APPLE VALLEY INSTITUTE OF HEALTH SCIENCE AND TECHNOLOGY), KILICHOPO MANISIPAA YA KIGAMBONI, DAR ES SALAAM KINAKARIBISHA MAOMBI YA KOZI ZA CERTIFICATE NA DIPLOMA YA FAMASIA (PHAMACEUTICAL SCIENCES) KWA AJILI YA MUHULA MPYA MWAKA 2025
MUOMBAJI WA KOZI HII ANATAKIWA KUWA NA UFAULU KATIKA MASOMO ANGALAU MANNE KWA KIWANGO CHA WALAU ALAMA “D” YAKIJUMUISHA CHEMISTRY NA BIOLOGY.
CHUO KIPO KATIKA MAZINGIRA BORA YA KUJISOMEA, KINA WALIMU WALIOBOBEA KATIKA UFUNDISHAJI, KINA MAABARA ZA KISASA NA HOSPITALI ZA KUFANYIA MAZOEZI, ADA NI NAFUU SANA NA INALIPWA KWA AWAMU NNE NA HOSTEL ZETU NI BURE.
CHUO KIMESAJILIWA NA NACTE (REG/HAS/188P), CHUO KIPO KIGAMBONI SHANGWE COMPLEX, MJI MWEMA, DAR ES SALAAM.
TUMA TAARIFA ZAKO NA VIGEZO KUPITIA: https://applevalleycollege.safi.co.tz/