17/03/2026
Karibu mpendwa 🤍
K**a una changamoto ya homoni kutokua sawa au uzito mkubwa, fahamu kuwa chakula kina nafasi kubwa sana kwenye kurekebisha hali yako 🙏
Hapa chini ni mwongozo rahisi wa vyakula na mpangilio wa kula kila siku 👇
⸻
🌅 ASUBUHI (Breakfast)
Anza siku yako na vyakula vinavyoamsha mwili na kusawazisha homoni:
✔️ Mayai ya kuchemsha au kukaangwa kwa mafuta kidogo
✔️ Parachichi 🥑
✔️ Oats (uji wa shayiri) au mkate wa ngano nzima
✔️ Chai ya tangawizi au maji ya uvuguvugu + limao
✅ Husaidia ku-balance homoni na kupunguza njaa ya mara kwa mara
⸻
🌞 MCHANA (Lunch)
Kula chakula kamili lakini chenye uwiano mzuri:
✔️ Protini: Samaki, kuku wa kuchemsha/ku-grill, au maharage
✔️ Mboga za majani kwa wingi (spinach, broccoli, mchicha)
✔️ Wanga kidogo: wali wa brown au ugali kidogo
✅ Husaidia mwili kuchoma mafuta badala ya kuyahifadhi
⸻
🌙 JIONI (Dinner) (isiwe nzito sana)
✔️ Supu ya mboga au samaki
✔️ Saladi (tango, nyanya, lettuce)
✔️ Epuka wanga mwingi usiku
✅ Hupunguza mkusanyiko wa mafuta mwilini
⸻
🍏 VITAFUNWA (Snacks – kati ya milo)
✔️ Matunda (apple, papai, tikiti maji)
✔️ Karanga kiasi kidogo
✔️ Maji ya kutosha siku nzima 💧
⸻
⚠️ VYAKULA VYA KUPUNGUZA AU KUEPUKA:
❌ Sukari nyingi
❌ Vyakula vya kukaanga sana
❌ Soda na juice za viwandani
❌ Fast foods
⸻
MUHIMU ZAIDI:
✔️ Kula kwa muda sahihi kila siku
✔️ Fanya mazoezi hata dakika 30 kwa siku
✔️ Lala vizuri (usingizi unasaidia homoni kurudi sawa)
⸻
💬 K**a unahitaji msaada zaidi wa kitaalamu, usisite kunitafuta moja kwa moja
📞 0767425162